Posts

Nercent Meena (25) ni Kijana Mtanzania anaeuza karanga ili apate ada ya kusomea Urubani, hakutaka kuzunguka kuomba tu msaada wa ada akaamua kutengeneza karanga zenye nembo yake ambazo alipiga kabisa hesabu kwamba akiziuza kwa shilingi 500 kwa Watanzania laki 3 tu ada yake itatimia, mpaka sasa kakusanya MILIONI 9 toka aanze kuziuza miaka miwili iliyopita, FULL INTERVIEW iko hapa >>> http://millardayo.com/ncnt30jn/ (mpesa ya kumchangia 0763334545)

millardayo.com
Ni jambo rahisi kusikia Mtu akisema ana ndoto ya Urubani lakini Narcent Meena amekua tofauti na wengine wengi baada ya kuacha kuongea tu kwa mdomo, ameamua kuanza kuuza karanga za shilingi mia tano ili akusanye ada ya kusomea Urubani, bonyeza play hapa chini kumtazama EXCLUSIVE: NYUMBANI KWA BILIONE...
millard ayo shared a link.
2 mins
millardayo.com
Leo July 3, 2019 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amezungumza na Waandishi wa habari mambo mbalimbali ikiwemo juu ya kontena 500 ambazo amezikamata katika bandari ya DSM. “Nimekamata juzi kuna mzigo wa Makontena 500 na meli zinakuja walitaka iende Bandari nyingine kisa eti...
Videos
😂😂
346
82
BET Awards 2019... heshima kwa NIPSEY ✊🏿
504
12
Kwenye Mjadala wa jinsi gani Mwanamke anaweza kuwezeshwa kupitia MEDIA, Daktari wa Kenya anasema kwanza Wanawake watambue kwamba hawahitaji kuwezeshwa, “Mwanamke ana uwezo na uwezo wake alipewa na Mungu” video nzima ipo YouTUBE ya millardayo, via #maonimtaani ya #DWkiswahili video nzima ipo hapa >>>> https://m.youtube.com/watch?v=rBflTxMQ650
154
21
Photos