5 Machi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 5 Machi ni siku ya 64 ya mwaka (ya 65 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 301.
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1923 - Mario Brega, mwigizaji wa filamu kutoka Italia
- 1937 - Olusegun Obasanjo, Rais wa Nigeria miaka 1976-1979 na 1999-2007
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 254 - Mtakatifu Papa Lucius I
- 1734 - Mtakatifu Yohane Yosefu wa Msalaba, padre Mfransisko kutoka Italia
- 1941 - Ludwig Quidde, mwanasiasa Mjerumani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1927
- 1953 - Josef Stalin, kiongozi wa Umoja wa Kisovyeti tangu mwaka 1924
- 1971 - Allan Nevins, mwandishi na mwanahistoria kutoka Marekani
Sikukuu[hariri | hariri chanzo]
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya mtakatifu Papa Lucius I na ya mtakatifu Yohane Yosefu wa Msalaba, padri
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 5 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |