Matukio ya Kisiasa | 30.12.20102010-12-30 Deutsche Welle Swahili Mapema mwezi huu Brazil, iliitambua Palestina kama taifa huru kwa kuzingatia mipaka yake iliyokuwepo kabla ya vita vya mwaka 1967.Mkuu wa ujumbe maalum wa Mamlaka ya Wapalestina nchini Brazil,Ibrahim Al Zeben amesema Rais Abbas anataka kukutana na Rais wa Brazil Lula da Silva anaeondoka madarakani, kumshukuru kwa kutambua taifa la Wapalestina....
Matukio ya Kisiasa | 27.12.20102010-12-27 Deutsche Welle Swahili Kutokana na hali hiyo,pande zote mbili zimetishia kulipizana kisasi.Wakati huohuo, Israel inashikilia kuwa kamwe haitaiomba Uturuki radhi kwasababu ya kuushambulia mwezi wa Mei msafara wa meli za msaada uliokuwa ukielekea Gaza.Yote hayo yanatokea ikiwa imetimia miaka miwili tangu Israel kuushambulia Ukanda wa Gaza unaomilikiwa na Hamas....
Masuala ya Jamii | 07.12.20102010-12-07 Deutsche Welle Swahili Mashirika matatu ya Umoja wa Mataifa, yakiwemo shirika la mazingira, UNEP, shirika la maendeleo, UNDP na shirika la chakula na kilimo, FAO, yameungana kuanzisha mpango wa kupunguza utoaji wa gesi zinazochafua mazingira kutokana na ukataji na uharibifu wa misitu, unaojulikana kwa kifupi kama REDD. Mpango huo ulioanzishwa mnamo mwaka 2008 ni mfuko wa...
Matukio ya Kisiasa | 09.11.20102010-11-09 Deutsche Welle Swahili Wizara ya mambo ya ndani imetangaza mradi wa kujenga nyumba 1.300. Tangazo hilo limetolewa wakati usio mzuri kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu. Hivi sasa yupo Marekani kwa majadiliano ya kutafuta njia ya kufufua...
Matukio ya Kisiasa | 08.11.20102010-11-08 Deutsche Welle Swahili Vile vile alikutana na Rais wa Israel, Shimon Peres na familia ya mwanajeshi wa Kiisraeli Gilad Shalit anaezuiliwa mateka katika Ukanda wa Gaza tangu mwaka 2006. Westerwelle ametoa mwito kwa Israel kupunguza vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Ukanda wa Gaza na kuruhusu bidhaa za Wapalestina kusafirishwa nje. Waziri wa mambo ya nchi za...
Matukio ya Kisiasa | 30.09.20102010-09-30 Deutsche Welle Swahili Juhudi za kimataifa zimeshika kasi kuyanusuru mazungumzo ya amani kati ya Israel na Palastina.Rais Mahmoud Abbas ameonya wapalastina watajitoa katika duru hiyo mpya iliyoanza September pili iliyopita baada ya Israel kutorefusha muda wa kusitisha ujenzi wa makaazi mepya ya wahamiaji wa kiyahudi katika ardhi za waarabu . Mjumbe maalum wa rais...
Masuala ya Jamii | 22.09.20102010-09-22 Deutsche Welle Swahili Katika taarifa yake, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amesema, wanatambua nini kinachoweza kusaidia ili kuokoa maisha ya wanawake na watoto na kwamba wanafahamu kuwa wanawake na watoto ndio msingi wa malengo ya maendeleo ya milenia. Ban Ki Moon amekadiria kwamba mkakati wa dunia kwa afya ya wanawake na watoto utaokoa maisha ya watu...
Matukio muhimu | 17.09.20102010-09-17 Deutsche Welle Swahili Kulingana na hati hiyo iliyozinduliwa kwenye kikao cha kilele cha mataifa ya Kiarabu mjini Beirut,Israel itatambuliwa na mataifa yote ya Kiarabu endapo itaondoka kwenye maeneo iliyoyateka nyara mwaka 1967 wakati wa vita vya Mashariki ya Kati ikiwemo Jerusalem Mashariki. Kauli hizo zimetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton...
Michezo | 25.02.20112011-02-25 Deutsche Welle Swahili Dortmund ipo mbele ya mabingwa watetezi hao kwa pointi 13, lakini imani ya Bayern imezidi baada ya ushindi katika mashindano ya kuwania ubingwa Ulaya, dhidi ya Inter Milan ambapo walipata bao moja kwa bila mnamo siku ya Jumatano wiki hii.Bildunterschrift: Großansicht des Bildes mit der Bildunterschrift: Kevin Grosskreutz na Lucas...
Matukio Duniani | 25.02.20112011-02-25 Deutsche Welle Swahili Wanajeshi wanaomuunga mkono Kanali Muammar Gaddafi,waliojihami kwa silaha nzito wanaripotiwa kuendelea na harakati za kujaribu kuwazuwia waandamanaji katika miji ya eneo la magharibi iliyo karibu na mji mkuu wa Tripoli.Hata hivyo eneo la mashariki ya Libya limetekwa na waandamanaji wanaompinga Kanali Muammar Gaddafi.Wakati huo huo waandamanaji...
Matukio ya Kisiasa | 25.02.20112011-02-25 Deutsche Welle Swahili Kisa cha waziri wa ulinzi wa serikali kuu ya Ujerumani ,mwanasiasa anaependwa zaidi humu nchini,Karl-Theodor zu Guttenberg cha kutumia maelezo ya watu katika shahada yake ya udaktari (PHD) tena bila ya kuwataja kinazidi kuhanikiza. Katika vyombo vya habari mengi yamekuwa yakiandikwa kuhusu kisa hicho. Kauli mbiu katika vyombo vya habari ni...
Michezo | 24.02.20112011-02-24 Deutsche Welle Swahili Katika mechi hiyo iliyochukuliwa kama marudio ya fainali ya michuano hiyo ya ligi ya mabingwa barani Ulaya, mlinda lango wa Inter Milan Julio Ceaser aliutema mkwaju wa Arjen Robben, aliyeufyatua...
Michezo | 23.02.20112011-02-23 Deutsche Welle Swahili Inter Milan ya Italia itakabana koo na Bayern Munich ya Ujerumani katika marudio ya fainali ya kombe hilo mwaka jana, huku nao Olympique Marseilles wa Ufaransa wakiwaalika Manchester United wa Uingereza. Inter Milan waliwabwaga Bayern mabao mawili kwa sifuri katika fainali ya mwaka jana ya kombe la ubingwa wa ulaya na hivi leo Bayern watakuwa na...
Magazetini | 23.02.20112011-02-23 Deutsche Welle Swahili Wahariri wa magazeti ya Ujerumani leo wanatoa maoni yao juu ya hali ya nchini Libya. Mhariri wa gagzeti la Reutlinger General -Anzeiger anasema jambo moja ni la uhakika, kwamba yanayotokea nchini Libya ni matukio ya kutia wasiwasi duniani kote. Gazeti hilo linaeleza kuwa huenda mtu akafikiri ,kuwa ni kupiga chuku...
Matukio ya Kisiasa | 23.02.20112011-02-23 Deutsche Welle Swahili Baraza la usalama la umoja wa mataifa limetoa wito wa kusitishwa mara moja kwa matumizi ya nguvu na ghasia nchini Libya, likishutumu hatua ya serikali kuwashambulia waandamanaji. Baraza hilo ...
Matukio Duniani | 21.02.20112011-02-21 Deutsche Welle Swahili Kulingana na shirika moja la kutetea haki za binadamu IFHR,kiasi ya watu kati ya 300-400 wameuawa katika ghasia hizo.Wakati huohuo,Ujerumani na Uingereza zimeutolea wito Umoja wa Ulaya kuichukulia Libya hatua kali.Libya nayo imetishia kuwa haitoshirikiana na jumuiya hiyo katika suala la kuwadhibiti wahamiaji haramu.Maandamano hayo yameingia siku...
Matukio ya Kisiasa | 21.02.20112011-02-21 Deutsche Welle Swahili Mashahidi na ripota wa shirika la habari la AFP wamesema, milio ya risasi ilizidi kusikika kufuatia hotuba iliyotolewa katika televisheni na Saif al-Islam Gaddafi. Katika hotuba hiyo, mwana wa kiongozi wa...
Matukio ya Kisiasa | 20.02.20112011-02-20 Deutsche Welle Swahili Hadi sasa kura milioni 5.5 ambazo ni sawa na asilimia 40 ambazo tayari zimeshahesabiwa. Hata hivyo, mgombea wa urais kwa tiketi ya IPC, Kizza Besigye ambaye ni mpinzani mkuu wa Rais Museveni ameilaumu Tume...
Michezo | 18.02.20112011-02-18 Deutsche Welle Swahili Yalikuwa ni mabao ya Eren Derdiyok,Gonzalo Castro na Sidney Sam aliyepachika mawili, yaliyoipatia ushindi mzito Leverkusen na...
Matukio ya Kisiasa | 18.02.20112011-02-18 Deutsche Welle Swahili Watu wa Uganda wameshaanza kupiga kura kumchagua Rais na bunge jipya. Rais wa hadi sasa Yoweri Museveni anatarajiwa kuchaguliwa tena licha ya kukabiliwa na changamoto kubwa kutoka kwa wapinzani wakati wa kampeni za uchaguzi. Kwa mujibu wa kura za maoni, Museveni anaeitawala Uganda tokea mwaka wa 1986...
Matukio ya Kisiasa | 03.09.2010 Deutsche Welle Swahili2010-09-03 Duru ya kwanza ya mazungumzo mapya ya amani juu ya Mashariki ya kati imemalizika jana. Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Wapalestina , Mahmud Abbas, wamepanga kukutana tena kwa utaratibu wa kila baada ya wiki mbili. Wanakusudi kuleta ufumbuzi wa amani katika muda wa mwaka mmoja kutoka sasa.Matumaini ya...
Matukio muhimu | 03.09.2010 Deutsche Welle Swahili2010-09-03 Kabla kuanza mazungumzo hayo, rais wa mamlaka ya ndani ya Wapalestina Mahmoud Abbas, waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, mjumbe maalum wa Marekani katika Mashariki ya Kati, George Mitchel na waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani, Hillary Clinton, walikutana katika wizara ya ndani mjini Washington. Matokeo ya kwanza ya mazungumzo ya mjini...
Matukio muhimu | 22.08.2010 Deutsche Welle Swahili2010-08-22 Bibi Merkel aliupongeza uamuzi huo wa kuyaanzisha upya mazungumzo hayo ya amani yaliyokwama mwaka 2008,pindi baada ya israel kuuvamia Ukanda wa Gaza. Mazungumzo hayo yanatarajiwa kuanza rasmi ifikapo tarehe mbili mwezi wa Septemba ijapokuwa wanasiasa wa pande zote mbili husika wameshatoa tahadhari kuwa huenda kukatoea vikwazo.Kulingana na...
Matukio ya Kisiasa | 10.08.2010 Deutsche Welle Swahili2010-08-10 Siku moja baada ya waziri mkuu wa Israel kutoa ushahidi mbele ya jopo la kitaifa la Israel linalochunguza uvamizi wa msafara wa meli za misaada zilizokuwa zikielekea Ukanda wa Gaza mwishoni mwa mwezi Mei mwaka huu, hii leo mjini New Marekani kunaanza uchunguzi wa kimataifa kuhusu mkasa huo ambapo wanaharakati tisa wa Kituruki waliuwawa, mmoja...
Matukio ya Kisiasa | 09.08.2010 Deutsche Welle Swahili2010-08-09 Waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu ametoa utetezi wake mbele ya kamati maalumu, inayochunguza tuhuma za uvamizi wa meli za misaada,na kusisitiza kuwa uamuzi wa jeshi la nchi hiyo dhidi ya wanaharakati hao,ulikuwa ni sahihi. Katika utetezi wake mbele ya kamati hiyo iliyo chini ya Israel,Netanyahu pia ameilaumu Uturuki kwa kushindwa...
Matukio ya Kisiasa | 02.08.2010 Deutsche Welle Swahili2010-08-02 Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu amesema anatarajia kuwa mazungumzo ya amani ya moja kwa moja kati ya Israeli na Palestina yataanza kaitka kipindi cha wiki mbili zijazo. Wakati huo huo, Rais wa Israeli Shimon Peres jana alikutana na mwenzake wa Misri, Hosni Mubarak katika jitihada za kuyafufua mazungumzo hayo ya amani katika Mashariki ya...
Matukio ya Kisiasa | 29.07.2010 Deutsche Welle Swahili2010-07-29 Wakati Mawaziri wa mambo ya nchi za kigeni wa Jumuiya ya Kiarabu wanakutana leo mjini Cairo Misri,Rais wa mamlaka ya ndani ya Wapalestina Mahmoud Abbas amewasili jijini humo kuhudhuria mkutano wa kamati ya Jumuiya hiyo,ambayo inashughulikia mazungumzo baina ya Palestina na Israel,huku suala la kupatikana kwa amani hiyo likiwa bado ni...
Matukio ya Kisiasa | 06.07.2010 Deutsche Welle Swahili2010-07-06 Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anatarajiwa kukaribishwa vizuri safari hii, kinyume kabisa na ilivyokuwa wakati alipoitembelea Marekani mnamo mwezi Machi mwaka huu, wakati ambapo rais Obama hakuonyesha kuwa na haja ya kukutana naye kwa sababu ya mgogoro kuhusu kupanuliwa kwa makaazi ya walowezi wa Kiyahudi huko Jerusalem Mashariki. Rais...
Matukio ya Kisiasa | 22.06.2010 Deutsche Welle Swahili2010-06-22 Wakati huo huo, Waziri wa Misaada ya Maendeleo wa Ujerumani, Dirk Niebel ameunga mkono hatua hiyo mpya ya Israel, kuregeza vikwazo vyake dhidi ya Gaza. Lakini hatua hiyo ya serikali ya Israel kuregeza vikwazo vyake dhidi ya Ukanda wa Gaza imeshambuliwa na Tzipi Livni,waziri wa zamani wa mambo ya nje ambae hivi sasa ni kiongozi wa upinzani katika...
Matukio ya Kisiasa | 17.06.2010 Deutsche Welle Swahili2010-06-17 Taarifa iliyotolewa na serikali ya Israel imesema kulingana na mpango huo, Israel italegeza mfumo ambao bidhaa za kiraia zitaingia Gaza na kuongeza uingizaji kwa wingi wa malighafi kwa ajili ya miradi ya kiraia ambayo iko chini ya usimamizi wa kimataifa. Hata hivyo imesisitiza kuwa Israel itaendelea kuimarisha ulinzi ili kuepukana na uingizaji kwa...