Matukio ya Afrika | 23.05.20112011-05-23 Deutsche Welle Swahili Umoja wa Mataifa unasema baada ya wiki kadhaa ya vuta n'kuvute na kila upande ukiutuhumu upande mwengine, jumamosi iliyopita serikali ya Sudani Kaskazini ilipeleka vifaru kadhaa mjini Abyei, eneo ambalo ni makaazi ya watu wa makabila mbali mbali. Wachambuzi wanahofu kwamba mapigano baina ya Sudan Kaskazini na Kusini kuhusu kugombania eneo la Abyei...
Matukio ya Kisiasa | 13.05.20112011-05-13 Deutsche Welle Swahili Majeshi ya Israel leo yako katika hali yqa tahadhari kubwa kukihofiwa kutatokea michafuko wakati Wapalastina wanalikumbuka janga lilowafika mwaka 1948 pale ilipoundwa dola ya Israel. Zaidi ya Wapalastina 760,000 leo pamoja na vizazi vyao wanakisiwa kufikia milioni 4.7 walifukuzwa kutoka makwao na kulazimika kwenda uhamishoni kutokana na mzozo...
Matukio ya Kisiasa | 14.02.20112011-02-14 Deutsche Welle Swahili Kwa mara ya kwanza, baada ya majuma mawili,hali ya kawaida ilianza kurejea pole pole katika uwanja wa Tahrir ulio katikati ya mji mkuu Cairo. Mapema hiyo jana, eneo hilo lilifunguliwa kwa usafiri wa kawaida baada ya maelfu ya watu kumiminika kwenye uwanja huo usiku wa kuamkia Jumapili kusherehekea kuondoka kwa Mubarak. Mapema jana asubuhi,...
Matukio ya Kisiasa | 13.02.20112011-02-13 Deutsche Welle Swahili Waziri Mkuu Ahmed Shafiq alitamka hayo kwenye televisheni baada ya kukutana na mkuu wa baraza la kijeshi Mohammed Hussein Tantawi. Alisema kuwa serikali ya mpito itatoa kipaumbele kurejesha...
Matukio ya Kisiasa | 11.02.20112011-02-11 Deutsche Welle Swahili Waaandamanaji wamekesha usiku kucha katika uwanja wa al-Tahrir na tangu alfajiri wameanza kujiandaa kwa maandamano makubwa dhidi ya rais Hosni Mubarab asiyetaka kung'oka madarakani. Katika wakati ambapo baadhi yao walikuwa bado wamejinyosha katika uwanja huo uliogeuka kuwa kitambulisho cha vuguvugu la malalamiko yasiyokuwa na mfano,wengine tayari...
Matukio Duniani | 11.02.20112011-02-11 Deutsche Welle Swahili Wanaharakati hao wamekuwa wakikutana katika uwanja wa Tahrir kwa siku ya 18 sasa kwa minajili ya kumshinikiza Rais Hosni Mubarak ajiuzulu.Itakumbukwa kuwa kiongozi huyo amekuwa madarakani kwa kipindi cha miaka 30. Waandamanaji hao wa Misri wameahidi kuendelea na harakati zao mjini Cairo hii leo ili kumuongezea mbinyo Rais Hosni Mubarak na naibu...
Matukio ya Kisiasa | 10.02.20112011-02-10 Deutsche Welle Swahili Waandamanaji leo wanatimiza siku ya 17 wakiwa wamepiga kambi katika uwanja wa Tahrir mjini Cairo wakidai mishahara mikubwa, mageuzi ya kisiasa na kun'gatuka madarakani kwa Rais Hosni Mubarak. Wasi wasi unaozidi kuongezeka miongoni mwa jumuiya ya biashara na wananchi kwa jumla kuhusu taathira ya uchumi kutokana na vurugu za zaidi ya wiki mbili...
Matukio ya Kisiasa | 24.01.20112011-01-24 Deutsche Welle Swahili Inasemekana kuwa hati hizo ni kutoka majadiliano yaliyofanywa mwaka 2008, kati ya mawaziri wa nje wa wakati huo, Condoleezza Rice wa Marekani, Tzipi Livni wa Israel, waziri mkuu wa zamani wa Wapalestina...
Michezo | 26.08.20112011-08-26 Deutsche Welle Swahili Timu ya Monchengladbach inaendelea kuishikilia nafasi ya kwanza katika orodha ya ligi hiyo wakati inajitayarisha kuikaribisha Schalke 04 Jumapili.Bildunterschrift: Großansicht des Bildes mit der Bildunterschrift:...
Matukio ya Kisiasa | 25.08.20112011-08-25 Deutsche Welle Swahili Waasi wa Libya wameendelea kupambana na wafuasi wa kiongozi wa nchi hiyo kanali Muammar Gaddafi mjini Tripoli huku wakiwasaka jamaa na wafuasi wa kiongozi huyo. Waasi hao wamekabiliana na kamanda wa jeshi la Gaddafi kwenye mapigano makali katika shamba lake mjini Tripoli hapo jana. Msemaji wa waasi hao, Abdel Salam Abu Zaakouk, ameiambia...
NRS-Import | 24.08.20112011-08-24 Deutsche Welle Swahili Mtu mmoja aliyeshuhudia ameiambia televisheni ya al-Arabiya kwamba barabara ya Al-Sour, karibu na makaazi ya Bab al-Aziziya ya kiongozi wa Libya kanali Muammar Gaddafi, inashambuliwa kwa makombora. Waasi wameyateka makazi ya Gaddafi na kupandisha bendera yao, lakini hawamkumpata kiongozi huyo wala wanawe. Kumekuwa na shangwe na nderemo katika...
Matukio ya Kisiasa | 23.08.20112011-08-23 Deutsche Welle Swahili Hata katika makao makuu ya Umoja wa Afrika, AU, huko Addisababa maafisa bado wanachukuwa tahadhari. Umoja huo jana uliarifu tu kwa ufupi kwamba utakuwa na kikao kingine muhimu juu ya suala la Libya ijumaa ijayo. Kikao maalum cha baraza la amani na usalama la Umoja wa Afrika, kilichoitishwa kwa haraka jana, hakijamua lolote, ila tu msemaji...
NRS-Import | 23.08.20112011-08-23 Deutsche Welle Swahili Milio ya risasi na miripuko imerindima usiku kucha katika eneo lililo karibu na makazi ya Gaddafi, Bab al Aziziya, ambamo inaaminiwa angalao mwanawe mmoja amejificha. Ingawa kumekuwa na taarifa kwamba Gaddafi mwenyewe huenda akawa yumo ndani ya makazi hayo, ripoti zimesema alitoroka katika mpaka na Algeria au mji wa bandari wa Sirte, alikozaliwa....
Matukio ya Kisiasa | 22.08.20112011-08-22 Deutsche Welle Swahili Kwa nyakati tofauti, mapigano hayo pia yamesikika kusini mwa Tripoli, ambapo kumekuwa na majibishano ya silaha nzito na risasi. Awali viongozi wa waasi walitahadharisha uwepo wa vikwazo kutoka kwa wanajeshi wa Gaddafi ingawa kwa kiasi kikubwa wamemalizwa. Bildunterschrift: Großansicht des Bildes mit der Bildunterschrift: Mtoto wa...
Michezo | 20.08.20112011-08-20 Deutsche Welle Swahili Ujerumani inachuana na Austria mjini Gelsenkirchen tarehe 2 Septemba na dhidi ya Poland katika mechi ya kirafiki siku nne baadaye mjini Gdansk.Bildunterschrift: Großansicht des Bildes mit der Bildunterschrift: Ndiyo uzalendo Kufuatia hayo, kocha huyo amemchagua kipa wa timu ya Hannover Ron Robert Zieler, kuwa katika kikosi hicho cha...
Matukio ya Kisiasa | 19.08.20112011-08-19 Deutsche Welle Swahili Ghasia hizo zimetokea wakati ambapo, mapema jana rais wa Syria Bashar la Assad, alimwambia Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon kwamba majeshi yake yamemaliza operesheni yake dhidi ya vuguvugu...
Matukio ya Kisiasa | 16.08.20112011-08-16 Deutsche Welle Swahili Kansela Angela Merkel wa Ujerumani na Rais Nicolas Sarkozy wa Ufaransa leo watakutana mjini Paris kushauriana juu ya hatua zitakazochukuliwa ili kuleta hali ya utulivu wa kifedha katika nchi zinazotumia sarafu ya Euro. Hasa watazungumzia juu ya mikakati thabiti ya kukabiliana na mizozo, na namna ya kuziongoza siasa za kiuchumi. Matarajio ya mkutano...
Michezo | 15.08.20112011-08-15 Deutsche Welle Swahili Sejad Salihovic kwa niaba ya Hoffenheim aliikaribisha Dortmund kwa bao hilo kunako dakika 9 ya mechi hiyo na timu hiyo bingwa hadi kumalizika mechi hiyo ilishindwa kuonyesha umahiri wake kama ilivyokuwa katika mechi yake ya ufunguzi ilipoifunga Hamburg mabao 3-1.Bildunterschrift: Großansicht des Bildes mit der Bildunterschrift: Hannover...
Matukio ya Kisiasa | 30.12.2010 Deutsche Welle Swahili2010-12-30 Mapema mwezi huu Brazil, iliitambua Palestina kama taifa huru kwa kuzingatia mipaka yake iliyokuwepo kabla ya vita vya mwaka 1967.Mkuu wa ujumbe maalum wa Mamlaka ya Wapalestina nchini Brazil,Ibrahim Al Zeben amesema Rais Abbas anataka kukutana na Rais wa Brazil Lula da Silva anaeondoka madarakani, kumshukuru kwa kutambua taifa la Wapalestina....
Matukio ya Kisiasa | 27.12.2010 Deutsche Welle Swahili2010-12-27 Kutokana na hali hiyo,pande zote mbili zimetishia kulipizana kisasi.Wakati huohuo, Israel inashikilia kuwa kamwe haitaiomba Uturuki radhi kwasababu ya kuushambulia mwezi wa Mei msafara wa meli za msaada uliokuwa ukielekea Gaza.Yote hayo yanatokea ikiwa imetimia miaka miwili tangu Israel kuushambulia Ukanda wa Gaza unaomilikiwa na Hamas....
Masuala ya Jamii | 07.12.2010 Deutsche Welle Swahili2010-12-07 Mashirika matatu ya Umoja wa Mataifa, yakiwemo shirika la mazingira, UNEP, shirika la maendeleo, UNDP na shirika la chakula na kilimo, FAO, yameungana kuanzisha mpango wa kupunguza utoaji wa gesi zinazochafua mazingira kutokana na ukataji na uharibifu wa misitu, unaojulikana kwa kifupi kama REDD. Mpango huo ulioanzishwa mnamo mwaka 2008 ni mfuko wa...
Matukio ya Kisiasa | 09.11.2010 Deutsche Welle Swahili2010-11-09 Wizara ya mambo ya ndani imetangaza mradi wa kujenga nyumba 1.300. Tangazo hilo limetolewa wakati usio mzuri kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu. Hivi sasa yupo Marekani kwa majadiliano ya kutafuta njia ya kufufua...
Matukio ya Kisiasa | 08.11.2010 Deutsche Welle Swahili2010-11-08 Vile vile alikutana na Rais wa Israel, Shimon Peres na familia ya mwanajeshi wa Kiisraeli Gilad Shalit anaezuiliwa mateka katika Ukanda wa Gaza tangu mwaka 2006. Westerwelle ametoa mwito kwa Israel kupunguza vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Ukanda wa Gaza na kuruhusu bidhaa za Wapalestina kusafirishwa nje. Waziri wa mambo ya nchi za...
Matukio ya Kisiasa | 30.09.2010 Deutsche Welle Swahili2010-09-30 Juhudi za kimataifa zimeshika kasi kuyanusuru mazungumzo ya amani kati ya Israel na Palastina.Rais Mahmoud Abbas ameonya wapalastina watajitoa katika duru hiyo mpya iliyoanza September pili iliyopita baada ya Israel kutorefusha muda wa kusitisha ujenzi wa makaazi mepya ya wahamiaji wa kiyahudi katika ardhi za waarabu . Mjumbe maalum wa rais...
Masuala ya Jamii | 22.09.2010 Deutsche Welle Swahili2010-09-22 Katika taarifa yake, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amesema, wanatambua nini kinachoweza kusaidia ili kuokoa maisha ya wanawake na watoto na kwamba wanafahamu kuwa wanawake na watoto ndio msingi wa malengo ya maendeleo ya milenia. Ban Ki Moon amekadiria kwamba mkakati wa dunia kwa afya ya wanawake na watoto utaokoa maisha ya watu...
Matukio muhimu | 17.09.2010 Deutsche Welle Swahili2010-09-17 Kulingana na hati hiyo iliyozinduliwa kwenye kikao cha kilele cha mataifa ya Kiarabu mjini Beirut,Israel itatambuliwa na mataifa yote ya Kiarabu endapo itaondoka kwenye maeneo iliyoyateka nyara mwaka 1967 wakati wa vita vya Mashariki ya Kati ikiwemo Jerusalem Mashariki. Kauli hizo zimetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton...
Matukio ya Kisiasa | 03.09.2010 Deutsche Welle Swahili2010-09-03 Duru ya kwanza ya mazungumzo mapya ya amani juu ya Mashariki ya kati imemalizika jana. Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Wapalestina , Mahmud Abbas, wamepanga kukutana tena kwa utaratibu wa kila baada ya wiki mbili. Wanakusudi kuleta ufumbuzi wa amani katika muda wa mwaka mmoja kutoka sasa.Matumaini ya...