Alberta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Calgary , Alberta








Alberta

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Kanada Kanada
Mji mkuu Calgary
Eneo
 - Jumla 661,848 km²
Tovuti:  http://www.alberta.ca/

Alberta ni jimbo la Kanada upande wa magharibi ya nchi. Kunako mwaka wa 2009, idadi ya wakazi ilikuwa 3,632,483. Una eneo la 661,848 km². Imekuwa jimbo la Kanada tangu 1905.

Mji mkuu ni Edmonton na mji mkubwa ni Calgary. Imepakana na Northwest Territories, Saskatchewan, Marekani (Montana) na British Kolumbia.

Gavana wa jimbo ni Norman Kwong. Lugha rasmi ni Kiingereza.

Miji Mikubwa[hariri | hariri chanzo]

  1. Calgary (991,759)
  2. Edmonton (712,391)
  3. Red Deer (82,971)
  4. Lethbridge (78,713)

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Flag Canadian template.gif Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Alberta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.