1950
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1920 |
Miaka ya 1930 |
Miaka ya 1940 |
Miaka ya 1950
| Miaka ya 1960
| Miaka ya 1970
| Miaka ya 1980
| ►
◄◄ |
◄ |
1946 |
1947 |
1948 |
1949 |
1950
| 1951
| 1952
| 1953
| 1954
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1950 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1 Januari - Mudhihir Mohamed Mudhihir, mwanasiasa wa Tanzania
- 15 Januari - Anna Valerian Komu, mwanasiasa wa Tanzania
- 12 Februari - George Malima Lubeleje, mwanasiasa wa Tanzania
- 18 Machi - Brad Dourif, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 5 Aprili - Agnetha Fältskog, mwanabendi wa ABBA na mwanamuziki kutoka Uswidi
- 9 Mei - Jorie Graham, mshairi kutoka Marekani
- 13 Mei - Stevie Wonder, mwanamuziki wa Marekani
- 16 Mei - Johannes Bednorz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1987
- 29 Mei - Frederick Sumaye, Waziri Mkuu wa 9 wa Tanzania
- 8 Juni - Teddy Louise Kasela-Bantu, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 27 Agosti - Charles Fleischer, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 9 Septemba - Zubain Muhaji Mhita, mwanasiasa wa Tanzania
- 5 Oktoba - Edward P. Jones, mwandishi kutoka Marekani
- 7 Oktoba - Jakaya Kikwete (Rais wa awamo ya nne wa Tanzania)
- 14 Oktoba - John Zefania Chiligati, mwanasiasa wa Tanzania na Waziri wa Ardhi (2005-2010)
- 1 Novemba - Robert Laughlin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1998
- 3 Novemba - James Rothman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2013
- 28 Novemba - Russell Hulse, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1993
bila tarehe
- Christopher Mtikila, mwanasiasa kutoka Tanzania
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 10 Januari - Ernest Poole, mwandishi kutoka Marekani
- 21 Januari - George Orwell
- 25 Februari - George Minot, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1934
- 19 Machi - Norman Haworth, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1937
- 19 Machi - Edgar Rice Burroughs
- 14 Aprili - Frances Ford Seymour, mke wa pili wa Henry Fonda, alijiua
- 4 Mei - William Rose Benét, mshairi kutoka Marekani
- 10 Mei - John Gould Fletcher, mwandishi na mshairi kutoka Marekani
- 8 Julai - Siti Binti Saad, mwanamuziki Mtanzania
- 17 Julai - Evangeline Booth
- 18 Julai – Carl Van Doren, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1939
- 23 Agosti - Frank Phillips
- 11 Septemba - Jan Christian Smuts
- 19 Oktoba - Edna St. Vincent Millay, mshairi wa kike kutoka Marekani
- 29 Oktoba - Mfalme Gustaf V wa Sweden
- 2 Novemba - George Bernard Shaw, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1925
- 25 Novemba - Johannes Vilhelm Jensen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1944
- 12 Desemba - Peter Fraser
Wikimedia Commons ina media kuhusu: