show playlisthide playlist
hide playlist
RSS
BBC News
17 Oct 2014
Kasi kubwa ya usaambaji wa virusi vya ugonjwa wa Ebola imesababisha michuano ya kombe la mataifa ya Africa mashakani na hivyo kuahirishwa mpaka mwakani. michuano hiyo ilipaswa kupigwa katika nchi ya...
BBC News
17 Oct 2014
Chama cha kikuu cha upinzani nchini Msumbiji cha RENAMO,kimetoa yake ya moyoni kuwa hawatayakubali matokeo yajayo ya uraisi na ubunge pamoja na serikali za mitaa. Msemaji wa chama hicho Antonio Muchanga amesema kwamba...
BBC News
17 Oct 2014
Polisi nchini Brazili wamemkamata mwanamume mmoja aliyekiri kwa kinywa chake kuua watu wapatao thelathini na tisa katika kipindi cha miaka mitatu. Polisi wamemuelezea mtu huyo kuwa ni mwenye umri wa miaka ishirini...
BBC News
17 Oct 2014
Kwa mara ya kwanza tabia ya ukeketaji wa wanawake imegunduliwa England,ukeketaji ulipigwa marufuku nchi humo mwaka 1985,ingawa umekua ukiendelea na hakuna aliyetiwa mkononi mpaka sasa. Kwa...
BBC News
17 Oct 2014
Rais wa Marekani Barack Obama amethibitisha wito wa kulitumia jeshi la nchi hiyo na wale wa akiba iwapo watahitajika kupambana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola Afrika magharibi. Rais Obama amesema wanajeshi hao wataongeza nguvu ya jeshi katika kutoa misaada ya kibinadamu katika eneo hilo. Kundi la...
BBC News
17 Oct 2014
Kunea kwa ugonjwa wa Ebola umefanya fainali za Kombe la mataifa ya Afrika kuwa mashakani. Fainali hizo zimepangwa kufanyika nchini Moroco kuanzia Januari 17 lakini nchi hiyo iliwaeleza waandaji wa mashindano hayo kwamba wangependa kusogeza mbele mashandano hayo. Serikali ya Moroco imekuwa na wasi...
BBC News
17 Oct 2014
Katibu mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan amekosoa ambavyo mataifa ya mgahribi yameshughulikia janga la Ebola. Bwana Annan ameambia BBC kwamba hajaridhishwa kamwe na hatua za mataifa ya magharibi kupambana na Ebola. ''Ikiwa janga hilo lingekuwa limeathiri eneo lengine , hatua ambazo...
BBC News
17 Oct 2014
Mahakama inayosikiliza kesi dhidi ya mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius imeambiwa kuwa mwanariadha huyo amefilisika. Hili lesemekana huku pande zote kwenye kesi zikitao akuli yao ya mwisho kabla ya mahakama kutoa hukumu dhidi ya mwanariadha huyo. Pistorius alipatikana na hatia ya...
BBC News
16 Oct 2014
Mwanafunzi wa shahada ya pili kutoka nchini Sierra Leone amedai kwamba amekua akikataliwa kuishi katika maeneo mengi katika jiji la Norwich kwa kumhofia kuwa huenda ana virusi vya ugonjwa wa Ebola . Mwanafunzi huyo ambaye pia nim mtangazaji wa redio na ameshawahi kufanya kazi na BBC Media Action...
BBC News
16 Oct 2014
Usiku wa kuamkia leo ulikuwa ni usiku wa bara la Afrika huku timu kadhaa zikijitupa uwanjani kutafuta tiketi ya kufuzu kwa fainali za mataifa ya Afrika yatakayofanyika mwakani huko nchini Moroko. Tunisia walikuwa wenyeji kucheza dhidi ya Senegal, hadi kipyenga cha mwisho Tunisia ikaibanjua Senegal...
BBC News
16 Oct 2014
BBC imezindua huduma mpya ya umma ya kiteknolojia inayotoa taarifa za afya kuhusiana na ugonjwa wa Ebola kupitia kwa programu ya kijamii ya kutuma ujumbe mfupi kwenye internet ya 'WhatsApp.' Programu hio inawalenga zaidi watumiaji wa...
BBC News
16 Oct 2014
Mlipuko mkubwa wa Ebola nchini Marekani na kwingineko nchi za magharibi haukupewa mifumo imara ya afya kuudhibiti, limesema Shirika la Afya Duniani. Rais Barack Obama wa Marekani pia amesema hatari kwa Wamarekani kupata virusi vya Ebola ni ya "chini mno", ingawaje ameagiza"hatua thabiti zichukuliwe"...
BBC News
16 Oct 2014
Wapiganaji wa Islamic State wamelazimika kurudi nyuma katika maeneo muhimu ya mji wa Kobane ulioko kaskazini mwa Syria kufuatia mashambulio ya anga ya Marekani, amesema afisa mmoja wa Kikurd. Idriss Nassan ameiambia BBC kuwa IS imepoteza udhibiti kwa zaidi ya asilimia 20% ya mji huo ulio mpakani na...
BBC News
16 Oct 2014
Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius anatakiwa kupewa "adhabu ya kutosha" kwa kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp, binamu yake Steenkamp ameliambia jopo la mahakama inayosikiliza hukumu yake mjini Pretoria. Kim Martin ameiambia mahakama kuwa Pistorius "anahitajika kulipa kwa kile...
BBC News
16 Oct 2014
Jeshi la DRC linasema kuwa watu 26 wameuawa nchini humo katika shambulizi liliofanywa katika mji wa Beni Mashariki mwa nchi. Shirika moja la kutetea haki za binadamu, linasema kuwa...
BBC News
16 Oct 2014
Mchezaji mahiri wa soka Cristiano Ronaldo amekuwa akichana uwanja kwa kuingiza mabao 18 katika mechi 14 msimu huu. Ronaldo ambaye amewahi kushinda taji la FIFA la mchezaji bora wa mwaka mara mbili, yuko kifua mbele na mabao 13 katika mechi sita za ligi ya Italia. Yeye sio nyota tu uwanjani bali pia...
BBC News
16 Oct 2014
Kiongozi wa kundi linalotaka kujitnga kwa jimbo la Pwani nchini Kenya, ameshtakiwa kwa kosa la kuanda a mkutano wa hadhara bila kibali na pia kwa kutatiza amani. Omar Mwamnuadzi alikanusha madai hayo alipofikishwa mahakamani Jumatano jioni. Alikamatwa...
BBC News
16 Oct 2014
Timu ya taifa ya Algeria ndiyo timu ya kwanza kujikatia tikiti ya kushiriki dimba la kombe la Afrika hapo Januari mwaka ujao baada ya kuinyuka timu ya taifa ya Malawi mabao 3-0. Bao la kwanza lilifungwa baada ya dakika moja tangu...
BBC News
16 Oct 2014
Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius, ''anapaswa kupewa adhabu ya kutosha kwa kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp'', binamuye marehemu Reeva ameambia mahakama mjini Pretoria Afrika Kusini. Kim Martin alisema Pistorius,mwenye umri wa...
BBC News
16 Oct 2014
Madereva wengi wa magari katika jiji la Lagos, Jumatano walioonyesha kuunga mkono siku ya kuzuia kupiga honi. Mwandishi wa BBC amesema serikali ya jimbo la Lagos ilianzisha siku hiyo kama njia ya kuzuia kelele za honi na kuongeza utulivu barabarani. Lagos ni mji mkubwa kuliko yote kusini mwa jangwa...
BBC News
16 Oct 2014
Mahakama nchini Pakistan imesesema adhabu ya kifo iliyotolewa kwa mwanamke mkristo aliyeshtakiwa kwa kukufuru dini mwaka 2010 itatekelezwa. Asia Bibi alipatikana na hatia ya kutoa matamshi ya kukera na kuudhi kumhusu Mtume Mohammad wakati akibishana na mwanamke mwingine musilamu. Mahakama kuu...
BBC News
16 Oct 2014
Ni bora kuwa mwangalifu hasa kuhusu kile unachoahidi watu maana yanaweza ya kukuta kama yaliyomkuta mwanasiasa mmoja nchini Bolivia. Mwanasiasa huyu Jorge "Tuto" Quiroga, alikuwa mgombea wa urais katika uchaguzi uliokamilika Jumapili iliyopita nchini Bolivia. Rais huyo wa zamani ambaye pia alikuwa...
BBC News
16 Oct 2014
Kesi imeanza ya askari 59 wa Nigeria kuhusiana na madai kuwa askari hao walikataa kupigana dhidi ya wanamgambo wa kiislam wa Boko Haram . Washtakiwa wanakabiliwa na mashtaka ya kutotii amri za kijeshi na kuchangia katika kukaidi amri hizo. Wote wamekana mashtaka hayo katika kesi iliyosikilizwa...
BBC News
16 Oct 2014
Shirikisho La kandanda la Nigeria NFF limefichua kwamba Shaibu Amodu ndiye atakayechukua nafasi ya Stephen Keshi kama mkufunzi wa timu ya taifa ya Nigeria. Hatua hii imechukuliwa muda mfupi tu baada ya bw. Keshi kuiongoza Nigeria katika mechi waliyoshinda kwa mabao 3-0 ingawa hakuwa amepatiwa...
BBC News
15 Oct 2014
Rais Barack Obama amewaambia makamanda wa ngazi ya juu wa jeshini kwamba ameguswa na kile kinachoendelea ambacho wanamgambo wa dola ya kiislam wa IS wanafanya kinyume na mji wa Kobane huko Syria. Rais Obama pia...
BBC News
15 Oct 2014
Viongozi wakuu wa Umoja wa mataifa wanajishughulisha na ugonjwa wa Ebola wameutaka ulimwengu kuwa na subra,na kueleza kuwa adui mkubwa katika mapambano ya kuutokomeza ugonjwa wa Ebola ni muda. Akihutubia mkutano huo kutoka Africa Magharibi kutoka Africa...
BBC News
15 Oct 2014
Polisi katika mji mkuu wa Brazili,Rio de Jeneiro wamesema wameuvunja mtandao mkubwa katika nchi hiyo wa kiliniki za utoaji mimba. Kufuatia hali hiyo karibu watu wapatao hamsini...
BBC News
15 Oct 2014
Baada ya kupata matokeo ya kuchefua katika mchezo uliopita, mabingwa wa dunia Ujerumani hali bado si shwari baada ya usiku wa kuamkia leo kuvutwa shati wakiwa nyumbani na Jamhuri ya Ireland katika mchezo wa kufuzu kombe la mataifa Ulaya wakati mchezo huo ulipoisha kwa sare ya bao 1-1. Goli la dakika...
BBC News
15 Oct 2014
Waandamanaji wanaodai demokrasia nchini Hong Kong wame zushga rabsha baina yao na polisi wakati hali ya amani bado ni tete ikiwa ni zaidi ya wiki tatu sasa waandamanaji hao kuwa katika mitaa ya nchi...
BBC News
15 Oct 2014
Katika hali isiyo ya kawaida mechi kati ya Serbia na Albania imeshindwa kumalizika baada ya ndege isiyokuwa na rubani kubeba ujumbe wa kisiasa kusababisha vurugu zilizowahusisha wachezaji na mashabiki ndani ya uwanja wa Partizan. Mechi hiyo ya kufuzu katika...












The World News (WN) Network, has created this privacy statement in order to demonstrate our firm commitment to user privacy. The following discloses our information gathering and dissemination practices for wn.com, as well as e-mail newsletters.

1. Personal Information Collection and Use

We do not collect personally identifiable information about you, except when you provide it to us. For example, if you submit an inquiry to us or sign up for our newsletter, you may be asked to provide certain information such as your contact details (name, e-mail address, mailing address, etc.).

When you submit your personally identifiable information through wn.com, you are giving your consent to the collection, use and disclosure of your personal information as set forth in this Privacy Policy. If you would prefer that we not collect any personally identifiable information from you, please do not provide us with any such information. We will not sell or rent your personally identifiable information to third parties without your consent, except as otherwise disclosed in this Privacy Policy.

Except as otherwise disclosed in this Privacy Policy, we will use the information you provide us only for the purpose of responding to your inquiry or in connection with the service for which you provided such information. We may forward your contact information and inquiry to our affiliates and other divisions of our company that we feel can best address your inquiry or provide you with the requested service. We may also use the information you provide in aggregate form for internal business purposes, such as generating statistics and developing marketing plans. We may share or transfer such non-personally identifiable information with or to our affiliates, licensees, agents and partners.

We may retain other companies and individuals to perform functions on our behalf. Such third parties may be provided with access to personally identifiable information needed to perform their functions, but may not use such information for any other purpose.

In addition, we may disclose any information, including personally identifiable information, we deem necessary, in our sole discretion, to comply with any applicable law, regulation, legal proceeding or governmental request.

2. E-mail addresses

We do not want you to receive unwanted e-mail from us. We try to make it easy to opt-out of any service you have asked to receive. If you sign-up to our e-mail newsletters we do not sell, exchange or give your e-mail address to a third party.

E-mail addresses are collected via the wn.com web site. Users have to physically opt-in to receive the wn.com newsletter and a verification e-mail is sent. wn.com is clearly and conspicuously named at the point of

collection.

If you no longer wish to receive our newsletter and promotional communications, you may opt-out of receiving them by following the instructions included in each newsletter or communication or by e-mailing us at michaelw(at)wn.com

The security of your personal information is important to us. We follow generally accepted industry standards to protect the personal information submitted to us, both during registration and once we receive it. No method of transmission over the Internet, or method of electronic storage, is 100 percent secure, however. Therefore, though we strive to use commercially acceptable means to protect your personal information, we cannot guarantee its absolute security.

If we decide to change our e-mail practices, we will post those changes to this privacy statement, the homepage, and other places we think appropriate so that you are aware of what information we collect, how we use it, and under what circumstances, if any, we disclose it.

If we make material changes to our e-mail practices, we will notify you here, by e-mail, and by means of a notice on our home page.

3. Third Party Advertisers

The advertising banners and other forms of advertising appearing on this Web site are sometimes delivered to you, on our behalf, by a third party. In the course of serving advertisements to this site, the third party may place or recognize a unique cookie on your browser. For more information on cookies, you can visit www.cookiecentral.com.

4. Business Transfers

As we continue to develop our business, we might sell certain aspects of our entities or assets. In such transactions, user information, including personally identifiable information, generally is one of the transferred business assets, and by submitting your personal information on Wn.com you agree that your data may be transferred to such parties in these circumstances.