Unaona lugha zote hapo juu? Tunatafsiri habari za Global Voices kufanya habari za kidunia zimfikie kila mmoja.

Habari Mpya

8 Januari 2018

Kipi Kinajiri Maekelawi? Simulizi ya Ukatili wa Kituo cha Kushikilia Watuhumiwa cha Ethiopia Kinachotarajiwa Kufungwa

GV Utetezi

"Imefahamika kwamba hofu ya wafungwa nchini Ethiopia, kitu ambacho kilishakaribia kufutika kwenye kumbukumbu za watu, kumbe ni nkumbukumbu iliyokaribu kabisa"

20 Disemba 2017

Jina Lako Linaonekanaje kwa Alfabeti Mpya za Kilatini Kazakhstan?

Usishangae lugha imejaa alama za apostrofi.

Namna ya Kuandika kwa Ajili ya GV

GV Community Blog

Mambo ya Kuzingatia Unapoandika Habari ya GV Kabla ya kutuma andiko lako kwa ajili ya uhakiki, angalia maeneo yafuatayo: Kichwa cha habari: Je, wasomaji watavutiwa...

5 Septemba 2017

Mashirika ya Kimataifa Yataka Kuachiliwa Huru kwa Mwanaharakati wa Haki za Ardhi Nchini Cambodia Tep Vanny

“Ingawa niko jela, nina pingu mikononi na nimevaa sare za wafungwa, ukweli ni kwamba sina hatia daima.”

30 Agosti 2017

Kupiga Marufuku Wasichana Waliozaa Kurejea Masomoni, Inaweza Isiwe Suluhisho la Mimba Mashuleni.

Rais John Magufuli amezionya asasi za kiraia nchini Tanzania kwa kuwatetea wasichana wanaopata ujauzito kurudi shuleni, akisema kwamba kufanya hivyo 'kutamomonyoa maadili' nchini Tanzania.

24 Agosti 2017

Mchora Vibonzo vya Kisiasa Nchini Malaysia Zunar Aishitaki Polisi Kwa Kumkamata Kinyume cha Sheria na Kushikilia Vitabu

GV Utetezi

"You can ban my books, you can ban my cartoons, but you cannot ban my mind. I will keep drawing until the last drop of...

22 Agosti 2017

Mkimbizi na Mchora Vibonzo wa Korea Kaskazini Achora Kuhusu Maisha Yalivyo Kwa Watu Wanaotoroka

Akiwa mtoto, walimu walimsifu Choi Seong-guk kwa michoro yake ya wanajeshi wa Kimarekani ambapo anasema aliwafanya waonekane "wabaya na wakatili kadri ilivyowezekana."

20 Agosti 2017

Jiandikishe Sasa kwa Mkutano Mkuu wa Global Voices 2017: Desemba 2-3 Jijini Colombo, Sri Lanka!

Mkutano Mkuu wa Global Voices 2017 umefunguliwa kwa ajili ya uandikishaji! Ungana nasi jijini Colombo kujadili hali ya uhuru wa mtandao, harakati za kiraia mtandaoni...

16 Agosti 2017

Mamlaka ya Habari ya Thailand Yaufungia Mtandao wa TV Uliomwita Kiongozi wa Junta Dikteta

"Amri hiyo inakiadhibu kituo chote ikiwa ni pamoja na vipindi vyote bila kujali maudhui yake, na watu wote bila kujali majukumu yao."

14 Agosti 2017

Waziri Mkuu Mwanamke wa Kwanza wa Jamaica Astaafu Akisifiwa, Akikoselewa — na Mjadala wa Nani Atakuwa Mrithi Wake

"Portia Simpson aliingia kwenye siasa za uwakilishi kwa ngazi ya bunge mwaka 1976 ambapo siasa na ukabila na ghasia zilikuwa na nafasi kubwa."