Aliyekuwa mshindi wa tuzo la Miss World Kenya 2016 , Roshanara Ebrahim, amepokonywa taji lake baada ya kukumbwa na sakata . Kulingana na gazeti la The Standard nchini Kenya,Roshanara mwenye umri wa miaka 23, alishinda taji la mwaka uliopita na alikuwa