Swahili News Sources:
 
Matukio ya Kisiasa | 13.02.2011 Matukio ya Kisiasa | 13.02.2011 2011-02-13
Deutsche Welle Swahili
Waziri Mkuu Ahmed Shafiq alitamka hayo kwenye televisheni baada ya kukutana na mkuu wa baraza la kijeshi Mohammed Hussein Tantawi. Alisema kuwa serikali ya mpito itatoa kipaumbele kurejesha...
 
Matukio ya Kisiasa | 11.02.2011 Matukio ya Kisiasa | 11.02.2011 2011-02-11
Deutsche Welle Swahili
Waaandamanaji wamekesha usiku kucha katika uwanja wa al-Tahrir na tangu alfajiri wameanza kujiandaa kwa maandamano makubwa dhidi ya rais Hosni Mubarab asiyetaka kung'oka madarakani. Katika wakati ambapo baadhi yao walikuwa bado wamejinyosha katika uwanja huo uliogeuka kuwa kitambulisho cha vuguvugu la malalamiko yasiyokuwa na mfano,wengine tayari...
 
Matukio Duniani Matukio Duniani | 11.02.2011 2011-02-11
Deutsche Welle Swahili
Wanaharakati hao wamekuwa wakikutana katika uwanja wa Tahrir kwa siku ya 18 sasa kwa minajili ya kumshinikiza Rais Hosni Mubarak ajiuzulu.Itakumbukwa kuwa kiongozi huyo amekuwa madarakani kwa kipindi cha miaka 30. Waandamanaji hao wa Misri wameahidi kuendelea na harakati zao mjini Cairo hii leo ili kumuongezea mbinyo Rais Hosni Mubarak na naibu...
 
Matukio ya Kisiasa Matukio ya Kisiasa | 24.01.2011 2011-01-24
Deutsche Welle Swahili
Inasemekana kuwa hati hizo ni kutoka majadiliano yaliyofanywa mwaka 2008, kati ya mawaziri wa nje wa wakati huo, Condoleezza Rice wa Marekani, Tzipi Livni wa Israel, waziri mkuu wa zamani wa Wapalestina...
 
In this picture released by the Mehr news agency, rescue workers attend the scene after an IranAir Boeing 727 passenger plane crashed as it was making an emergency landing, outside the city of Orumiyeh, 460 miles (700 kilometers) northwest of the capital, Tehran, Iran, Sunday, Jan. 9, 2011. An IranAir passenger jet carrying 106 people crashed as it was making an emergency landing Sunday in a snowstorm in the country's northwest and broke into several pieces, killing more than 70 of those on board, Iranian media reported. The others survived with light injuries. Matukio muhimu | 10.01.2011 2011-01-10
Deutsche Welle Swahili
Ndege hiyo ya Boeing 727 ya shirika la ndege la serikali Iran...
 
Matukio ya Kisiasa | 30.12.2010 Matukio ya Kisiasa | 30.12.2010 2010-12-30
Deutsche Welle Swahili
Mapema mwezi huu Brazil, iliitambua Palestina kama taifa huru kwa kuzingatia mipaka yake iliyokuwepo kabla ya vita vya mwaka 1967.Mkuu wa ujumbe maalum wa Mamlaka ya Wapalestina nchini Brazil,Ibrahim Al Zeben amesema Rais Abbas anataka kukutana na Rais wa Brazil Lula da Silva anaeondoka madarakani, kumshukuru kwa kutambua taifa la Wapalestina....
 
Matukio ya Kisiasa | 27.12.2010 Matukio ya Kisiasa | 27.12.2010 2010-12-27
Deutsche Welle Swahili
Kutokana na hali hiyo,pande zote mbili zimetishia kulipizana kisasi.Wakati huohuo, Israel inashikilia kuwa kamwe haitaiomba Uturuki radhi kwasababu ya kuushambulia mwezi wa Mei msafara wa meli za msaada uliokuwa ukielekea Gaza.Yote hayo yanatokea ikiwa imetimia miaka miwili tangu Israel kuushambulia Ukanda wa Gaza unaomilikiwa na Hamas....
 
Matukio muhimu | 18.12.2010 Matukio muhimu | 18.12.2010 2010-12-18
Deutsche Welle Swahili
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameionya serikali ya Ivory Coast dhidi ya kuuzuia Umoja wa Umoja wa Mataifa kufanya  kazi zake nchini humo....
 
Masuala ya Jamii | 07.12.2010 Masuala ya Jamii | 07.12.2010 2010-12-07
Deutsche Welle Swahili
Mashirika matatu ya Umoja wa Mataifa, yakiwemo shirika la mazingira, UNEP, shirika la maendeleo, UNDP na shirika la chakula na kilimo, FAO, yameungana kuanzisha mpango wa kupunguza utoaji wa gesi zinazochafua mazingira kutokana na ukataji na uharibifu wa misitu, unaojulikana kwa kifupi kama REDD. Mpango huo ulioanzishwa mnamo mwaka 2008 ni mfuko wa...
 
Matukio ya Kisiasa | 09.11.2010 Matukio ya Kisiasa | 09.11.2010 2010-11-09
Deutsche Welle Swahili
Wizara ya mambo ya ndani imetangaza mradi wa kujenga nyumba 1.300. Tangazo hilo limetolewa wakati usio mzuri kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu. Hivi sasa yupo Marekani kwa majadiliano ya kutafuta njia ya kufufua...
 
Matukio ya Afrika | 07.04.2011 2011-04-07
Deutsche Welle Swahili
Leo Rwanda inakumbuka mauaji ya Watutsi. Ni siku ya kuangaza nyuma na kuona namna gani kumekuwepo na uwiano baada ya yote haya. Florent Janvier ni katibu mkuu wa jumuiya ya wahanga wa mkasa huu, Ibuka, iliyopo Kigali, na anasema kuwa kuna mengi yaliyofanikiwa. "Uwiano ni mzuri. Tumefikia matokeo ya kutia moyo. Serikali imejitolea kujenga umoja na...
 
Matukio ya Kisiasa | 07.04.2011 2011-04-07
Deutsche Welle Swahili
Vikosi hivyo vimekabiliwa na mapigano makali kutoka wafuasi wa mwisho wa Gbagbo, anaepinga kabisa kuondoka madarakani, licha ya jeshi...
 
Michezo | 06.04.2011 2011-04-06
Deutsche Welle Swahili
Mechi kati ya magwiji hao wawili wa soka ilikuwa ya kusisimua tangu mwanzo, kwani bao la kwanza lilifungwa sekunde ya 25 na mchezaji wa Inter Milan Dejan Stankovic....
 
NRS-Import | 06.04.2011 2011-04-06
Deutsche Welle Swahili
  Katika wakati ambapo Ufaransa na Umoja wa mataifa wanashikilia atie saini hati kuhakikisha anayapa kisogo madaraka na kumtambua mpinzani wake kama rais, Gbagbo ameshaonya kamwe hatokubali. Sitambui ushindi wa Outtara, kwanini mnataka nitie saini hati kama hii?amesema Laurent Gbagbo wakati wa mahojiano ya simu pamoja na kituo cha televisheni...
 
Matukio ya Kisiasa | 06.04.2011 2011-04-06
Deutsche Welle Swahili
Wakuu wa chama hicho majimboni na bungeni mjini Berlin wamekubaliana hivyo na uamuzi rasmi utapitishwa kwenye mkutano mkuu wa chama hicho cha kiliberali utakaofanyika mwezi wa Mei. Nani atakaemrithi Guido Westerwelle, ni suala lililokuwa likijadiliwa siku mbili nzima na chama cha FDP ambacho ni mshirika katika serikali ya muungano ya Kansela Angela...
 
Masuala ya Jamii | 05.04.2011 2011-04-05
Deutsche Welle Swahili
Mbali na kuwaburudisha mashibiki, muziki wa msanii Abbas Kubaff pia unatoa ujumbe unaohusu...
 
Matukio ya Kisiasa | 05.04.2011 2011-04-05
Deutsche Welle Swahili
Msemaji wa waasi amesema kuwa vikosi vya Ouattara vinafanya msako kwenye majengo yaliyo jirani na makaazi hao ya...
 
Michezo | 04.04.2011 2011-04-04
Deutsche Welle Swahili
Katika mechi hizo,Schalke 04 inayopepesuka katika Bundesliga itakuwa mjini Milan kuumana na Inter, mechi ambayo Schalke itashuka dimbani bila ya Mario Gavranovic na Peer Kluge, huku wasiwasi wa kuweza kuvaa njumu ukiwepo kwa Christoph Metzelder na Klaas Jan Huntelaar. Schalke inakamata nafasi ya 11 katika msimamo wa ligi ya Bundesliga. Hata hivyo...
 
Matukio ya Afrika | 04.04.2011 2011-04-04
Deutsche Welle Swahili
Uamuzi huo unaonekana kuwa aibu kwa taifa linalojaribu kuondokana na historia ya chaguzi za machafuko, huku wapigaji kura wakikasirishwa na kuvunjwa moyo na hatua hiyo. Wapigaji kura wengi walimiminika vituoni Jumamosi iliyopita katika mji wa Lagos wakiwa na matumaini kwamba uchaguzi wa bunge ungefanyika. Karibu kila mahali mjini humo watu...
 
Matukio ya Kisiasa | 04.04.2011 2011-04-04
Deutsche Welle Swahili
Kufuatia matokeo mabaya ya chama chake katika chaguzi za mikoa, Westerwelle amesema kuwa hatogombea tena wadhifa huo, ambao...
 
Matukio Duniani | 03.04.2011 2011-04-03
Deutsche Welle Swahili
Vikosi vinavyomtii Alassane Ouattara anayetambuliwa na jamii ya kimataifa kama rais halali wa nchi hiyo, vinaripotiwa...
 
Matukio ya Kisiasa | 03.04.2011 2011-04-03
Deutsche Welle Swahili
Kamati ya kimataifa ya Chama cha Msalaba Mwekundu imearifu kwamba watu 800 wameuawa mnamo kipindi cha siku moja,...
 
Matukio ya Kisiasa | 02.04.2011 2011-04-02
Deutsche Welle Swahili
Uchaguzi huu mkuu ni jaribio la kuona iwapo nchi hiyo yenye watu wengi kabisa barani Afrika inaweza kuachana na historia ya uchaguzi wenye udanganyifu na vurugu. Tume ya...
 
Matukio ya Afrika | 01.04.2011 2011-04-01
Deutsche Welle Swahili
Milio ya risasi na makombora imesikika hii leo karibu na makaazi ya Laurent Gbagbo anayeng'ang'ania madaraka nchini Cote d'Ivoire pamoja na kasri lake. Mkaazi mmoja wa eneo la Cocody ambako Gbagbo anaishi ameliambia shirika la habari la AFP kuwa milio hiyo ya risasi imekuwa ikiendelea kwa muda na wanajeshi watiifu kwa Gbagbo wamekwamia katika...
 
Michezo | 01.04.2011 2011-04-01
Deutsche Welle Swahili
Polisi wa Ujerumani  hapo siku ya Jumatano walitoa taarifa ya kwamba wamefanikiwa kuzima jaribio la kutaka kufanyika kwa shambulio kwenye uwanja huo. Dortmund mnamo wiki mbili zilizopita mwanya wake wa uongozi ulipunguzwa hadi pointi saba kufuatia sare ya bao 1-1 na Mainz huku wanaowanyatia kileleni Bayer Leverkusen wakipata ushindi wa mabao...
 
Matukio ya Kisiasa | 01.04.2011 2011-04-01
Deutsche Welle Swahili
Waangalizi wa Umoja wa Ulaya pamoja na wa Afrika tayari wamewasili nchini humo kuhakikisha kuwa mazingira ya uchaguzi huo yanavitimiza vigezo vya uhuru na haki.Zoezi hilo litafikia kilele chake tarehe 9 atakapochaguliwa rais mpya wa Nigeria. Wiki tatu Uchaguzi huo wa wabunge,rais na serikali za mitaa unaanza rasmi hii leo (02.04.2011) na utaendelea...
 
Matukio Duniani | 01.04.2011 2011-04-01
Deutsche Welle Swahili
Kulingana na maazimio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, dhamira ya operesheni ya kijeshi inayoendelea Libya ni kuwalinda raia wa kawaida. Itakumbukwa kuwa Jumuiya ya Kujihami ya NATO...
 
Matukio ya Kisiasa | 31.03.2011 2011-03-31
Deutsche Welle Swahili
Kulingana na azimio 1975, Laurent Gbagbo sharti aachie madaraka kadhalika anawekewa vikwazo vya usafiri na mali yake imezuiwa.Uamuzi huo umepitishwa wakati ambapo hali bado ni ya wasiwasi nchini Cote d'Ivoire.Ifahamike kuwa Alassane Ouatarra ndiye anayetambuliwa na jamii ya kimataifa kama mshindi wa duru ya pili ya uchaguzi wa rais uliofanyika...
 
Matukio ya Kisiasa | 30.03.2011 2011-03-30
Deutsche Welle Swahili
Kauli hizo zimetolewa kabla ya jumuiya hiyo kukutana hii leo (31.03.2011) mjini Livingstone nchini Zambia.Wasiwasi huo umejitokeza wakati ambapo Zimbabwe inajiandaa kufanya uchaguzi wa Spika wiki ijayo baada ya uteuzi wa Lovemore Moyo kubatilishwa na mahakama kuu. Tathmini ya maendeleo Kikao hicho kinafanyika wakati ambapo Rais Jacob Zuma wa Afrika...
 
Masuala ya Jamii | 29.03.2011 2011-03-29
Deutsche Welle Swahili
Serikali za China,Korea Kusini,Ufilipino na Vietnam zimeripoti kwamba mionzi ya Nyuklia imeshaingia katika nchi zao ingawa serikali hizo zimesisitiza kwamba viwango vilivyogunduliwa ni vodogo na haviwezi kusababisha madhara ya kiafya.Msemaji katika taasisi ya utafiti wa masuala ya Nyuklia ya Ufilipino Tina Cerbolis akiunga mkono taarifa...
 
Matukio ya Kisiasa | 08.11.2010
Matukio ya Kisiasa | 08.11.2010
Deutsche Welle Swahili 2010-11-08
Vile vile alikutana na Rais wa Israel, Shimon Peres na familia ya mwanajeshi wa Kiisraeli Gilad Shalit anaezuiliwa mateka katika Ukanda wa Gaza tangu mwaka 2006.  Westerwelle ametoa mwito kwa Israel kupunguza vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Ukanda wa Gaza na kuruhusu bidhaa za Wapalestina kusafirishwa nje. Waziri wa mambo ya nchi za...
Matukio ya Kisiasa | 30.09.2010
Matukio ya Kisiasa | 30.09.2010
Deutsche Welle Swahili 2010-09-30
Juhudi za kimataifa zimeshika kasi kuyanusuru mazungumzo ya amani kati ya Israel na Palastina.Rais Mahmoud Abbas ameonya wapalastina watajitoa katika duru hiyo mpya  iliyoanza September pili iliyopita baada ya Israel kutorefusha muda wa kusitisha ujenzi wa makaazi mepya ya wahamiaji wa kiyahudi katika ardhi za waarabu . Mjumbe maalum wa rais...
Masuala ya Jamii | 22.09.2010
Masuala ya Jamii | 22.09.2010
Deutsche Welle Swahili 2010-09-22
Katika taarifa yake, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amesema, wanatambua nini kinachoweza kusaidia ili kuokoa maisha ya wanawake na watoto na kwamba wanafahamu kuwa wanawake na watoto ndio msingi wa malengo ya maendeleo ya milenia. Ban Ki Moon amekadiria kwamba mkakati wa dunia kwa afya ya wanawake na watoto utaokoa maisha ya watu...
Matukio muhimu | 17.09.2010
Matukio muhimu | 17.09.2010
Deutsche Welle Swahili 2010-09-17
Kulingana na hati hiyo iliyozinduliwa kwenye kikao cha kilele cha mataifa ya Kiarabu mjini Beirut,Israel itatambuliwa na mataifa yote ya Kiarabu endapo itaondoka kwenye maeneo iliyoyateka nyara mwaka 1967 wakati wa vita vya Mashariki ya Kati ikiwemo Jerusalem Mashariki. Kauli hizo zimetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton...
Matukio ya Kisiasa
Matukio ya Kisiasa | 03.09.2010
Deutsche Welle Swahili 2010-09-03
Duru ya kwanza ya mazungumzo mapya ya amani juu ya Mashariki ya kati imemalizika jana. Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Wapalestina , Mahmud Abbas, wamepanga kukutana tena kwa utaratibu wa kila baada ya wiki mbili. Wanakusudi kuleta ufumbuzi wa amani katika muda wa mwaka mmoja kutoka sasa.Matumaini ya...
Matukio muhimu | 03.09.2010
Matukio muhimu | 03.09.2010
Deutsche Welle Swahili 2010-09-03
Kabla kuanza mazungumzo hayo, rais wa mamlaka ya ndani ya Wapalestina Mahmoud Abbas, waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, mjumbe maalum wa Marekani katika Mashariki ya Kati, George Mitchel na waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani, Hillary Clinton, walikutana katika wizara ya ndani mjini Washington. Matokeo ya kwanza ya mazungumzo ya mjini...
Matukio muhimu | 22.08.2010
Matukio muhimu | 22.08.2010
Deutsche Welle Swahili 2010-08-22
Bibi Merkel aliupongeza uamuzi huo wa kuyaanzisha upya mazungumzo hayo ya amani yaliyokwama mwaka 2008,pindi baada ya israel kuuvamia Ukanda wa Gaza. Mazungumzo hayo yanatarajiwa kuanza rasmi ifikapo tarehe mbili mwezi wa Septemba ijapokuwa wanasiasa wa pande zote mbili husika wameshatoa tahadhari kuwa huenda kukatoea vikwazo.Kulingana na...
Matukio ya Kisiasa |
Matukio ya Kisiasa | 10.08.2010
Deutsche Welle Swahili 2010-08-10
Siku moja baada ya waziri mkuu wa Israel kutoa ushahidi mbele ya jopo la kitaifa la Israel linalochunguza uvamizi wa msafara wa meli za misaada zilizokuwa zikielekea Ukanda wa Gaza mwishoni mwa mwezi Mei mwaka huu, hii leo mjini New Marekani kunaanza uchunguzi wa kimataifa kuhusu mkasa huo ambapo wanaharakati tisa  wa Kituruki waliuwawa, mmoja...
Matukio ya Kisiasa
Matukio ya Kisiasa | 09.08.2010
Deutsche Welle Swahili 2010-08-09
Waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu ametoa utetezi wake mbele ya kamati maalumu, inayochunguza tuhuma za uvamizi wa meli za misaada,na kusisitiza kuwa uamuzi wa jeshi la nchi hiyo dhidi ya wanaharakati hao,ulikuwa ni sahihi.   Katika utetezi wake mbele ya kamati hiyo iliyo chini ya Israel,Netanyahu pia ameilaumu Uturuki kwa kushindwa...
Matukio ya Kisiasa
Matukio ya Kisiasa | 02.08.2010
Deutsche Welle Swahili 2010-08-02
Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu amesema anatarajia kuwa mazungumzo ya amani ya moja kwa moja kati ya Israeli na Palestina yataanza kaitka kipindi cha wiki mbili zijazo. Wakati huo huo, Rais wa Israeli Shimon Peres jana alikutana na mwenzake wa Misri, Hosni Mubarak katika jitihada za kuyafufua mazungumzo hayo ya amani katika Mashariki ya...
`