Max Delbruck

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Max Delbruck
Tuzo Nobel.png

Max Delbrück (4 Septemba 19069 Machi 1981) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Ujerumani. Wakati wa utawala wa Hitler alihamia Marekani. Hasa alichunguza virusi vinavyoharibu vijidudu. Mwaka wa 1969, pamoja na Alfred Hershey na Salvador Luria alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Max Delbruck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.