Tatu
Jump to navigation
Jump to search
Tatu ni namba ambayo inafuata mbili na kutangulia nne. Kwa kawaida inaandikwa 3 lakini III kwa namba za Kiroma na ٣ kwa zile za Kiarabu.
3 ni namba tasa.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Wells, D. The Penguin Dictionary of Curious and Interesting Numbers London: Penguin Group (1987): 70–71
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Tricyclopedic Book of Threes by Michael Eck
- Threes in Human Anatomy by Dr. John A. McNulty
- Grime, James. 3 is everywhere. Numberphile. Brady Haran.
- The Number 3
- The Positive Integer 3
- Prime curiosities: 3
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tatu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |