Wikipedia:Matukio ya hivi karibuni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Warsha ya Wikipedia Morogoro[hariri]

Tarehe 21 Machi 2015, wahariri wafuatao walitoa warsha ya kuandika na kuhariri makala za wikipedia ya Kiswahili kwa walimu na wanafunzi wa shule ya sekondari ya AlfaGems mjini Morogoro: Riccardo Riccioni, Kipala, ChriKo na Baba Tabita (bahati mbaya, Muddyb Blast Producer alibanwa kazini na kutoweza kuhudhuria). Tumefurahi kuona mafanikio mema!

29,000[hariri]

  • 13 Juni 2015, makala ya 29,000 ni Pembe kuu‎ (pembe ya 180°, isiyoonekana kama pembe inafanana na mstari wa kawaida...)

28,000[hariri]

22,000[hariri]

  • 28-Oktoba-2011 imefika makala 22,000!

20,000[hariri]

Wikipedia 20000 articles.png

15,000[hariri]

  • 25 Desemba 2009 (UTC)  :-)

Mlimba ni tarafa iliyopo katika wilaya ya kilombero katika mkoa wa morogoro. Ipo umbali wa km 150 kutoka ifakara mjini. Tarafa ya Mlimba ina kata takriban 6 ambazo zinaunda tarafa hiyo. Kata ya Tanganyika Masagati ni kata maarufu sana katika tarafa ya mlimba. Ipo km zisizopungua 100 kutoka Mlimba mjini.. Tarafa hii inakabiliwa na matatizo mbalimbali ikiwemo ya usafiri,watumishi{walimu,madaktari n.k}.. Wakazi wa mlimba wanategemea zaidi usafiri wa TAZARA. Kata ya mlimba ina shule za msingi zisizopungua 10 na sekondari 3.,Tarafa ya mlimba ina shule zaidi ya 30 za msingi na 8 za sekondari... Moja kati ya shule maarufu ni shule ya msingi MAKIRIKA na shule ya sekondari MLIMBA GIRLS. Shule ya msingi MAKIRIKA ipo umbali wa km 10 kutoka mlimba mjini. Shule hii ipo katika kijiji cha Makirika.. Ina walimu 4 {Donatus Dacky, Abel Michael, John Justine na Selemani Mkonje},shule ina darasa la awali hadi la saba! Pia katika tarafa ya mlimba utakutana na mgodi wa umeme{KIHANSI}... imehaririwa na selemani mkonje

Maendeleo ya makala za kata nchini Tanzania[hariri]

Makala za kata zinafuata majina ya kata yaliyotajwa katika taarifa ya sensa 2002. Kata zilizoanzishwa baadaye kwa kawaida hazipo bado. Kata zote za Tanzania zimepata makala fupi ya mbegu; mengine yameshapanushwa. Ilikuwa kazi kubwa na ya maana!

Kazi inayobaki ni kufuatilia habari za wilaya mpya zilizoanzishwa mwaka 2006/2007 kwa sababu orodha ya kata iliyopatikana ilikuwa ya sensa ya mwaka 2002. Pale tulipotambua wilaya mpya tulianza makala ya wilaya pia kigezo cha kata zake isipokuwa bado bila majina. Kata ya wilaya mpya bado zinaorodheshwa chini ya chini ya wilaya mama. Mifano ya wilaya mpya ni Wilaya ya Misenyi, Wilaya ya Chato, Wilaya ya Rorya.

Mikoa ya Tanzania ambayo kata zote zimeanzishwa makala ya mbegu[hariri]

Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Iringa | Kagera | Kilimanjaro | Kigoma | Lindi | Mara | Mwanza | Mbeya | Manyara | Morogoro | Mtwara | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Singida | Tabora | Tanga | Unguja Mjini Magharibi | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini

Wikipedia yetu katika orodha ya meta:List of Wikipedias by edits per article[hariri]

Meta:List_of_Wikipedias_by_sample_of_articles inalinganisha wikipedia za lugha mbalimbali kwenye msingi wa orodha la Makala za msingi za kamusi elezo.

Katika ulinganisho wa Aprili 2009 makala zifuatazo ziliangaliwa hasa kuwa ama zinekosekana kabisa au ni fupi mno au ziko na ukubwa karibu na ngazi inayofuata (kati ya ndogo-wastani-kubwa na kila ngazi inapewa uzito tofauti katika ulinganisho).

Majina yafuatayo ni katika wikipedia ya Kiingereza.

  1. Song (wimbo - alama 463 pekee)
  2. Crusades - vita za misalaba
  3. Communism - ukomunisti
  4. Culture - utamaduni
  5. Bang Big Bang - mlipuko mkuu
  6. Evolution - mageuko ya spishi
  7. Democracy - demokrasia
  8. Horse - farasi
  9. Basketball - mpira wa kikapu
  10. Fashism - ufashisti

--Kipala (majadiliano) 17:21, 9 Aprili 2009 (UTC)

Mradi mpya: Wilaya, tarafa na kata za Kenya[hariri]

Baada ya kutunga makala za mbegu kwa kila kata ya Tanzania tunalenga sasa kufanya kazi hiyohiyo kwa kata zote za Kenya. Ukurasa Wilaya, tarafa na kata za Kenya umeundwa kwa muda kwa kurahisisha utekelezaji wa mradi huu. Orodha hii inafikiwa pia kwa kifupi kata Kenya.

Swahili Wikipedia now the largest African language Wikipedia[hariri]

Apologies for the English, I don't speak Swahili, but I thought I'd let everyone know that Swahili has just passed Afrikaans as the largest African language Wikipedia. Congratulations! See greenman.co.za for more information. Greenman (majadiliano) 22:12, 3 Agosti 2009 (UTC)