Mili miwili ya wanamuziki 10 waliokufa maji katika ziwa Victoria baada ya dau lao kuzama imepatikana. kulingana na gazeti la The Standard,mili hiyo hatahivyo itasalia kuwepo katika ufukwe wa bahari hadi pale miili minane iliosalia ipatikane kulingana na tamaduni za eneo hilo. Kuomboleza kumepigwa marufuku kwa muda kutokana na hofu kwamba huenda kukaleta bahati mbaya na