Badru Juma Rajabu

@badrujumah

Secretary General Youth of United Nations Tanzania |Tanzania`s Youth Envoy to Commonwealth /president Darcity Rotaract club - D9211 |Digital Man |Yali-Mandela

Joined April 2012

Tweets

Caution: This account is temporarily restricted

You’re seeing this warning because there has been some unusual activity from this account. Do you still want to view it?

  1. Pinned Tweet
    Mar 10

    Pregnant women are extremely vulnerable to malaria.If the disease is contracted during pregnancy it can be passed to the infant or result in low birth weight which decreases the baby`s chance of survival

    Undo
  2. 12 hours ago
    Undo
  3. Retweeted

    55% ya wananchi wanakubali utendaji wa Rais Magufuli tangu alipoingia madarakani 2015 > Kukubalika huku kumepungua kutoka 96% mwaka 2016, na 71% mwaka 2017 >Kiwango hiki ni cha chini kwa Rais wa Tanzania tangu takwimu hizi zianze kukusanywa 2001

    Undo
  4. 12 hours ago
    Undo
  5. Retweeted
    12 hours ago

    Mikutano ya hadhara haijazuiliwa. Nataka nimwambie ndugu yangu Mbowe mwaka 2015 ndio amefanya mkutano wake wa kwanza tena ameufanyia Hai lakini cha ajabu yeye na chama chake ndio wamekuwa mstari wa mbele kusema kwamba Serikali imezuia mikutano ya hadhara -

    Undo
  6. 12 hours ago
    Undo
  7. Retweeted
    12 hours ago

    All of the above from polls on participation, demonstrations, democracy and politics in

    Show this thread
    Undo
  8. 12 hours ago

    Dada Fatma ameungana na Kaka Max na wengine leo ..mambo ni mottooooo

    Undo
  9. Retweeted
    12 hours ago

    Edson (16yrs) ni moja kati ya vijana wabunifu na wenye weledi mkubwa katika harakati za kuikomboa jamii. Katika shindano la , Edson amefika kwenye 5 bora.. Kwa niaba yake, ili kumfanya mshindi, nakuomba umuweke Edson nambari moja hapa

    Undo
  10. Retweeted
    12 hours ago

    My ten key findings from the Twaweza / Sauti za Wananchi polls: 1. People don’t define democracy primarily by elections, but rather by freedoms of expression, assembly, etc.

    Show this thread
    Undo
  11. 12 hours ago
    Undo
  12. Retweeted
    12 hours ago

    2. Awareness and support for planned demonstrations in April 2018 was substantially higher than for similar planned demonstrations in 2016.

    Show this thread
    Undo
  13. 12 hours ago
    Undo
  14. Retweeted
    12 hours ago

    Tunaheshimu tafiti za kisayansi na tunawapongeza sana , ila tunaomba wafanye utafiti kuhusu amani, umasikini, rushwa na mambo muhimu yanayohusu wananchi

    Undo
  15. 12 hours ago
    Undo
  16. Retweeted
    13 hours ago

    Handover ceremony of the Nassa Upgraded facility in Busega, one out of 33 facilities upgraded in Simiyu. We are grateful to Hon. Selemani Said Jafo, Minister of State, PORALG to grace the occasion

    Undo
  17. Retweeted

    Kukubalika kwa Rais imepungua mpk 55% ambayo haijawahi kutokea katika historia ya utafiti (angalia ulinganishi na Rais waliopita na pia takwimu za Rais tokea 2016) Historic low approval ratings for at 55%

    , , and 7 others
    Undo
  18. Retweeted

    Polepole : Nimekwenda majimbo kadhaa ya wapinzani kama kwa Mbowe, Mbatia, Zitto n.k na hawafanyi mikutano ya hadhara huko > Na hawa ndio wako mstari wa mbele kusema mikutano imekatazwa au inazuiwa > Lakini mikutano ya vyama Temeke, Ilala inafanyika

    Undo
  19. Retweeted

    Polepole : Mikutano ya hadhara haijapigwa marufuku bali imewekewa utaratibu maalum > Tunataka viongozi mf. Wabunge wasivurugwe katika maeneo yao ya Uongozi > Wanachama hawaongezwi kwa mikutano bali mbinu za nyumba kwa nyumba hata kitanda kwa kitanda

    Undo
  20. Retweeted
    13 hours ago

    55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli tangu alipoingia madarakani mwaka 2015. Kukubalika huku kumepungua kutoka 96% mwaka 2016, na 71% mwaka 2017.

    This media may contain sensitive material. Learn more
    Undo
  21. Retweeted
    12 hours ago

    Kauli za vitisho kwa Wananchi zinachochea tamaa yao ya kuandamana na kuifanya kuwa juu - , Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS)

    Undo

Loading seems to be taking a while.

Twitter may be over capacity or experiencing a momentary hiccup. Try again or visit Twitter Status for more information.

    You may also like

    ·