Uhindi
|
|||||
Wito la taifa: "Satyameva Jayate" (Kisanskrit) Kidevanāgarī: सत्यमेव जयते ("Ukweli pekee hushinda") |
|||||
Wimbo wa taifa: "Jana Gana Mana |
|||||
[[Image:|250px|Lokeshen ya Uhindi]] | |||||
Mji mkuu | New Delhi |
||||
Mji mkubwa nchini | Mumbai (Bombay) | ||||
Lugha rasmi | Kihindi, Kiingereza na lugha nyingine 21 | ||||
Serikali | Jamhuri ya Maungano APJ Abdul Kalam Manmohan Singh |
||||
Uhuru -ndani ya Jumuiya ya madola -kama Jamhuri |
Kutoka Uingereza 15 Agosti 1947 26 Januari 1950 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
3,287,590 km² (ya 7) 9.56 |
||||
Idadi ya watu - 2005 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
1,103,371,000 (ya 2) 1,027,015,247 329/km² (ya 20) |
||||
Fedha | Rupee (Rs.)1 (INR ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
IST (UTC+5:30) not observed (UTC+5:30) |
||||
Intaneti TLD | .in | ||||
Kodi ya simu | +91
- |
||||
1 Re. is singular |
Uhindi (pia: India) ni nchi katika bara la Asia. Ni nchi ya kidemokrasia kubwa duniani. Kufuatana na idadi ya wakazi ni nchi ya pili duniani baada ya [China]. Kufuatana na eneo ina nafasi ya saba duniani. Imepakana na Pakistan, China, Nepal, Bhutan, Bangladesh na Myanmar. Mji mkuu ni New Delhi.
Wakazi walio wengi (80 %) hufuata dini ya Uhindu. Takriban 13 %- 14 % ni Waislamu; hivyo Waislamu wa Uhindi ni jumuiya ya pili katika dunia ya kiislamu baada ya waislamu wa Indonesia. Dini nyingine ni Ukristo, Usikh, Ubuddha na Ujain.
Lugha ya kitaifa ni Kihindi ambacho ni lugha ya Kihindi-Kiulaya. Kiingereza hutumiwa kama lugha ya kiutawala ya kitaifa pia kwenye ngazi ya majimbo. Kuna lugha 21 kubwa na lugha nyingi zisizo na wasemaji wengi sana. Katika kusini ya Uhindi watu husema lugha kama Kikannada, Kitelugu, Kitamil na Kimalayalam. Katika kaskazini husema hasa Kipunjabi, Kibengali, Kigujarati na Kimarathi.
Kiutawala Uhindi ni shirikisho la jamhuri lenye majimbo ya kujitawala 28 pamoja na maeneo ya shirikisho 7.
[hariri] Historia
:tazama pia: Uhindi wa Kiingereza
[hariri] Tazama pia
[hariri] Viungo vya Nje
- (Kiingereza) (Kihindi) Tovuti rasmi
- (Kiingereza) India Travel
|
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iran | Iraq | Israel | Japan | Kambodia | Kazakhstan | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Kirgizstan | Laos | Lebanon | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Urusi1 | Saudia | Singapore | Sri Lanka | Syria | Taiwan (Jamhuri ya China) | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Ufilipino | Uthai | Uturuki1 | Turkmenistan | Uhindi | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi hii iko Asia lakini kwa sababu za kihistoria au kiutamaduni inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya. 3. Eneo la pekee la China. |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Uhindi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |