Taarifa ya hivi punde kutoka mjini Doha zinasema serikali ya Qatar imesikitishwa na hatua za Bahrain, Saudi Arabia, Muungano wa Falme za Kiarabu, Yemen na Misri kuikatia mahusiano yote ya kidiplomasia kwa tuhuma za kusaidia ugaidi na kuingilia mambo ya ndani kwenye mataifa hayo. Kituo cha televisheni cha al-Jazeera kimeinukulu wizara ya mambo ya nje ya Qatar ikisema "hatua hizo