Victor Grignard
Jump to navigation
Jump to search
François Auguste Victor Grignard (6 Mei 1871 – 13 Desemba 1935) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ufaransa. Alitafiti usanisi na hasa uunganishaji wa kaboni. Mwaka wa 1912, pamoja na Paul Sabatier alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Victor Grignard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |