Matukio ya Kisiasa | 13.02.20112011-02-13 Deutsche Welle Swahili Waziri Mkuu Ahmed Shafiq alitamka hayo kwenye televisheni baada ya kukutana na mkuu wa baraza la kijeshi Mohammed Hussein Tantawi. Alisema kuwa serikali ya mpito itatoa kipaumbele kurejesha...
Matukio ya Kisiasa | 11.02.20112011-02-11 Deutsche Welle Swahili Waaandamanaji wamekesha usiku kucha katika uwanja wa al-Tahrir na tangu alfajiri wameanza kujiandaa kwa maandamano makubwa dhidi ya rais Hosni Mubarab asiyetaka kung'oka madarakani. Katika wakati ambapo baadhi yao walikuwa bado wamejinyosha katika uwanja huo uliogeuka kuwa kitambulisho cha vuguvugu la malalamiko yasiyokuwa na mfano,wengine tayari...
Matukio Duniani | 11.02.20112011-02-11 Deutsche Welle Swahili Wanaharakati hao wamekuwa wakikutana katika uwanja wa Tahrir kwa siku ya 18 sasa kwa minajili ya kumshinikiza Rais Hosni Mubarak ajiuzulu.Itakumbukwa kuwa kiongozi huyo amekuwa madarakani kwa kipindi cha miaka 30. Waandamanaji hao wa Misri wameahidi kuendelea na harakati zao mjini Cairo hii leo ili kumuongezea mbinyo Rais Hosni Mubarak na naibu...
Matukio ya Kisiasa | 10.02.20112011-02-10 Deutsche Welle Swahili Waandamanaji leo wanatimiza siku ya 17 wakiwa wamepiga kambi katika uwanja wa Tahrir mjini Cairo wakidai mishahara mikubwa, mageuzi ya kisiasa na kun'gatuka madarakani kwa Rais Hosni Mubarak. Wasi wasi unaozidi kuongezeka miongoni mwa jumuiya ya biashara na wananchi kwa jumla kuhusu taathira ya uchumi kutokana na vurugu za zaidi ya wiki mbili...
Matukio ya Kisiasa | 24.01.20112011-01-24 Deutsche Welle Swahili Inasemekana kuwa hati hizo ni kutoka majadiliano yaliyofanywa mwaka 2008, kati ya mawaziri wa nje wa wakati huo, Condoleezza Rice wa Marekani, Tzipi Livni wa Israel, waziri mkuu wa zamani wa Wapalestina...
Matukio ya Kisiasa | 30.12.20102010-12-30 Deutsche Welle Swahili Mapema mwezi huu Brazil, iliitambua Palestina kama taifa huru kwa kuzingatia mipaka yake iliyokuwepo kabla ya vita vya mwaka 1967.Mkuu wa ujumbe maalum wa Mamlaka ya Wapalestina nchini Brazil,Ibrahim Al Zeben amesema Rais Abbas anataka kukutana na Rais wa Brazil Lula da Silva anaeondoka madarakani, kumshukuru kwa kutambua taifa la Wapalestina....
Matukio ya Kisiasa | 27.12.20102010-12-27 Deutsche Welle Swahili Kutokana na hali hiyo,pande zote mbili zimetishia kulipizana kisasi.Wakati huohuo, Israel inashikilia kuwa kamwe haitaiomba Uturuki radhi kwasababu ya kuushambulia mwezi wa Mei msafara wa meli za msaada uliokuwa ukielekea Gaza.Yote hayo yanatokea ikiwa imetimia miaka miwili tangu Israel kuushambulia Ukanda wa Gaza unaomilikiwa na Hamas....
Masuala ya Jamii | 07.12.20102010-12-07 Deutsche Welle Swahili Mashirika matatu ya Umoja wa Mataifa, yakiwemo shirika la mazingira, UNEP, shirika la maendeleo, UNDP na shirika la chakula na kilimo, FAO, yameungana kuanzisha mpango wa kupunguza utoaji wa gesi zinazochafua mazingira kutokana na ukataji na uharibifu wa misitu, unaojulikana kwa kifupi kama REDD. Mpango huo ulioanzishwa mnamo mwaka 2008 ni mfuko wa...
Masuala ya Jamii | 03.05.20112011-05-03 Deutsche Welle Swahili Vitendo vya ukandamizaji na mateso vimezidi tangu wimbi la kudai mageuzi katika nchi za Kiarabu kufika nchini Syria na serikali ya chama cha Baath kuingiwa na wasiwasi. Idadi ya watu wanaojitokeza barabarani kuipinga serikali inaongezeka. Viongozi wa nchi hiyo wanaikabili hali hiyo kwa kutumia mabavu, kuwatia ndani wapinzani wake na kuweka vikwazo...
Masuala ya Jamii | 02.05.20112011-05-02 Deutsche Welle Swahili Kila mtu alikuwa akimjua, lakini hakuna aliyewahi kukutana naye. "Gaidi hatari kabisa wa dunia", kama Wamarekani walivyokuwa wakimwita, ameacha picha ya aina pekee: kilemba, mtu mwembamba, uso mweusi na macho malegevu na madevu. Sauti yake pia ilikuwa maarufu kutokana na kanda kadhaa za video na risala nyengine alizokuwa akitoa dhidi ya wanasasa wa...
Matukio ya Kisiasa | 02.05.20112011-05-02 Deutsche Welle Swahili Baada ya kuuwawa kwa kiongozi huyo, maafisa waandamizi nchini Pakistan walisema maziko yake yatatekelezwa kwa taratibu na tamaduni za dini ya Kiislamu. Taratibu hizo ni pamoja na mwili wake kuzikwa katika kipindi cha masaa 24 baada ya kutokea kifo. Ama kwa upande wao wanachama wa mtandao wa Al- Qaeda katika Rasi ya Uarabuni, Mtandao wa Osama Bin...
Breaking News | 02.05.20112011-05-02 Deutsche Welle Swahili Al Qaeda leader Osama bin Laden is dead and his body is in the hands of US authorities, US President Barack Obama has revealed. The president made a televised announcement late on Sunday to give the news, revealing details of the...
Masuala ya Jamii | 30.04.20112011-04-30 Deutsche Welle Swahili Uamuzi wa kutojumuisha uhalifu uliotendwa katika mji wa magharibi wa Kisumu na kitongoji duni cha Kibera mjini Nairobi katika kesi dhidi ya wanaodaiwa kuhusika na machafuko ya umwagaji damu kufuatia uchaguzi wa mwaka 2007 nchini Kenya, unaweza kudhoofisha juhudi za Mahkama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita kukomesha tabia ya watu kutowajibishwa...
Michezo | 29.04.20112011-04-29 Deutsche Welle Swahili Borussia Dortmund hii leo huenda ikatawazwa kuwa mabingwa wapya , iwapo itashinda pambano lake nyumbani na Nuremberg, lakini pia ikiomba mungu Bayer Leverkusen ipoteze au itoke sare katika mechi yake na FC Cologne mjini Cologne. Borussia Dortmund inaongoza kwa pointi tano zaidi ya Bayer Leverkusen inayokamata nafasi ya pili na iwapo...
Matukio ya Kisiasa | 29.04.20112011-04-29 Deutsche Welle Swahili Mjadala huo umeanza kufuatia ombi la mataifa 10 ya Ulaya, Marekani, Mexico, Korea kusini Senegal na Zambia. Lakini, hata hivyo, wanakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa washirika wa Syria, ikiwemo Urusi na China. Muswada wa awali uliowasilishwa na Marekani unatoa wito kwa wanachama 47 wa baraza hilo kukubali...
Matukio Duniani | 28.04.20112011-04-28 Deutsche Welle Swahili Mwenyekiti wa chama jumuiya hiyo inataka kurudishwa a kwa mfumo wa kifalme nchini Ujerumani Knut Wissenbacha amesema, ''Sisi katika chama chetu kinachoitwa Jadi na Maisha tumejipa jkumu la kuunga mkono wazo juu ya kurudishwa tena mfumo wa kifalme nchini Ujerumani na kuudumisha" Mwenyekiti huyo, Bwana Wissenbach haishi katika kasri bali nyumba ya...
Matukio ya Kisiasa | 28.04.20112011-04-28 Deutsche Welle Swahili Waasi mjini Misrata wamejigamba wanakaribia kuurejesha uwanja huo wa ndege katika himaya yao. Mkuu wa Kamati ya Mpito ya waasi mjini humo, Khalid Azwawi amewaambia waandishi wa habari kwamba wapiganaji wao wamemudu kupambana na wanajeshi ya Gaddafi na kuwaondoa nje ya mji huo. Lakini akaongeza kuwa kwa hivi sasa hawako mbali ndio maana wanajaribu...
Masuala ya Jamii | 28.04.20112011-04-28 Deutsche Welle Swahili Shughuli hiyo imewalazimu wageni na watalii wanaotaka kulishuhudia tukio hilo la kihistoria kutafuta mahala pa kukaa kwa muda. Taarifa zinaeleza kuwa hoteli kote mjini humo zimejaa pomoni na kwa sasa wageni wanatafuta nafasi katika majumba ya watu binafsi. Kulingana na maelezo, watalii wanaotokea sehemu tofauti kote ulimwenguni wako tayari...
Michezo | 28.04.20112011-04-28 Deutsche Welle Swahili Barcelona wananafasi nzuri ya kufikia fainali yao ya tatu ya Champions League katika muda wa miaka mitano baada ya kuwashinda mahasimu wao wakubwa Real Madrid kwa mabao 2-0 jana ...
Matukio ya Kisiasa | 27.04.20112011-04-27 Deutsche Welle Swahili Sasa tovuti ya Wikileaks imefichua habari zinazohusika na uchambuzi uliofanywa katika jela ya kijeshi ya Guantanamo. Baada ya ripota wa gazeti la New YorkTimes, Scott Shane, kutumia majuma kadhaa kupitia ripoti za uchambuzi uliofanywa kuhusu maisha ya washukiwa hao, amesema kuwa mchakato huo wa uchambuzi ulikuwa mgumu sana. Ilikuwa kazi kubwa hata...
Michezo | 27.04.20112011-04-27 Deutsche Welle Swahili Katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la mabingwa mabarani Ulaya Champions league, FC Schalke 04 ilikumbana na Manchester United ya Uingereza. Haikuwa kazi rahisi, na hatimaye mabingwa mara kadha wa ...
Masuala ya Jamii | 26.04.20112011-04-26 Deutsche Welle Swahili "Tumeweka rasilmali nyingi na matumaini katika hatua hizi na kuvunjika kwake kutakuwa ni usaliti kwetu." Ndivyo anavyosema Abdoulaye Sanoko, mkuu wa ujumbe wa Mali katika Shirika la Biashara la Dunia (WTO), mjini Geneva,...
Matukio ya Kisiasa | 09.11.2010 Deutsche Welle Swahili2010-11-09 Wizara ya mambo ya ndani imetangaza mradi wa kujenga nyumba 1.300. Tangazo hilo limetolewa wakati usio mzuri kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu. Hivi sasa yupo Marekani kwa majadiliano ya kutafuta njia ya kufufua...
Matukio ya Kisiasa | 08.11.2010 Deutsche Welle Swahili2010-11-08 Vile vile alikutana na Rais wa Israel, Shimon Peres na familia ya mwanajeshi wa Kiisraeli Gilad Shalit anaezuiliwa mateka katika Ukanda wa Gaza tangu mwaka 2006. Westerwelle ametoa mwito kwa Israel kupunguza vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Ukanda wa Gaza na kuruhusu bidhaa za Wapalestina kusafirishwa nje. Waziri wa mambo ya nchi za...
Matukio ya Kisiasa | 30.09.2010 Deutsche Welle Swahili2010-09-30 Juhudi za kimataifa zimeshika kasi kuyanusuru mazungumzo ya amani kati ya Israel na Palastina.Rais Mahmoud Abbas ameonya wapalastina watajitoa katika duru hiyo mpya iliyoanza September pili iliyopita baada ya Israel kutorefusha muda wa kusitisha ujenzi wa makaazi mepya ya wahamiaji wa kiyahudi katika ardhi za waarabu . Mjumbe maalum wa rais...
Masuala ya Jamii | 22.09.2010 Deutsche Welle Swahili2010-09-22 Katika taarifa yake, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amesema, wanatambua nini kinachoweza kusaidia ili kuokoa maisha ya wanawake na watoto na kwamba wanafahamu kuwa wanawake na watoto ndio msingi wa malengo ya maendeleo ya milenia. Ban Ki Moon amekadiria kwamba mkakati wa dunia kwa afya ya wanawake na watoto utaokoa maisha ya watu...
Matukio muhimu | 17.09.2010 Deutsche Welle Swahili2010-09-17 Kulingana na hati hiyo iliyozinduliwa kwenye kikao cha kilele cha mataifa ya Kiarabu mjini Beirut,Israel itatambuliwa na mataifa yote ya Kiarabu endapo itaondoka kwenye maeneo iliyoyateka nyara mwaka 1967 wakati wa vita vya Mashariki ya Kati ikiwemo Jerusalem Mashariki. Kauli hizo zimetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton...
Matukio ya Kisiasa | 03.09.2010 Deutsche Welle Swahili2010-09-03 Duru ya kwanza ya mazungumzo mapya ya amani juu ya Mashariki ya kati imemalizika jana. Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Wapalestina , Mahmud Abbas, wamepanga kukutana tena kwa utaratibu wa kila baada ya wiki mbili. Wanakusudi kuleta ufumbuzi wa amani katika muda wa mwaka mmoja kutoka sasa.Matumaini ya...
Matukio muhimu | 03.09.2010 Deutsche Welle Swahili2010-09-03 Kabla kuanza mazungumzo hayo, rais wa mamlaka ya ndani ya Wapalestina Mahmoud Abbas, waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, mjumbe maalum wa Marekani katika Mashariki ya Kati, George Mitchel na waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani, Hillary Clinton, walikutana katika wizara ya ndani mjini Washington. Matokeo ya kwanza ya mazungumzo ya mjini...
Matukio muhimu | 22.08.2010 Deutsche Welle Swahili2010-08-22 Bibi Merkel aliupongeza uamuzi huo wa kuyaanzisha upya mazungumzo hayo ya amani yaliyokwama mwaka 2008,pindi baada ya israel kuuvamia Ukanda wa Gaza. Mazungumzo hayo yanatarajiwa kuanza rasmi ifikapo tarehe mbili mwezi wa Septemba ijapokuwa wanasiasa wa pande zote mbili husika wameshatoa tahadhari kuwa huenda kukatoea vikwazo.Kulingana na...
Matukio ya Kisiasa | 10.08.2010 Deutsche Welle Swahili2010-08-10 Siku moja baada ya waziri mkuu wa Israel kutoa ushahidi mbele ya jopo la kitaifa la Israel linalochunguza uvamizi wa msafara wa meli za misaada zilizokuwa zikielekea Ukanda wa Gaza mwishoni mwa mwezi Mei mwaka huu, hii leo mjini New Marekani kunaanza uchunguzi wa kimataifa kuhusu mkasa huo ambapo wanaharakati tisa wa Kituruki waliuwawa, mmoja...
Matukio ya Kisiasa | 09.08.2010 Deutsche Welle Swahili2010-08-09 Waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu ametoa utetezi wake mbele ya kamati maalumu, inayochunguza tuhuma za uvamizi wa meli za misaada,na kusisitiza kuwa uamuzi wa jeshi la nchi hiyo dhidi ya wanaharakati hao,ulikuwa ni sahihi. Katika utetezi wake mbele ya kamati hiyo iliyo chini ya Israel,Netanyahu pia ameilaumu Uturuki kwa kushindwa...