Matukio ya Kisiasa | 30.12.20102010-12-30 Deutsche Welle Swahili Mapema mwezi huu Brazil, iliitambua Palestina kama taifa huru kwa kuzingatia mipaka yake iliyokuwepo kabla ya vita vya mwaka 1967.Mkuu wa ujumbe maalum wa Mamlaka ya Wapalestina nchini Brazil,Ibrahim Al Zeben amesema Rais Abbas anataka kukutana na Rais wa Brazil Lula da Silva anaeondoka madarakani, kumshukuru kwa kutambua taifa la Wapalestina....
Matukio ya Kisiasa | 27.12.20102010-12-27 Deutsche Welle Swahili Kutokana na hali hiyo,pande zote mbili zimetishia kulipizana kisasi.Wakati huohuo, Israel inashikilia kuwa kamwe haitaiomba Uturuki radhi kwasababu ya kuushambulia mwezi wa Mei msafara wa meli za msaada uliokuwa ukielekea Gaza.Yote hayo yanatokea ikiwa imetimia miaka miwili tangu Israel kuushambulia Ukanda wa Gaza unaomilikiwa na Hamas....
Matukio ya Kisiasa | 09.11.20102010-11-09 Deutsche Welle Swahili Wizara ya mambo ya ndani imetangaza mradi wa kujenga nyumba 1.300. Tangazo hilo limetolewa wakati usio mzuri kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu. Hivi sasa yupo Marekani kwa majadiliano ya kutafuta njia ya kufufua...
Matukio ya Kisiasa | 08.11.20102010-11-08 Deutsche Welle Swahili Vile vile alikutana na Rais wa Israel, Shimon Peres na familia ya mwanajeshi wa Kiisraeli Gilad Shalit anaezuiliwa mateka katika Ukanda wa Gaza tangu mwaka 2006. Westerwelle ametoa mwito kwa Israel kupunguza vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Ukanda wa Gaza na kuruhusu bidhaa za Wapalestina kusafirishwa nje. Waziri wa mambo ya nchi za...
Matukio ya Kisiasa | 30.09.20102010-09-30 Deutsche Welle Swahili Juhudi za kimataifa zimeshika kasi kuyanusuru mazungumzo ya amani kati ya Israel na Palastina.Rais Mahmoud Abbas ameonya wapalastina watajitoa katika duru hiyo mpya iliyoanza September pili iliyopita baada ya Israel kutorefusha muda wa kusitisha ujenzi wa makaazi mepya ya wahamiaji wa kiyahudi katika ardhi za waarabu . Mjumbe maalum wa rais...
Masuala ya Jamii | 22.09.20102010-09-22 Deutsche Welle Swahili Katika taarifa yake, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amesema, wanatambua nini kinachoweza kusaidia ili kuokoa maisha ya wanawake na watoto na kwamba wanafahamu kuwa wanawake na watoto ndio msingi wa malengo ya maendeleo ya milenia. Ban Ki Moon amekadiria kwamba mkakati wa dunia kwa afya ya wanawake na watoto utaokoa maisha ya watu...
Matukio muhimu | 17.09.20102010-09-17 Deutsche Welle Swahili Kulingana na hati hiyo iliyozinduliwa kwenye kikao cha kilele cha mataifa ya Kiarabu mjini Beirut,Israel itatambuliwa na mataifa yote ya Kiarabu endapo itaondoka kwenye maeneo iliyoyateka nyara mwaka 1967 wakati wa vita vya Mashariki ya Kati ikiwemo Jerusalem Mashariki. Kauli hizo zimetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton...
Matukio ya Kisiasa | 03.09.20102010-09-03 Deutsche Welle Swahili Duru ya kwanza ya mazungumzo mapya ya amani juu ya Mashariki ya kati imemalizika jana. Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Wapalestina , Mahmud Abbas, wamepanga kukutana tena kwa utaratibu wa kila baada ya wiki mbili. Wanakusudi kuleta ufumbuzi wa amani katika muda wa mwaka mmoja kutoka sasa.Matumaini ya...
Matukio ya Afrika | 24.01.20112011-01-24 Deutsche Welle Swahili Wiki hii inaelekea ya kufuzu au kuanguka kwa serikali ya mpito iliyoundwa wiki iliopita na ambayo inawajumuisha pia waliokua wapinzani wa rais Ben Ali aliyekimbilia Saudi Arabia. Chama kikuu cha wafanyakazi nchini humo, UGTT, kimekataa kuitambua serikali mpya kwa sababu nyadhifa muhimu zimo mikononi mwa wafuasi wa utawala ulioangushwa, akiwemo...
Matukio ya Kisiasa | 24.01.20112011-01-24 Deutsche Welle Swahili Inasemekana kuwa hati hizo ni kutoka majadiliano yaliyofanywa mwaka 2008, kati ya mawaziri wa nje wa wakati huo, Condoleezza Rice wa Marekani, Tzipi Livni wa Israel, waziri mkuu wa zamani wa Wapalestina...
Michezo | 20.01.20112011-01-20 Deutsche Welle Swahili Katika kipindi cha hivi karibuni vyama vya siasa kali za mrengo wa kulia pamoja na makundi ya kisiasa yamekuwa yakijiingiza zaidi katika jukwaa la spoti kwa lengo la kutafuta wafuasi na wapiga kura miongoni mwa Wajerumani. Kampeni hiyo dhidi ya siasa kali katika majukwaa ya michezo imezinduliwa mjini Berlin. Wakati wa msimu wa kandanda nchini...
Masuala ya Jamii | 20.01.20112011-01-20 Deutsche Welle Swahili Kwa mujibu wa taasisi inayoshughulikia uhuru wa vyombo vya habari barani Ulaya, Freedom House, kwa miaka mingi Waziri Mkuu wa Italia, Silvio Berlusconi, amekuwa akijaribu kukandamiza ripoti na waandishi wa habari wanaomkosoa. Mfano mmoja ni Milena Gabanelli, ambaye ni mtangazaji maarufu wa kipindi cha...
Matukio ya Afrika | 20.01.20112011-01-20 Deutsche Welle Swahili Rais Foued Mebazaa amesema kuwa wachunguzi watapeleleza kwa kina mali za ndani na nje ya nchi za kiongozi wa zamani wa Tunisia, Zine El Abidine Ben Ali, aliyeondolewa madarakani na kukimbilia Saudi Arabia Ijumaa iliyopita. Akilihutubia taifa hapo jana, Rais Mebazaa alisema kwa pamoja wanaweza kufungua ukurasa mpya katika historia ya Tunisia....
Matukio ya Kisiasa | 20.01.20112011-01-20 Deutsche Welle Swahili Waziri wa Mambo ya Nje wa Uswisi, Micheline Calmy-Rey amesema anataka kuzuia matumizi yoyote mabaya ya fedha za umma. Wakati huo huo, Benki Kuu ya...
Michezo | 17.01.20112011-01-17 Deutsche Welle Swahili Bildunterschrift: Borussia Dortmund siku ya pambano lao na Bayer Leverkusen mjini Leverkusen .Ligi kuu ya Ujerumani, Bundesliga, ilirudi tena mwishoni mwa juma baada ya mapumziko ya msimu wa baridi. Itakumbukwa dimba lilifunguliwa Ijumaa usiku kwa mchezo wa kwanza kati ya Borussia Dortmund na Bayer Leverkusen huku wengi wakijiuliza jee Leverkusen...
Masuala ya Jamii | 17.01.20112011-01-17 Deutsche Welle Swahili Kashfa mpya ya kugunduliwa kwa kiwango kikubwa cha sumu ya dioxin katika sekta ya kilimo nchini Ujerumani, imekigusa kile kinachoitwa "mnyororo wa chakula", yaani uhusiano baina ya wadau mbalimbali wa uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa chakula. Licha ya kuwa, hivi sasa wizara ya kilimo hapa Ujerumani, imeweka shinikizo la kuzuia uzalishaji wa...
Matukio ya Kisiasa | 17.01.20112011-01-17 Deutsche Welle Swahili Kabla ya makabiliano hayo ya risasi hapo jana jioni, hali ya usalama nchini humo iliimarika na hali ya hatari iliyotangazwa siku ya Ijumaa, ilipunguzwa kuwa amri ya kutotembea usiku. Serikali ya mpito inatarajiwa kutangazwa hii leo na itajumuisha wanachama wa vyama...
Matukio muhimu | 15.01.20112011-01-15 Deutsche Welle Swahili Nchini Tunisia bado hali ni tete. Mapema mchana wa leo (15 Januari 2011), chombo kikuu kinachosimamia masuala yote ya sheria na katiba nchini Tunisia, Baraza la Katiba, limetangaza kwamba, mtu anayepaswa kushika wadhifa wa urais katika kipindi hiki cha mpito ni spika wa bunge la taifa, Foued Mbazaa. Akitoa tamko hilo kupitia televisheni ya taifa,...
Matukio ya Kisiasa | 15.01.20112011-01-15 Deutsche Welle Swahili Taarifa ya jumba la kifalme iliyotangazwa na shirika la habari la nchi hiyo SPA imethibitisha kuwa Ben Ali aliwasili nchini humo mapema leo, baada ya kuondoka Tunisia hiyo jana na hivyo kumalizika kwa utawala wake wa miaka 23, kufuatia maandamano makubwa yaliyosababisha umwagaji damu. Taarifa hiyo ilieleza kuwa kutokana na wasiwasi wa...
Michezo | 14.01.20112011-01-14 Deutsche Welle Swahili Katika Michezo, kwenye mashindano ya kandanda ya ligi ya Uingereza - PremierLeague, mabingwa wa msimu uliopita, Chelsea, wanatarajiwa kurudisha mchezo wa hali ya juu katika kulitetea taji hilo dhidi ya Blackburn Rovers uwanjani Stamford Bridge hapo kesho. Bildunterschrift: Großansicht des Bildes mit der Bildunterschrift:...
Matukio ya Kisiasa | 14.01.20112011-01-14 Deutsche Welle Swahili Zine al-Abidine Ben Ali, ambaye ameiongoza Tunisia kwa zaidi ya miaka 23, amesalimu amri kutokana na mbinyo wa ghasia za wiki kadha na kutangaza katika hotuba aliyoitoa kwa njia ya ...
Matukio muhimu | 03.09.2010 Deutsche Welle Swahili2010-09-03 Kabla kuanza mazungumzo hayo, rais wa mamlaka ya ndani ya Wapalestina Mahmoud Abbas, waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, mjumbe maalum wa Marekani katika Mashariki ya Kati, George Mitchel na waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani, Hillary Clinton, walikutana katika wizara ya ndani mjini Washington. Matokeo ya kwanza ya mazungumzo ya mjini...
Matukio muhimu | 22.08.2010 Deutsche Welle Swahili2010-08-22 Bibi Merkel aliupongeza uamuzi huo wa kuyaanzisha upya mazungumzo hayo ya amani yaliyokwama mwaka 2008,pindi baada ya israel kuuvamia Ukanda wa Gaza. Mazungumzo hayo yanatarajiwa kuanza rasmi ifikapo tarehe mbili mwezi wa Septemba ijapokuwa wanasiasa wa pande zote mbili husika wameshatoa tahadhari kuwa huenda kukatoea vikwazo.Kulingana na...
Matukio ya Kisiasa | 10.08.2010 Deutsche Welle Swahili2010-08-10 Siku moja baada ya waziri mkuu wa Israel kutoa ushahidi mbele ya jopo la kitaifa la Israel linalochunguza uvamizi wa msafara wa meli za misaada zilizokuwa zikielekea Ukanda wa Gaza mwishoni mwa mwezi Mei mwaka huu, hii leo mjini New Marekani kunaanza uchunguzi wa kimataifa kuhusu mkasa huo ambapo wanaharakati tisa wa Kituruki waliuwawa, mmoja...
Matukio ya Kisiasa | 09.08.2010 Deutsche Welle Swahili2010-08-09 Waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu ametoa utetezi wake mbele ya kamati maalumu, inayochunguza tuhuma za uvamizi wa meli za misaada,na kusisitiza kuwa uamuzi wa jeshi la nchi hiyo dhidi ya wanaharakati hao,ulikuwa ni sahihi. Katika utetezi wake mbele ya kamati hiyo iliyo chini ya Israel,Netanyahu pia ameilaumu Uturuki kwa kushindwa...
Matukio ya Kisiasa | 02.08.2010 Deutsche Welle Swahili2010-08-02 Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu amesema anatarajia kuwa mazungumzo ya amani ya moja kwa moja kati ya Israeli na Palestina yataanza kaitka kipindi cha wiki mbili zijazo. Wakati huo huo, Rais wa Israeli Shimon Peres jana alikutana na mwenzake wa Misri, Hosni Mubarak katika jitihada za kuyafufua mazungumzo hayo ya amani katika Mashariki ya...
Matukio ya Kisiasa | 29.07.2010 Deutsche Welle Swahili2010-07-29 Wakati Mawaziri wa mambo ya nchi za kigeni wa Jumuiya ya Kiarabu wanakutana leo mjini Cairo Misri,Rais wa mamlaka ya ndani ya Wapalestina Mahmoud Abbas amewasili jijini humo kuhudhuria mkutano wa kamati ya Jumuiya hiyo,ambayo inashughulikia mazungumzo baina ya Palestina na Israel,huku suala la kupatikana kwa amani hiyo likiwa bado ni...
Matukio ya Kisiasa | 06.07.2010 Deutsche Welle Swahili2010-07-06 Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anatarajiwa kukaribishwa vizuri safari hii, kinyume kabisa na ilivyokuwa wakati alipoitembelea Marekani mnamo mwezi Machi mwaka huu, wakati ambapo rais Obama hakuonyesha kuwa na haja ya kukutana naye kwa sababu ya mgogoro kuhusu kupanuliwa kwa makaazi ya walowezi wa Kiyahudi huko Jerusalem Mashariki. Rais...
Matukio ya Kisiasa | 22.06.2010 Deutsche Welle Swahili2010-06-22 Wakati huo huo, Waziri wa Misaada ya Maendeleo wa Ujerumani, Dirk Niebel ameunga mkono hatua hiyo mpya ya Israel, kuregeza vikwazo vyake dhidi ya Gaza. Lakini hatua hiyo ya serikali ya Israel kuregeza vikwazo vyake dhidi ya Ukanda wa Gaza imeshambuliwa na Tzipi Livni,waziri wa zamani wa mambo ya nje ambae hivi sasa ni kiongozi wa upinzani katika...
Matukio ya Kisiasa | 17.06.2010 Deutsche Welle Swahili2010-06-17 Taarifa iliyotolewa na serikali ya Israel imesema kulingana na mpango huo, Israel italegeza mfumo ambao bidhaa za kiraia zitaingia Gaza na kuongeza uingizaji kwa wingi wa malighafi kwa ajili ya miradi ya kiraia ambayo iko chini ya usimamizi wa kimataifa. Hata hivyo imesisitiza kuwa Israel itaendelea kuimarisha ulinzi ili kuepukana na uingizaji kwa...