@XHSwahiliAkaun disahkan

@XHSwahili

We are public media for the public good. We don't pursue corporate interests, nor will we ever yield to the pressure of ideological stigma.

Menyertai Julai 2015
Dilahirkan pada 1 Januari 1931

Tweet

Anda telah menyekat @XHSwahili

Adakah anda pasti anda mahu melihat Tweet ini? Melihat Tweet tidak akan menyekat @XHSwahili

  1. 8 jam lalu

    Mchanganyiko huu wa picha unaonyesha wafanyikazi nchini China wakiweka sehemu ya bomba kwenye eneo la ujenzi ya bomba ya kituo cha kupokea gesi asili ya kimiminika (LNG) katika mji wa Tangshan.

    Buat asal
  2. 9 jam lalu

    Wimbi kali la pili la COVID-19 linaendelea kuiathiri Uganda na kiwango cha asilimia 17.1 za kesi zilizothibitishwa nchini humo.

    Buat asal
  3. 10 jam lalu

    Aina hatari ya ugonjwa wa maarufu kwa jina Delta, ambayo tayari imeripotiwa katika mataifa zaidi ya 90 kwote ulimwenguni ni kizingiti kikubwa dhidi ya juhudi za kupambana na janga la corona duniani na inaashiria umuhimu wa kujenga kinga ya ulimwengu kwa kuchanja umati.

    Buat asal
  4. 11 jam lalu

    Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) kimejitolea kuleta amani na maendeleo kwa wanadamu wote, kulingana na ujumbe wa jarida nyeupe lililotolewa hii leo (Alhamisi).

    Buat asal
  5. 11 jam lalu

    Je, unamkumbuka yule mwanamke kutoka Africa Kusini ambaye aligonga vichwa vya habari baada ya kuripotiwa kujifungua watoto 10? Sasa imebainika kuwa alipotosha umma kwa kuwa hajawahi kubeba mimba katika miezi zilizopita- mamlaka ya mkoa wa Guateng imearifu.

    Buat asal
  6. 12 jam lalu

    Mbwa waliookolewa wanapokea mafunzo katika chuo kikuu cha Ufilipino (UP) huko Manila.Kitengo cha uokoaji cha UP Sagip K9 kinakusudia kutafuta kusudi na utunzaji wa mbwa ambao waliachwa bila kulishwa, kupitia mafunzo ya utaftaji na uokoaji.

    Buat asal
  7. 12 jam lalu

    Tazama miamba haya nchini New Zealand yanayojulikana kwa majina “Dada watatu” na “Tembo” yanayopatikana kwenye pwani ya Taranaki Kaskazini.

    Buat asal
  8. 13 jam lalu

    Watu wawili waliuawa na wengine 15 kujeruhiwa jana nchini Pakistan baada ya mlipuko mkubwa kuzuka katika eneo la makazi ya mji wa Lahore, mashariki mwa nchi hiyo.

    Buat asal
  9. 14 jam lalu

    Kizazi kipya cha muundo wa treni ya mwendokasi ya China maarufu kwa jina "Fuxing" kuzinduliwa kesho (Juni 25) wakati huu treni hizo zikiwa na teknolojia zilizosasishwa ikiwemo mtandao wa kizazi cha tano (5G), mabehewa yenye hoteli za kifahari na teknolojia zingine.

    Buat asal
  10. 15 jam lalu

    Gavana wa Jimbo la New York Andrew Cuomo Jumatano alitangaza kuwa jimbo hilo litasitisha hali ya dharura iliyokuwa imetangazwa ya jimbo zima siku ya Alhamisi (leo) kutokana na maendeleo makubwa ambayo yamepatikana katika kupambana na janga la COVID-19.

    Buat asal
  11. 16 jam lalu

    Wanamgambo wa Taliban wameongeza mashambulizi yao nchini Afganistan tangu kuanza kwa kuondoka kwa wanajeshi wanaoongozwa na Marekani mnamo Mei 1, na wamekamata wilaya nyingi wakati maadui wao wa zamani wanajiandaa kupambana nao.

    Buat asal
  12. 17 jam lalu

    Baada ya wimbi la pili linaloendelea la COVID-19 kuanza kushuka nchini India, wataalam wa afya wameanza kuonya kuhusu kuzuka kwa wimbi jingine iwapo itifaki za kiafya hazitafuatwa kama ipasavyo.

    Buat asal
  13. 23 Jun

    Panda wa kike nchini Japan, anayejulikana kwa jina Shin Shin, amejifunugua watoto mapacha katika mbuga ya wanyama ya Ueno katika mji mkuu wa Tokyo.

    Buat asal
  14. 23 Jun

    Waendeshaji magari nchini India wana wakati mgumu kuvuka barabara mjini Bhopal baada ya mvua kubwa kugonga eneo hilo na kusababisha mafuriko.

    Buat asal
  15. 23 Jun

    Israeli iliruhusu malori kadhaa ya Wapalestina yaliyobeba bidhaa za kusafirisha nje kupitia njia ya Kerem Shalom, kusini mwa Gaza, kwa siku ya pili baada ya kuifungua tena baada ya siku 40 kwa sababu ya mzozo wa Israeli na Palestina.

    Buat asal
  16. 23 Jun

    Sherehe ilifanyika Jumanne kumkumbuka Fuxi, babu mashuhuri wa taifa la Wachina, katika jiji la Tianshui, kaskazini magharibi mwa Mkoa wa Gansu wa China. Utamaduni wa Fuxi ni moja ya chimbuko la ustaarabu wa Wachina.

    Buat asal
  17. 23 Jun

    Uvunaji wa matunda ya mafuta ya mawese umeanza kwenye shamba la mafuta ya mawese katika wilaya ya Langkat, Sumatra Kaskazini, Indonesia.

    Buat asal
  18. 23 Jun

    Picha hizi zinaonyesha kijiji kilichofurika cha Djegbadji, nchini Benin.

    Buat asal
  19. 23 Jun

    Mkusanyiko huu unaonyesha raia nchini Lebanon wakifurahia michezo ya maji pamoja na kuruka mwamba, kusafiri kwa mashua na kuogelea katika Bahari ya Mediteranea karibu na Mwamba wa Raouch baada ya kesi za ugonjwa wa COVID-19 kushika kwa kiwango cha juu.

    Buat asal
  20. 23 Jun

    Serikali ya Rwanda imeonya kuwa haitasita kutangaza awamu ya pili ya amri ya kutotoka nje (lockdown) iwapo watu watazidi kukiuka taratibu za kudhibiti janga la .

    Buat asal

Pemuatan nampaknya mengambil sedikit masa.

Twitter mungkin melebihi kapasiti atau mengalami gangguan seketika. Cuba sekali lagi atau lawati Status Twitter untuk mendapatkan maklumat lanjut.

    Anda juga mungkin menyukai

    ·