Nomino za pekee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mifano
  • 'Juma ni rafiki mzuri wa Sarah
  • Diana amefeli mtihani
  • Asha yu mzima wa afya
  • Richard amefaulu mtihani

Nomino za pekee ni maneno yanayotaja majina mahususi ya watu, mahali au vitu ambavyo vina sifa ya pekee. Maneno haya yanapoandikwa lazima yaanze na herufi kubwa mwanzoni.

Mifano
  • Dar es Salaam kuna msongamano wa magari sana
  • Nairobi kuna wakora wengi
  • Oliver amesafiri
  • Anna yupo shule
  • Mlima Kilimanjaro ni mrefu sana

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nomino za pekee kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.