London

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tazama pia East London, Afrika Kusini; London, Ontario na New London, Connecticut
London
Daraja la minara (Tower Bridge) mjini London
Daraja la minara (Tower Bridge) mjini London
London is located in Uingereza
London
London
Mahali pa mji wa London katika Uingereza
Anwani ya kijiografia: 51°30′28″N 00°07′41″W / 51.50778°N 0.12806°W / 51.50778; -0.12806
Nchi Ufalme wa Muungano
Idadi ya wakazi (2007)
 - 7,556,900
Tovuti: http://www.london.gov.uk/

London ni mji mkuu wa Uingereza na mji mkubwa wa nchi hii mwenye wakazi milioni 7.5. Kwenye rundiko la mji idadi ya watu ni karibu milioni 14.

London ni mahali muhimu kwa biashara na benki kimataifa. Jiji la London ndilo linalopokea watalii wengi zaidi ulimwenguni.[1] Uwanja wa ndege wa Heathrow unapokea wasafiri wengi zaidi kushinda mahali popote duniani.[2]

London ina watu wa kutoka tamaduni mbalimbali, dini tofautitofauti, na zaidi ya lugha 300 huzungumzwa jijini London.[3]

Mji umepambwa na majengo mazuri kama makumbusho, makanisa na majumba yanayovuta watalii wengi kila mwaka.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Bremner, Caroline. "Euromonitor International's Top City Destination Ranking", Euromonitor International, 10 Januari 2010. Retrieved on 18 Oktoba 2010. 
  2. (PDF) Top ten world airports – 2004, archived on 2008-03-07. Error: If you specify |archivedate=, you must also specify |archiveurl=, http://www.heathrowairport.com/assets/B2CPortal/Static%20Files/TopAirports04.pdf
  3. Languages spoken in the UK population, CILT, the National Centre for Language 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

England-geo-stub.png Makala hii kuhusu maeneo ya Uingereza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu London kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.