Chuo Kikuu cha York

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Chuo Kikuu cha York
Staff3,082
Wanafunzi13,270
Undergraduates9,105
Postgraduates4,165
Mahali{{{mji}}}
SportsBUSA

Chuo Kikuu cha York ni chuo kikuu cha mji wa York katika Uingereza. Chuo hiki kilianzishwa mwaka 1963. Kuna zaidi ya idara 30 zinazofundisha fani nyingi. York ni maarufu hasa kwa utafiti wa kisayansi katika utathmini wa mwaka 2008 chuo hiki kiltajwa kuwa na nafasi ya 6 kati ya taasisi za uchunguzi wa kisayansi katika Ufalme wa Maungano.[1]

J. B. Morrell Library ni maktaba kuu ya Chuo Kikuu cha York

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Top 20 for Research. The Times. Iliwekwa mnamo 2008-07-24.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Nuvola apps bookcase.svg Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha York kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.