Wikipedia:Jumuia
- sw: Ukurasa huu ni kwa ajili ya kuwasaidia watu wanaotaka kuboresha kamusi hii na kujadiliana mambo ya jumuiya yetu!
Viungo vya jumuia:
- en: Welcome to the Swahili Wikipedia village pump!
Kumbukumbu ya miaka iliyopita
Majadiliano ya awali yamehamishiwa hapa:
- Wikipedia:Jumuia/Kumbukumbu_hadi_JUlai_2008
- Wikipedia:Jumuia/Kumbukumbu Julai 2008 hadi Desemba 2009
- Wikipedia:Jumuia/Kumbukumbu Desemba 2009 hadi Desemba 2011
- Wikipedia:Jumuia/Kumbukumbu 2012 hadi 2013
- Wikipedia:Jumuia/Kumbukumbu 2014
- Wikipedia:Jumuia/Kumbukumbu 2015
- Wikipedia:Jumuia/Kumbukumbu 2016
- Wikipedia:Jumuia/Kumbukumbu 2017
- Wikipedia:Jumuia/Kumbukumbu 2018-2019
- Wikipedia:Jumuia/Kumbukumbu 2020-2021-VI
Jenga Wikipedia ya Kiswahili
Kwa wote wanaopenda kutafakari na kujadiliana nasi namna ya kuendeleza wikipedia hii ya Kiswahili wakabidhi walianzisha kundi la meta:Jenga Wikipedia ya Kiswahili. Unaweza kujiandikisha pale kama umehariri hapa kwa muda wa mwaka moja angalau.
Changamoto ya wahariri wapya, kampeni za kuunda makala
Wapendwa,
ilhali niko safarini siku hizi nimepita kazi ya wachangiaji wa zoezi la miji ya Tunisia. Nimeona makosa mazito na makala nyingi ambayo ni mbaya. Nimeanza kuzuia wachangiaji wanaorudia kumwaga google translate bila kusoma matokeo yake. Kipimo changu ni, kama Kiswahili hakieleweki, au kichekesho tu (mara kadhaa: mji fulani ilikuwa "raia" wa kirumi..., kwa sababu google translate haijui "civitas" ni nini na wachangiaji hawajali), basi hakusoma anachopakua.
Ninaomba tutafute nafasi ya kushauriana kati ya wakabidhi kwa njia ya mkutano wa google meetup au zoom. Naona idadi ya makala mbaya imeanza kuzidi, na kazi ya kusafisha inazidi. Ninapendekeza kupatana kuhusu hatua ya kusimamisha wachangiaji wanaoopuuza kanuni. Na pia jinsi ya kuongoza wachangiaji wapya wakati wa kampeni hizo wakileta matokeo katika swwiki.
Nikimzuia mtu, namweleza kwamba anaweza kupeleka malalamiko kwenye ukurasa wa jamii. Ninamwomba pia aniandikie kwenye ukurasa wangu wa majadiliano na kusema kama yuko tayari kusahihisha kurasa zake (ambako ningempa mwongozo). Akiandika, nitaondoa zuio. Kama la, basi. Akionyesha anajaribu kusahihisha arudi.
Kuhusu mazoezi ya kutunga makala naona kwanza yaandaliwe vizuri zaidi. Mfano jamii, interwiki, viungo vya ndani vielezwa na kuandaliwa pia. (hapa tumepata miji ya leo ya Tunesia ambayo yamepangwa katika jamii ya kiakiolojia pekee).
Pendekezo : wageni wote wasipakue moja kwa moja. Kila moja aweke makala zake kwenye ukurasa wake mwenyewe, mfano "mtumiaji:Kipala/1/Sousse". Mwisho wa KILA KIPINDI majirani wasome makala za jirani. Waongee kifupi na kuuliza maswali au kudokeza kasoro. Baada ya masahihisho makala yapelekwe kwenye name space kama "Sousse". KAMWE MAPEMA!
- Naunga mkono kabisa! Pendekezo langu ni kuwasaidia kwanza kuzoea baadhi ya mambo, hawawezi kujifunza yote haraka! Watunge mbegu ambazo pengine tumeandaa kielelezo chake. Amani kwa wote! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:16, 8 Agosti 2021 (UTC)
- Naunga mkono, napendekeza kungekua na namna ambayo wachangiaji wapya wasiweze kutumia tool ya translate mpaka awe amefika idadi kadhaa ya makala.Czeus25 Masele (majadiliano) 19:26, 8 Agosti 2021 (UTC)
- Wanatumia google translate.Kipala (majadiliano) 07:02, 9 Agosti 2021 (UTC)
- Naunga mkono, napendekeza kungekua na namna ambayo wachangiaji wapya wasiweze kutumia tool ya translate mpaka awe amefika idadi kadhaa ya makala.Czeus25 Masele (majadiliano) 19:26, 8 Agosti 2021 (UTC)
New Wikipedia Library collections and design update (August 2021)
Hello Wikimedians!
The Wikipedia Library is pleased to announce the addition of new collections, alongside a new interface design. New collections include:
- Cabells – Scholarly and predatory journal database
- Taaghche - Persian language e-books
- Merkur, Musik & Ästhetik, and Psychologie, Psychotherapie, Psychoanalyse - German language magazines and journals published by Klett-Cotta
- Art Archiv, Capital, Geo, Geo Epoche, and Stern - German language newspapers and magazines published by Gruner + Jahr
Additionally, De Gruyter and Nomos have been centralised from their previous on-wiki signup location on the German Wikipedia. Many other collections are freely available by simply logging in to The Wikipedia Library with your Wikimedia login!
We are also excited to announce that the first version of a new design for My Library was deployed this week. We will be iterating on this design with more features over the coming weeks. Read more on the project page on Meta.
Lastly, an Echo notification will begin rolling out soon to notify eligible editors about the library (T132084). If you can translate the notification please do so at TranslateWiki!
--The Wikipedia Library Team 13:23, 11 Agosti 2021 (UTC)
- This message was delivered via the Global Mass Message tool to The Wikipedia Library Global Delivery List.