Wakati babaake Bryan Jackson alipomdunga sindano ya virusi vya HIV mwanawe mchanga,alitumai kwamba hatamuona akikuwa. Hakuna mtu aliyedhani kwamba miaka 24 baadaye atakabiliana na mwanawe mahakamani ili kusikiliza athari za uhalifu alioufanya. Wawili hao walikutana mahakamani licha ya kutoonana tangu Bryan alipokuwa mtoto. Jackson yuko katika mahakama hiyo kusoma taarifa ambayo