1926
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | ►
◄◄ | ◄ | 1922 | 1923 | 1924 | 1925 | 1926 | 1927 | 1928 | 1929 | 1930 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1926 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 6 Agosti - Gertrude Ederle ni mwanamke wa kwanza kuvuka mlangobahari kati ya Uingereza na Ufaransa kwa kuogelea.
- 15 Novemba - Kuanzishwa kwa Jumuiya ya Kibritania katika Azimio la Balfour (kwa Kiingereza Balfour Declaration of 1926), mtangulizi wa Jumuiya ya Madola kama ushirikiano wa Uingereza na koloni zake za zamani.
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
Kalenda ya Gregori | 1926 MCMXXVI |
Kalenda ya Kiyahudi | 5686 – 5687 |
Kalenda ya Ethiopia | 1918 – 1919 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1375 ԹՎ ՌՅՀԵ |
Kalenda ya Kiislamu | 1345 – 1346 |
Kalenda ya Kiajemi | 1304 – 1305 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 1981 – 1982 |
- Shaka Samvat | 1848 – 1849 |
- Kali Yuga | 5027 – 5028 |
Kalenda ya Kichina | 4622 – 4623 乙丑 – 丙寅 |
- 29 Januari - Abdus Salam, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1979
- 27 Februari - David Hubel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1981
- 24 Machi - Dario Fo, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1997
- 21 Aprili - Elizabeth II, Malkia wa Uingereza
- 25 Mei - Miles Davis, mwanamuziki kutoka Marekani
- 27 Mei - Rashidi Kawawa, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 1 Juni - Marilyn Monroe, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 19 Juni - Antoni Gaudi, msanifu majengo wa Hispania
- 30 Juni - Paul Berg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1980
- 9 Julai - Ben Mottelson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1975
- 16 Julai - Irwin Rose, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2004
- 11 Agosti - Aaron Klug, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1982
- 13 Agosti - Fidel Castro, Rais wa Kuba
- 21 Septemba - Donald A. Glaser, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1960
- 23 Septemba - John Coltrane, mwanamuziki kutoka Marekani
- 18 Oktoba - Klaus Kinski, mwigizaji filamu kutoka Ujerumani
- 25 Novemba - Tsung-Dao Lee, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1957
- 30 Novemba - Andrew Schally, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1977
- 9 Desemba - Henry Kendall, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1990
bila tarehe
- Bibi Titi Mohammed, mwanasiasa wa Tanzania
- Sydney Clouts, mwandishi wa Afrika Kusini
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 21 Januari - Camillo Golgi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1906
- 21 Februari - Heike Kamerlingh Onnes, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1913
- 14 Septemba - Rudolf Christoph Eucken, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1908
- 25 Desemba - Yoshihito, Mfalme Mkuu wa Japani
Wikimedia Commons ina media kuhusu: