28 Juni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Kufuatana na mapokeo ya Kanisa Katoliki, tarehe 28 Juni ni sikukuu ya Mtakatifu Ireneo, Askofu wa Lyons.
Matukio[hariri | hariri chanzo]
- 1243 - Uchaguzi wa Papa Innocent IV
- 1914 - Kaisari-mteule Ferdinand wa Austria kuuawa mjini Sarajevo - kusababisha Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia.
- 1919 - Mkataba wa Versailles kusainiwa - mwisho wa Vita Kuu ya Kwanza kati ya Ujerumani na washindi
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1476 - Papa Paulo IV
- 1577 - Peter Paul Rubens, mchoraji kutoka Uholanzi
- 1867 - Luigi Pirandello (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1934)
- 1873 - Alexis Carrel (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1912)
- 1906 - Maria Goeppert-Mayer (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1963)
- 1927 - Sherwood Rowland (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1995)
- 1943 - Klaus von Klitzing (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1985)
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 683 - Papa Leo II
- 767 - Papa Paulo I
- 1836 - James Madison, Rais wa Marekani (1809-1817)