Mtoto wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Pakistan amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu kutekwa nyara kwake na kundi la wanamgambo wa Al Qaeda. Katika mahojiano na BBC, Ali Haider Gilani
Kufuatia kura ya maoni ya Uingereza kujitoa ndani ya Jumuiya ya Ulaya waziri wa mambo ya kigeni wa Marekari John Kerry amesema Marekani inaangalia mfumo wa ushirikiano na Uingereza kiuchumi. Msimamo
Wataalam wa masuala ya anga wamefanikiwa kurekebisha kifaa kinachotunza kumbukumbu ya mwenendo wa ndege cha EgyptAir iliyoanguka mwezi uliopita na kuua watu 66
Timu ya Iceland imeoiondoa England kwa mabao 2-1 katika michuano ya mpira ya Euro 2016
Rais wa Argentina Mauricio Macri amemwita nyota wa soka wa nchi hiyo Lionel Messi kwa lengo la kumuomba atengue maamuzi yake ya
Saa chache tu baada ya timu ya kandanda ya Uingereza kubanduliwa nje ya mashindano ya mwaka huu ya Euro 2016, Kocha wa Uingereza Roy Hodgson amejiuzulu wadhfa wake. Hodgson alikuwa ameshuhudiwa uingereza ikiambulia kichapo cha mabao 2-1
Mili miwili ya wanamuziki 10 waliokufa maji katika ziwa Victoria baada ya dau lao kuzama imepatikana. kulingana na gazeti la The Standard,mili hiyo hatahivyo itasalia kuwepo katika ufukwe wa bahari hadi pale miili minane iliosalia ipatikane kulingana na tamaduni za eneo hilo. Kuomboleza kumepigwa marufuku kwa muda kutokana na hofu kwamba huenda kukaleta bahati mbaya na
Mwanafunzi mmoja wa India amehukumiwa kifungo jela kwa kudanganya katika mtihani baada ya kujaribiwa kwa mara ya pili. Ruby Rai mwenye umri wa miaka 17 ambaye alikuwa wa kwanza
Kundi la wanamgambo wa Isalmic State siku ya jumapili lilikiri kutekeleza shambulio la kujitoa
Papa Francis amewataka Wakatoliki Duniani kuwaomba radhi watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja
Michuano ya Copa America imefikia tamati leo hii kwa mabingwa watetezi Chile kuendeleza ubabe wake dhidi ya Vigogo wa soka duniani Argentina. Dakika 120 za mchezo huo
Israel na Uturuki wanatarajiwa leo kutia sahihi mapatano yanayonuia kumaliza uhasama kati ya mataifa hayo mawili. Uhusiano wa karibu baina ya mataifa hayo uliharibika miaka
Mshambulizi wa Argentina na Barcelona Lionel Messi amestaafu kutoka soka ya kimataifa. Mchezaji huyo bora zaidi duniani alitangaza hatua hiyo baada ya kukosa penalti iliyoiwezesha Chile kuilaza Argentina katika fainali ya mchuano wa Copa America. "Kwangu mimi
Siku chache tu baada ya Uingereza kupiga kura ya kujiondoa kwenye muungano wa ulaya, sarafu ya nchi hiyo imeendelea kudorora mapema leo katika soko la ubadilishanaji wa fedha. Baadhi ya masoko ya hisa katika
Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewafuta kazi wakuu wawili wa mikoa. Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Bi. Anna Kilango Malecela na mwenzake wa Mara Bw. Stanslaus Magesa Mulongo wamefutwa kazi. Katika nafasi zao rais Magufuli amewateua Dkt. Binilith Satano Mahenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma. Aidha Bi. Zainab R. Telack amehamishwa na kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga.
Swala la mihadarati limeanza kuwa sugu miongoni mwa vijana nchini Rwanda. Kulingana na wizara ya afya ya Rwanda utafiti umebainisha kwamba vijana kati ya umri wa miaka 15 na 43 walitumia mihadarati angalau kwa
Maafisa wa mbuga ya wanyamapori nchini Afrika Kusini wamewashauri waweni kuwa makini, baada ya
Wizara ya elimu nchini Kenya imepiga marufuku uhamisho wa wanafunzi kutoka kwa shule moja Magharibi mwa nchi hiyo iliyoteketezwa mabweni 10 usiku wa kuamia jana. Yamkini wanafunzi hao
Afrika Kusini ilichukua nafasi ya kwanza katika mashindano ya riadha barani afrika, yaliyokamilika hiyo jana