Nepal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
नेपाल
Nepāl
Bendera ya Nepal Nembo ya Nepal
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: जननी जन्मभूमिष्च स्वर्गादपि गरीयसी  (Sanskrit)
"Mama na Taifa heri ya Mbinguni"
Wimbo wa taifa: Rastriya Gaan
Lokeshen ya Nepal
Mji mkuu Kathmandu
27°42′ N 85°19′ E
Mji mkubwa nchini Kathmandu
Lugha rasmi Kinepali
Serikali Jahmuri ya shirikisho
Bidhya Devi Bhandari

Khadga Prasad Oli
Maungano ya temi za Nepal
{{{established_events}}}
{{{established_dates}}}
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
147,181 km² (ya 95)
2.8
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - 2011 sensa
 - Msongamano wa watu
 
27,133,000 (ya 42)
26,494,504
180/km² (ya 62)
Fedha Rupia ya Nepal (NRs.)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
NPT (UTC+5:45)
(haitumiki) (UTC+5:45)
Intaneti TLD .np
Kodi ya simu +977

-


Ramani ya Nepal

Nepal ni nchi ya Asia ya Kusini kwenye milima ya Himalaya inayopakana na Uhindi na China.

Mlima Everest ambao ni mlima mkubwa kuliko yote duniani uko Nepal.

Mji mkuu ni Kathmandu.

Siasa

Kisiasa Nepal iko katika kipindi cha mageuzi. Hadi 2006 mfalme alitawala peke yake baada ya kuvunja bunge. Mwaka huo alilazimishwa kurudisha bunge, nalo lilitangaza ya kwamba mfalme hana mamlaka tena na kumteua Mkuu wa nchi kwa muda. Tena kwamba bunge mpya litakalochaguliwa Juni 2007 litaamua juu ya katiba mpya.

Tarehe 28 Mei 2008 wananchi waliamua kumaliza ufalme likatangaza Nepal kuwa Jamhuri inayofuata demokrasia na kuwa na muundo wa shirikisho.

Watu

Wenyeji wametokana na wahamiaji waliotokea India, Tibet, China na Myanmar.

Hata lugha zinazotumika ni za jamii 4 tofauti. 44.6% wanaongea Kinepali ambacho ndicho lugha rasmi. Hicho ni mojawapo ya lugha za Kihindi-Kiulaya.

Wakazi wengi (81.3%) hufuata dini ya Uhindu. Ubuddha una 9% wa wakazi, ukifuatwa na Uislamu (4.4%), Ukirati (3.1%), Ukristo (1.4%) na dini za jadi(0.4%).

Tazama pia

Viungo vya nje

Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China.


BlankAsia.png Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nepal kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.