14 Februari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jan - Februari - Mac | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | ||||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 14 Februari ni siku ya arubaini na tano ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 320 (321 katika miaka mirefu).
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 1130 - Uchaguzi wa Papa Innocent II
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1869 - Charles Wilson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1927
- 1917 - Herbert Hauptman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1985
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 869 - Mt. Kyrilo, mmonaki kutoka Ugiriki ambaye alieneza Ukristo kati ya Waslavoni pamoja na mdogo wake Mt. Methodi na kubuni mwandiko wa Kikyrili
- 1779 - James Cook, mpelelezi kutoka Uingereza
- 1975 - Julian Huxley, mwanabiolojia, na mkurugenzi wa kwanza wa UNESCO
- 1975 - P. G. Wodehouse, mwandishi kutoka Uingereza
- 1982 - Antonio Casas, mwigizaji wa filamu kutoka Hispania
Sikukuu[hariri | hariri chanzo]
- Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya watakatifu Sirili wa Thesalonike, mmonaki na Methodi, askofu
- Tarehe 14 Februari ni pia sikukuu ya mtakatifu Valentinus, padri mfiadini, inayosheherekewa kama "Siku ya wapendanao"
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 14 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |