Emmy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Emmy
Hutolewa kwa ajili ya Kufanya vizuri sana katika televisheni
Hutolewa na ATAS/NATAS
Nchi Marekani
Imeanza kutolewa mnamo 1949

Emmy Award au Tuzo za/ya Emmy (pia inajuliakana kama 'Emmy') ni tuzo ya matayarisho ya televisheni, kiasili inaonekana kufanana na tuzo za Peabody, lakini hii inashughulika sana na masula ya burudani, na itazamika kuwa iko sawa na kile kipindi cha televisheni cha Academy Award (kwa ajili ya filamu), Grammy Award (kwa ajili ya muziki) na Tony Award (kwa ajili ya maigizo).[1][2]

Hutoa zawadi kwa ajili sekta mbalimbali ya soko la televisheni, ikiwemo na vipindi vya burudani, habari na makala ya TV, na vipindi vya michezo. Kwa maana hiyo, zawadi hutolewa katika kila baadhi ya maeneo ambapo sherehe hizi hufanyika kila ifikapo baada ya mwaka.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Emmy kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.