BBC News | 2016-04-07
Waziri mkuu wa Iceland, Sigmundur Gunnlaugsson amejiuzuru kufuatia kashfa nyaraka za siri huko Panama zinazohusiana na ukwepaji wa kodi. Gunnlaugsson imebainika kuwa anamiliki kampuni ya Wintris yeye
Utawala wa serikali ya kidini katika mji mkuu wa Tripol nchini Libya umekabidhi mamlaka kwa baraza la umoja wa mataifa. Uamuzi huo ulichapishwa katika mtandao wa wizara ya sheria. Mamlaka mpya ya
Mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani Ted Cruz ameshinda mchujo wa chama hicho katika jimbo la Wisconsin, hilo likiwa pigo kubwa kwa Donald Trump. Katika chama cha Democratic, Bernie Sanders alipata ushindi mkubwa dhidi ya Hillary Clinton anayeongoza kwa wajumbe kwa sasa. Bw Trump anaongoza kwa wajumbe na katika kura za maoni chama cha Republican, lakini kuna
Je waijua siri ya mafanikio ya mwanamuziki wa kizazi kipya
Kiungo wa kati wa West Ham Cheikhou Kouyate yuko huru kukabiliana na klabu ya Arsenal mechi ya Ligi ya Premia Jumamosi ijayo.
Ongezeko la idadi ya watu wanaonyongwa ulimwenguni lilisababisha watu zaidi kuuawa kwa njia hiyo mwaka uliopita ikilinganishwa na kipindi chochote tangu mwaka 1989,shirika la haki za
Mamba mkubwa mla ng’ombe ameuawa katika jimbo la Florida nchini Marekani. Mnyama huyo alikuwa na uzani wa kilo 360. Mwindaji Lee Lightsey amesema mamba huyo wa ukubwa wa futi 15 (4.5m) ndiye mkubwa zaidi ambaye amekumbana naye katika kipindi
Nyota wa filamu za Bollywood Amitabh Bachchan amekana kuhusishwa na kampuni zozote za kigeni anazotumia kukwepa kulipa
Rais mpya wa shirikisho la soka duniani Fifa,Gianni Infantino alisaini kandarasi na wafanyibiashara wawili ambao wanatuhumiwa na kutoa hongo,kulingana na stakhabadhi zilizofichuliwa. Hugo na
Huduma ya ujumbe Whatsapp imetangaza kuwa itayalinda mawasiliano ya wateja wake kuanzia hapo jana siku ya Jumanne. Huku ulinzi ukiwekwa mwanzo na mwisho wa ujumbe ,ujumbe uharibiwa wakati unapotoka
Kampuni ya Gucci imepigwa marufuku kutumia tangazo moja nchini Uingereza ambalo linamuonyesha modela mmoja aliyedhoofika kiafya. Mamlaka ya viwango vya matangazo imeamua kwamba vile
Huku mtandao ukitawaliwa na picha chungu nzima ,mtandao wa Facebook unazindua mbinu ambayo inaweza kuzisoma picha na kuwaelezea watu walio na ulemavu wa macho kile kilichomo katika picha
Wanasayansi wanasema kuwa wameuweka moyo wa nguruwe katika nyani kwa zaidi ya miaka miwili. Matokeo yake yanaweza kupiga jeki matumaini ya upandikizaji wa viungo
Bodi ya kutathmini na kutoa msamaha kwa wafungwa nchini Israel imekataa kumwachilia huru rais wa zamani wa
Wanaume wawili waliopatikana na hatia ya uwindaji haramu wamepigwa faini ya dola laki 630,000 na mahakama nchini Kenya. Katika kisa
Shirika la afya duniani WHO linasema kuwa viwango vya ugonjwa wa kisukari vinaonyesha kuwa sasa karibu mtu mmoja kati ya kumi na moja wameathirika na maradhi hayo duniani . Shirika hilo
Mama mmoja raia wa Australia amesema anajuta kwa kukataa kupata chanjo ya maradhi ya kifaduro wakati alipokuwa mjamzito baada ya kumuambukiza mwanae maambukizi hayo yanayoweza kumuua. Cormit Avital amesema kuwa alikataa kupewa chanjo hiyo kwasababu
Ripoti mpya ya Afya nchini Kenya inaonyesha kupungua kwa idadi ya watu wanaoambukizwa ugonjwa wa Malaria kwa kipindi cha miaka sita iliyopita. Utafiti huo uliofanywa na wizara ya Afya unasema hali hiyo inatokana na ongezeko la watu wanaolala ndani
Afisi za shirikisho la soka barani Ulaya Uefa zimevamiwa na maafisa wa polisi wa Uswizi baada ya aliyekuwa
Makubaliano ya kusitisha mapigano nchini Syria yamepata pigo kubwa baada ya waasi ambao ni washirika wa wanamgambo wa al-Qaeda nchini Syria kudungua ndege ya jeshi la Syria iliyokuwa