1867
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 18 | Karne ya 19 | Karne ya 20 | ►
◄ | Miaka ya 1830 | Miaka ya 1840 | Miaka ya 1850 | Miaka ya 1860 | Miaka ya 1870 | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | ►
◄◄ | ◄ | 1863 | 1864 | 1865 | 1866 | 1867 | 1868 | 1869 | 1870 | 1871 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1867 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 17 Februari - meli ya kwanza inapita Mfereji wa Suez
- 18 Oktoba - Urusi unauza Alaska kwa Marekani.
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
Kalenda ya Gregori | 1867 MDCCCLXVII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5627 – 5628 |
Kalenda ya Ethiopia | 1859 – 1860 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1316 ԹՎ ՌՅԺԶ |
Kalenda ya Kiislamu | 1284 – 1285 |
Kalenda ya Kiajemi | 1245 – 1246 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 1922 – 1923 |
- Shaka Samvat | 1789 – 1790 |
- Kali Yuga | 4968 – 4969 |
Kalenda ya Kichina | 4563 – 4564 丙寅 – 丁卯 |
- 8 Januari - Emily Balch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1946)
- 18 Januari - Rubén Darío, mwandishi kutoka Nikaragua
- 23 Aprili - Johannes Fibiger (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1926)
- 7 Mei - Wladyslaw Reymont (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1924)
- 8 Juni - Frank Lloyd Wright, msanifu majengo kutoka Marekani
- 28 Juni - Luigi Pirandello (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1934)
- 1 Agosti - William Speirs Bruce, mpelelezi wa Antaktiki kutoka Uskoti
- 14 Agosti - John Galsworthy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1932)
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 14 Januari - Jean-Auguste-Dominique Ingres, mchoraji kutoka Ufaransa
- 30 Januari - Komei, Mfalme Mkuu wa 121 wa Japani (1846-1867)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: