Jinsi ya kudhibiti hakimiliki zako kwenye YouTube

Pata maelezo zaidi kuhusu zana za kusimamia haki kwenye YouTube. Omba kuondolewa kwa video inayokiuka hakimiliki yako, omba kubatilishwa kwa dai kuhusu video yako, ama upinge dai kwenye video yako.