Mamilioni ya watu watakuwa wakipiga kura katika uchaguzi mkuu wa Uingereza leo Alhamisi Vituo vya kupigia kura karibu 50,000 nchini kote vitafunguliwa saa moja asubuhi kwa saa za Uingereza. Jumla ya wabunge 650 watachaguliwa kuingia bunge la nchi hiyo, kukiwa na watu karibu milioni 50 waliojiandikisha kupiga kura. Kama ilivyo kwa uchaguzi mkuu, kuna viti zaidi ya 9,000 vya