CNN
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Cable News Network (Kifupi: CNN) ni stesheni ya runinga inayotangaza habari iliyoanzishwa na Ted Turner mnamo 1980.[1] CNN ilikuwa stesheni ya kwanza inayotangaza habari masaa 24.[2] Makao yake makuu yako mjini Atlanta, ingawa ina vituo vingine mjini New York, Washington, D.C. na Los Angeles. Kauli yake mbiu ni The Worldwide Leader in News.
Yaliyomo
Vipindi
Jumatatu - Ijumaa |
||||
---|---|---|---|---|
North American Eastern Standard Time Zone|ET | Kipindi | Mwanahabari | Jiji | Maelezo |
|
|
John Roberts and Kiran Chetry | New York | morning news program. |
|
|
Heidi Collins | Atlanta | Kuipindi cha kutangaza habari. |
|
Tony Harris | |||
|
Kyra Phillips | |||
|
Rick Sanchez | Sanchez huwasiliana na watazamaji kwa kutumia tovuti kama Twitter na Facebook. | ||
|
|
Wolf Blitzer | Washington D.C. | Kipindi kinachozingatia habari kwa ufupi, kwa kuzingatia siasa, usalama, na taarifa zenye kuwatia hamu watazamaji. |
|
|
Wanahabari tofauti | New York/Atlanta | Habari kwa ufupi. |
|
|
Campbell Brown | New York | Mahojiano kuhusu siasa na habari zinazohusu wapigaji kura. |
|
|
Larry King | Los Angeles | Kipindi cha mahojiano na watu maarufu. |
|
|
Anderson Cooper | New York | Kipindi cha kutangaza habari. |
Saturday |
||||
ET | Kipindi | Mwanahabari | Jiji | Maelezo |
|
|
Betty Nguyen na T. J. Holmes | Atlanta | Kipindi cha kutangaza habari. |
|
|
Dr. Sanjay Gupta | New York | Kipindi cha matibabu na dawa. |
|
|
Betty Nguyen na T. J. Holmes | Atlanta | Kipindi cha habari. |
|
|
Gerri Willis | New York | Kipindi kinachozingatia fedha. |
|
|
Betty Nguyen and T. J. Holmes | Atlanta | Kipindi kinachtangaza habari. |
|
Fredricka Whitfield | |||
|
|
Ali Velshi na Christine Romans | New York | Kipindi cha biashara. |
|
|
Fredricka Whitfield | Atlanta | Kipindi cha taarifa ya habari. |
|
Don Lemon | |||
|
|
Wolf Blitzer | Washington D.C. | Kipindi cha habari za siasa. |
|
|
Don Lemon | Atlanta | Kipindi cha habari. |
|
|
Kipindi tofauti tofauti | ||
|
|
Larry King | Los Angeles | Kipindi cha mahojiano. |
|
|
Don Lemon | Atlanta | Kipindi cha habari. |
Jumapili |
||||
ET | Kipindi | Mtangazaji | Jiji | Maelezo |
|
|
Betty Nguyen na T. J. Holmes | Atlanta | Kipindi cha taarifa ya habari. |
|
|
Dr. Sanjay Gupta | New York | Kipindi cha matibabu. |
|
|
Betty Nguyen na T. J. Holmes | Atlanta | Kipindi cha habari. |
|
|
John King | Washington D.C. | Kipindi cha siasa. |
|
Howard Kurtz | Reliable Sources ni kipindi cha kuzingatia uanahabari. | ||
|
John King | kipindi cha siasa. | ||
|
|
Fareed Zakaria | Hubadilika | Majadiliano kuhusu habari za kimataifa. |
|
|
Christiane Amanpour | Hubadilika | Majadiliano kuhusu habari za kimataifa. |
|
Your $$$$$ | Ali Velshi na Christine Romans | New York | Kipindi cha habari za kimataifa. |
|
|
Fredricka Whitfield | Atlanta | Taarifa ya habari. |
|
|
Fareed Zakaria | Hubadilika | Mahojiano kuhusu habari za kimataifa. |
|
|
Don Lemon | Atlanta | Taarifa ya habari. |
|
|
|||
|
|
Larry King | Los Angeles | Kipindi cha mahojiano. |
|
|
Don Lemon | Atlanta | Taarifa ya habari. |
Wachambuzi wa kisiasa
- Jack Cafferty, Mwanahabari
- Gloria Borger, Mchambuzi mkuu wa siasa
- Candy Crowley, Mwanahabari mkuu wa siasa
- Ali Velshi, Mwanahabari wa biashara
- Jeff Toobin, Mchambuzi mkuu wa sheria
- Bill Schneider, Mwanahabari mkuu wa siasa
- David Gergen, Mchambuzi mkuu wa siasa
- John King, Mwanahabari mkuu
Stesheni maalum
- CNN.com Live
- CNN Airport Network
- CNN Checkout Channel
- CNN en Español
- HLN (TV network)|HLN
- CNN International
- CNN+ (a partner network in Spain, launched in 1999 with Sogecable)
- CNN TÜRK A Turkish media outlet.
- CNN-IBN An Indian news channel.
- CNNj A Japanese news outlet.
- CNN Chile A Chilean news channel launched on 4 Desemba 2008.
- n-tv German 24 hour news channel in German language. In 2009, on air graphic (DOG position and news ticker) is like CNN. Owned by RTL Group
Ofisi
Marekani
Ofisi zingine duniani |
|
|
|
Marejeo
- ↑ Reese Schonfeld Bio. (29 Januari 2001) MeAndTed.com. Accessed 2007-06-18.
- ↑ CNN changed news - for better and worse. Taipei Times (31 Mei 2005). Iliwekwa mnamo 2009-01-24.