8 Agosti
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1896 - Marjorie Kinnan Rawlings, mwandishi wa kike kutoka Marekani
- 1901 - Ernest Orlando Lawrence (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1939)
- 1902 - Paul Dirac, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1933
- 1937 - Dustin Hoffman, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 1945 - Bruno Pius Ngonyani, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1952 - Jostein Gaarder, mwandishi Mnorwei
- 1964 - Klaus Ebner, mwandishi wa Kijerumani kutoka Austria
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 1979 - Feodor Lynen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1964
- 1996 - Nevill Mott (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1977)