Bali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Bali ni kisiwa cha Indonesia. Kiko katikati ya kisiwa cha Jawa upanda wa magharibi na kisiwa cha Lombok upande wa mashariki. Eneo la kisiwa ni 5614 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Denpasar. Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa milioni 3.89. Watu wakaao kisiwani kwa Bali huongea Kimalay ya Bali ama Kiindonesia kama lugha yao ya kwanza, na wengi wengine huvitumia kama lugha za mawasiliano.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bali kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.