Unda, badilisha na ushirikiane na wengine kwenye hati kutoka katika simu au kompyuta kibao yoyote ya Android kwa kutumia programu isiyolipishwa ya Hati za Google. Ukiwa na Hati za Google unaweza:
- Kuunda hati mpya au kubadilisha hati zozote zilizoundwa kwenye wavuti au kwenye kifaa kingine.
- Kushiriki hati na kufanya kazi pamoja na wengine katika hati moja kwa wakati sawa.
- Kufungua, kubadilisha na kuhifadhi hati za Microsoft Word.
- Kufanya kazi zako wakati wowote -- hata bila muunganisho wa intaneti.
- Kuongeza na kujibu maoni.
- Kukaa bila hofu ya kupoteza kazi yako -- kila kitu kinahifadhiwa kiotomatiki kadri unavyocharaza.

Ukaguzi
Kilicho Kipya
* Hitilafu zimerekebishwa na utendakazi kuboreshwa
Pata maelezo zaidi kuhusu ruhusa za Android tunazoitisha na sababu yetu ya kufanya hivyo: https://support.google.com/docs/?p=permissions