1912
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | ►
◄◄ | ◄ | 1908 | 1909 | 1910 | 1911 | 1912 | 1913 | 1914 | 1915 | 1916 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1912 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 8 Januari - kuanzishwa kwa "South African Native National Congress" nchini Afrika Kusini ambayo ni chama kitangulizi cha ANC.
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
Kalenda ya Gregori | 1912 MCMXII |
Kalenda ya Kiyahudi | 5672 – 5673 |
Kalenda ya Ethiopia | 1904 – 1905 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1361 ԹՎ ՌՅԿԱ |
Kalenda ya Kiislamu | 1330 – 1331 |
Kalenda ya Kiajemi | 1290 – 1291 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 1967 – 1968 |
- Shaka Samvat | 1834 – 1835 |
- Kali Yuga | 5013 – 5014 |
Kalenda ya Kichina | 4608 – 4609 辛亥 – 壬子 |
- 21 Januari - Konrad Bloch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1964
- 30 Januari - Horst Matthai Quelle, mwanafalsafa kutoka Ujerumani
- 12 Februari - Shaykh 'Abdullaah Swaalih Al-Farsy, mwanahistoria kutoka Zanzibar
- 19 Aprili - Glenn Seaborg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1951
- 22 Mei - Herbert Brown, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1979
- 27 Mei – John Cheever, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1979
- 28 Mei - Patrick White, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1973
- 30 Mei - Julius Axelrod, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1970
- 12 Julai - Kardinali Laurean Rugambwa wa Dar es Salaam
- 13 Agosti - Salvador Luria, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 30 Agosti - Edward Purcell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1952
- 17 Oktoba - Papa Yohane Paulo I (kwa jina la Albino Luciani)
- 19 Novemba - George Palade, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1974
- 30 Novemba - Gordon Parks, msanii wa Marekani
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 20 Aprili - Bram Stoker, mwandishi kutoka Ireland
- 20 Mei - Mtakatifu Arkanjelo Tadini, padri
- 12 Juni - Frederic Passy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1901
- 30 Juni - Mutsuhito (Meiji), Mfalme Mkuu wa Japani
- 6 Oktoba - Auguste Beernaert, mwanasiasa Mbelgiji na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1909
Wikimedia Commons ina media kuhusu: