Matukio ya Afrika | 23.05.20112011-05-23 Deutsche Welle Swahili Umoja wa Mataifa unasema baada ya wiki kadhaa ya vuta n'kuvute na kila upande ukiutuhumu upande mwengine, jumamosi iliyopita serikali ya Sudani Kaskazini ilipeleka vifaru kadhaa mjini Abyei, eneo ambalo ni makaazi ya watu wa makabila mbali mbali. Wachambuzi wanahofu kwamba mapigano baina ya Sudan Kaskazini na Kusini kuhusu kugombania eneo la Abyei...
Matukio ya Kisiasa | 13.05.20112011-05-13 Deutsche Welle Swahili Majeshi ya Israel leo yako katika hali yqa tahadhari kubwa kukihofiwa kutatokea michafuko wakati Wapalastina wanalikumbuka janga lilowafika mwaka 1948 pale ilipoundwa dola ya Israel. Zaidi ya Wapalastina 760,000 leo pamoja na vizazi vyao wanakisiwa kufikia milioni 4.7 walifukuzwa kutoka makwao na kulazimika kwenda uhamishoni kutokana na mzozo...
Matukio ya Kisiasa | 14.02.20112011-02-14 Deutsche Welle Swahili Kwa mara ya kwanza, baada ya majuma mawili,hali ya kawaida ilianza kurejea pole pole katika uwanja wa Tahrir ulio katikati ya mji mkuu Cairo. Mapema hiyo jana, eneo hilo lilifunguliwa kwa usafiri wa kawaida baada ya maelfu ya watu kumiminika kwenye uwanja huo usiku wa kuamkia Jumapili kusherehekea kuondoka kwa Mubarak. Mapema jana asubuhi,...
Matukio ya Kisiasa | 13.02.20112011-02-13 Deutsche Welle Swahili Waziri Mkuu Ahmed Shafiq alitamka hayo kwenye televisheni baada ya kukutana na mkuu wa baraza la kijeshi Mohammed Hussein Tantawi. Alisema kuwa serikali ya mpito itatoa kipaumbele kurejesha...
Matukio ya Kisiasa | 11.02.20112011-02-11 Deutsche Welle Swahili Waaandamanaji wamekesha usiku kucha katika uwanja wa al-Tahrir na tangu alfajiri wameanza kujiandaa kwa maandamano makubwa dhidi ya rais Hosni Mubarab asiyetaka kung'oka madarakani. Katika wakati ambapo baadhi yao walikuwa bado wamejinyosha katika uwanja huo uliogeuka kuwa kitambulisho cha vuguvugu la malalamiko yasiyokuwa na mfano,wengine tayari...
Matukio Duniani | 11.02.20112011-02-11 Deutsche Welle Swahili Wanaharakati hao wamekuwa wakikutana katika uwanja wa Tahrir kwa siku ya 18 sasa kwa minajili ya kumshinikiza Rais Hosni Mubarak ajiuzulu.Itakumbukwa kuwa kiongozi huyo amekuwa madarakani kwa kipindi cha miaka 30. Waandamanaji hao wa Misri wameahidi kuendelea na harakati zao mjini Cairo hii leo ili kumuongezea mbinyo Rais Hosni Mubarak na naibu...
Matukio ya Kisiasa | 10.02.20112011-02-10 Deutsche Welle Swahili Waandamanaji leo wanatimiza siku ya 17 wakiwa wamepiga kambi katika uwanja wa Tahrir mjini Cairo wakidai mishahara mikubwa, mageuzi ya kisiasa na kun'gatuka madarakani kwa Rais Hosni Mubarak. Wasi wasi unaozidi kuongezeka miongoni mwa jumuiya ya biashara na wananchi kwa jumla kuhusu taathira ya uchumi kutokana na vurugu za zaidi ya wiki mbili...
Matukio ya Kisiasa | 24.01.20112011-01-24 Deutsche Welle Swahili Inasemekana kuwa hati hizo ni kutoka majadiliano yaliyofanywa mwaka 2008, kati ya mawaziri wa nje wa wakati huo, Condoleezza Rice wa Marekani, Tzipi Livni wa Israel, waziri mkuu wa zamani wa Wapalestina...
Matukio ya Afrika | 21.07.20112011-07-21 Deutsche Welle Swahili Katibu Mkuu Ban Ki-moon amesema kiasi ya watu milioni 3.7 hivi sasa wanakabiliwa na janga hilo sio tu Somalia peke yake bali hadi katika maeneo ya nchi jirani. Somalia kama nchi iliyokabiliwa na migogoro kwa zaidi ya miaka 20 sasa na kuonekana kama taifa lisilofanikiwa duniani limeathirika sana na janga hilo. Lakini maeneo mengine ambayo hali...
Matukio ya Kisiasa | 21.07.20112011-07-21 Deutsche Welle Swahili Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel, na rais wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy, wamekubaliana kuwa na msimamo wa pamoja kuhusu mzozo wa madeni wa Ugiriki, huku mkutano wa dharura wa eneo...
Start | 19.07.20112011-07-19 Deutsche Welle Swahili Mmiliki wa kampuni la vyombo vya habari Rupert Murdoch, mwanawe James Murdoch na aliyekuwa afisa mkuu mtendaji wa kampuni la News International nchini Uingereza, Rebekah Brooks, hii leo wanatarajiwa kufika mbele ya kamati ya bunge nchini humo kuhusiana na kashfa ya unasaji...
Michezo | 18.07.20112011-07-18 Deutsche Welle Swahili Michuano ya fainali za kombe la dunia upande wa wanawake, kwa mtazamo wa Ujerumani, haikuwa "maajabu ya msimu wa kiangazi" kwasababu "binti mfalme" aliondolewa kabla ya wakati. Kwa jumla, lakini, michuano hiyo, bila ya shaka yoyote, ilifana. Viwanja vilijaa pomoni. Mashabiki walishangiria michuano ya fainali za kombe la dunia mfano wa sherehe...
Matukio ya Kisiasa | 18.07.20112011-07-18 Deutsche Welle Swahili Sakata hilo lililomuangusha mkuu wa polisi wa Uingereza limesababisha kukamatwa kwa mhariri wa zamani wa gazeti la News of the World nchini Uingereza na kupelekea kupomoromoka kwa hisa za kampuni hiyo nchini Australia. Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron, amefupisha ziara yake ya kibishara ya siku nne barani Afrika kwa siku mbili kutokana na...
Matukio ya Afrika | 18.07.20112011-07-18 Deutsche Welle Swahili Waasi wamekwishaingia katika mji wa Brega, jambo ambalo linawaweka katika nafasi ya ushindi mkubwa. Lakini, hata hivyo, bado hawajafanikiwa kuudhibiti mji wote kutoka kwa vikosi vya Gaddafi, ambavyo vimekuwa vikiushikilia mji huo tangu Aprili. Jana jioni msemaji wa vikosi vya waasi, Mohammed Zawi, alithibitisha kufikiwa kwa hatua hiyo kwa kusema...
Michezo | 16.07.20112011-07-16 Deutsche Welle Swahili Baada ya kushindwa katika mchezo wa nusu fainali, Sweden sasa inakumbana na Ufaransa kuwania nafasi ya tatu leo Jumamosi , wakati kesho Jumapili bingwa wa kombe la dunia kwa wanawake atafahamika ...
Matukio ya Afrika | 15.07.20112011-07-15 Deutsche Welle Swahili Ujumbe huo ulisikilizwa na maelfu ya wafuasi wake waliokusanyika katika mji wa Al-Ajaylat, ambao upo umbali wa kilometa 80 magharibi mwa Tripoli. Safari hii, Gaddafi amemwita rais wa Ufaransa Nicolas Sarkozy ambae ni muungaji mkono wa mwanzo kabisa wa kampeni ya kuzuia ndege kuruka kwa lengo la kuwalinda raia wa Libya na majeshi yake kuwa ni...
Matukio ya Afrika | 14.07.20112011-07-14 Deutsche Welle Swahili Katika mahojiano yake na gazeti la kila siku nchini Urusi la Izvesta ambayo yamechapishwa leo, Margelov amesema Gaddafi ana mpango wa kuulipua mji wa Tripoli endapo utachukuliwa na waasi. Mjumbe huyo amenukuliwa akisema kauli hiyo ameelezwa na Waziri Mkuu wa Libya, Baghdadi al-Mahmudi ambae alikutana nae mwezi uliyopita. Pamoja na kuoneshwa...
Michezo | 13.07.20112011-07-13 Deutsche Welle Swahili Ni dakika 90 pekee zinazo zitofautisha timu za Ufaransa na Marekani uwanjani Monchengladbach hii leo, kila moja ikiwania nafasi kwenye fainali za mashindano ya mwaka huu ya kombe la dunia.Bildunterschrift: Großansicht des Bildes mit der Bildunterschrift: Mazoezi uwanjani kwa wafaransa Ni safari ndefu ziliopitia kufuzu kuingia kiwango...
Matukio ya Kisiasa | 30.12.2010 Deutsche Welle Swahili2010-12-30 Mapema mwezi huu Brazil, iliitambua Palestina kama taifa huru kwa kuzingatia mipaka yake iliyokuwepo kabla ya vita vya mwaka 1967.Mkuu wa ujumbe maalum wa Mamlaka ya Wapalestina nchini Brazil,Ibrahim Al Zeben amesema Rais Abbas anataka kukutana na Rais wa Brazil Lula da Silva anaeondoka madarakani, kumshukuru kwa kutambua taifa la Wapalestina....
Matukio ya Kisiasa | 27.12.2010 Deutsche Welle Swahili2010-12-27 Kutokana na hali hiyo,pande zote mbili zimetishia kulipizana kisasi.Wakati huohuo, Israel inashikilia kuwa kamwe haitaiomba Uturuki radhi kwasababu ya kuushambulia mwezi wa Mei msafara wa meli za msaada uliokuwa ukielekea Gaza.Yote hayo yanatokea ikiwa imetimia miaka miwili tangu Israel kuushambulia Ukanda wa Gaza unaomilikiwa na Hamas....
Masuala ya Jamii | 07.12.2010 Deutsche Welle Swahili2010-12-07 Mashirika matatu ya Umoja wa Mataifa, yakiwemo shirika la mazingira, UNEP, shirika la maendeleo, UNDP na shirika la chakula na kilimo, FAO, yameungana kuanzisha mpango wa kupunguza utoaji wa gesi zinazochafua mazingira kutokana na ukataji na uharibifu wa misitu, unaojulikana kwa kifupi kama REDD. Mpango huo ulioanzishwa mnamo mwaka 2008 ni mfuko wa...
Matukio ya Kisiasa | 09.11.2010 Deutsche Welle Swahili2010-11-09 Wizara ya mambo ya ndani imetangaza mradi wa kujenga nyumba 1.300. Tangazo hilo limetolewa wakati usio mzuri kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu. Hivi sasa yupo Marekani kwa majadiliano ya kutafuta njia ya kufufua...
Matukio ya Kisiasa | 08.11.2010 Deutsche Welle Swahili2010-11-08 Vile vile alikutana na Rais wa Israel, Shimon Peres na familia ya mwanajeshi wa Kiisraeli Gilad Shalit anaezuiliwa mateka katika Ukanda wa Gaza tangu mwaka 2006. Westerwelle ametoa mwito kwa Israel kupunguza vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Ukanda wa Gaza na kuruhusu bidhaa za Wapalestina kusafirishwa nje. Waziri wa mambo ya nchi za...
Matukio ya Kisiasa | 30.09.2010 Deutsche Welle Swahili2010-09-30 Juhudi za kimataifa zimeshika kasi kuyanusuru mazungumzo ya amani kati ya Israel na Palastina.Rais Mahmoud Abbas ameonya wapalastina watajitoa katika duru hiyo mpya iliyoanza September pili iliyopita baada ya Israel kutorefusha muda wa kusitisha ujenzi wa makaazi mepya ya wahamiaji wa kiyahudi katika ardhi za waarabu . Mjumbe maalum wa rais...
Masuala ya Jamii | 22.09.2010 Deutsche Welle Swahili2010-09-22 Katika taarifa yake, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amesema, wanatambua nini kinachoweza kusaidia ili kuokoa maisha ya wanawake na watoto na kwamba wanafahamu kuwa wanawake na watoto ndio msingi wa malengo ya maendeleo ya milenia. Ban Ki Moon amekadiria kwamba mkakati wa dunia kwa afya ya wanawake na watoto utaokoa maisha ya watu...
Matukio muhimu | 17.09.2010 Deutsche Welle Swahili2010-09-17 Kulingana na hati hiyo iliyozinduliwa kwenye kikao cha kilele cha mataifa ya Kiarabu mjini Beirut,Israel itatambuliwa na mataifa yote ya Kiarabu endapo itaondoka kwenye maeneo iliyoyateka nyara mwaka 1967 wakati wa vita vya Mashariki ya Kati ikiwemo Jerusalem Mashariki. Kauli hizo zimetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton...
Matukio ya Kisiasa | 03.09.2010 Deutsche Welle Swahili2010-09-03 Duru ya kwanza ya mazungumzo mapya ya amani juu ya Mashariki ya kati imemalizika jana. Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Wapalestina , Mahmud Abbas, wamepanga kukutana tena kwa utaratibu wa kila baada ya wiki mbili. Wanakusudi kuleta ufumbuzi wa amani katika muda wa mwaka mmoja kutoka sasa.Matumaini ya...