Bob Dole

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Bob Dole

Robert Joseph “Bob” Dole (amezaliwa 22 Julai, 1923) ni mwanasiasa wa Marekani akiwa mwanachama wa Chama cha Jamhuri. Kuanzia 1969 hadi 1996 alikuwa mbunge wa Senati ya Marekani akiwakilisha jimbo la Kansas. Mwaka wa 1976 aligombea kama kaimu wake wa Rais Gerald Ford lakini wakashindwa na Jimmy Carter na Walter Mondale. Mwaka wa 1996 aligombea urais lakini akashindwa na Rais Bill Clinton.

Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bob Dole kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.