26 Aprili
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 1964 - Nchi za Tanganyika na Zanzibar ziliungana kuwa Jamhuri ya maungano ya Tanganyika na Zanzibar (au Tanzania)
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1879 - Owen Richardson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1928)
- 1898 - Vicente Aleixandre (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1977)
- 1917 - Ieoh Ming Pei, msanifu majengo kutoka China na Marekani
- 1932 - Michael Smith (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1993)
- 1933 - Arno Penzias (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1978)
- 1955 - Damian Dalu, askofu wa Jimbo Katoliki la Geita, Tanzania
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 757 - Papa Stefano II
- 1910 - Bjørnstjerne Bjørnson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1903)
- 1940 - Carl Bosch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1931)
- 1984 - Count Basie, mwanamuziki wa Jazz kutoka Marekani
- 1991 - Alfred Bertram Guthrie, mwandishi kutoka Marekani