Ubelgiji imewakamata watu 16 katika operesheni ya polisi kupambana na ugaidi mjini Brussels. Katika msako huo, nyumba kumi na tisa zimekaguliwa, ingawa hakuna silaha au mabomu yaliyokamatwa. Ingawa mtuhumiwa mkuu wa shambulio lililotokea mjini Paris, Salah Abdeslam, hajakamatwa. Operesheni hiyo ya polisi kuhusiana na tishio la ugaidi mjini Brussels imemalizika bila kupatikana