Swahili News Sources:
 
Matukio ya Kisiasa | 09.11.2010 Matukio ya Kisiasa | 09.11.2010 2010-11-09
Deutsche Welle Swahili
Wizara ya mambo ya ndani imetangaza mradi wa kujenga nyumba 1.300. Tangazo hilo limetolewa wakati usio mzuri kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu. Hivi sasa yupo Marekani kwa majadiliano ya kutafuta njia ya kufufua...
 
Matukio ya Kisiasa | 08.11.2010 Matukio ya Kisiasa | 08.11.2010 2010-11-08
Deutsche Welle Swahili
Vile vile alikutana na Rais wa Israel, Shimon Peres na familia ya mwanajeshi wa Kiisraeli Gilad Shalit anaezuiliwa mateka katika Ukanda wa Gaza tangu mwaka 2006.  Westerwelle ametoa mwito kwa Israel kupunguza vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Ukanda wa Gaza na kuruhusu bidhaa za Wapalestina kusafirishwa nje. Waziri wa mambo ya nchi za...
 
Masuala ya Jamii | 22.09.2010 Masuala ya Jamii | 22.09.2010 2010-09-22
Deutsche Welle Swahili
Katika taarifa yake, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amesema, wanatambua nini kinachoweza kusaidia ili kuokoa maisha ya wanawake na watoto na kwamba wanafahamu kuwa wanawake na watoto ndio msingi wa malengo ya maendeleo ya milenia. Ban Ki Moon amekadiria kwamba mkakati wa dunia kwa afya ya wanawake na watoto utaokoa maisha ya watu...
 
Matukio muhimu | 17.09.2010 Matukio muhimu | 17.09.2010 2010-09-17
Deutsche Welle Swahili
Kulingana na hati hiyo iliyozinduliwa kwenye kikao cha kilele cha mataifa ya Kiarabu mjini Beirut,Israel itatambuliwa na mataifa yote ya Kiarabu endapo itaondoka kwenye maeneo iliyoyateka nyara mwaka 1967 wakati wa vita vya Mashariki ya Kati ikiwemo Jerusalem Mashariki. Kauli hizo zimetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton...
 
Matukio ya Kisiasa Matukio ya Kisiasa | 03.09.2010 2010-09-03
Deutsche Welle Swahili
Duru ya kwanza ya mazungumzo mapya ya amani juu ya Mashariki ya kati imemalizika jana. Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Wapalestina , Mahmud Abbas, wamepanga kukutana tena kwa utaratibu wa kila baada ya wiki mbili. Wanakusudi kuleta ufumbuzi wa amani katika muda wa mwaka mmoja kutoka sasa.Matumaini ya...
 
Matukio muhimu | 03.09.2010 Matukio muhimu | 03.09.2010 2010-09-03
Deutsche Welle Swahili
Kabla kuanza mazungumzo hayo, rais wa mamlaka ya ndani ya Wapalestina Mahmoud Abbas, waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, mjumbe maalum wa Marekani katika Mashariki ya Kati, George Mitchel na waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani, Hillary Clinton, walikutana katika wizara ya ndani mjini Washington. Matokeo ya kwanza ya mazungumzo ya mjini...
 
Matukio ya Kisiasa Matukio ya Kisiasa | 09.08.2010 2010-08-09
Deutsche Welle Swahili
Waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu ametoa utetezi wake mbele ya kamati maalumu, inayochunguza tuhuma za uvamizi wa meli za misaada,na kusisitiza kuwa uamuzi wa jeshi la nchi hiyo dhidi ya wanaharakati hao,ulikuwa ni sahihi.   Katika utetezi wake mbele ya kamati hiyo iliyo chini ya Israel,Netanyahu pia ameilaumu Uturuki kwa kushindwa...
 
Matukio ya Kisiasa Matukio ya Kisiasa | 02.08.2010 2010-08-02
Deutsche Welle Swahili
Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu amesema anatarajia kuwa mazungumzo ya amani ya moja kwa moja kati ya Israeli na Palestina yataanza kaitka kipindi cha wiki mbili zijazo. Wakati huo huo, Rais wa Israeli Shimon Peres jana alikutana na mwenzake wa Misri, Hosni Mubarak katika jitihada za kuyafufua mazungumzo hayo ya amani katika Mashariki ya...
 
Matukio ya Kisiasa | 29.07.2010 Matukio ya Kisiasa | 29.07.2010 2010-07-29
Deutsche Welle Swahili
   Wakati Mawaziri wa mambo ya nchi za kigeni wa Jumuiya ya Kiarabu wanakutana leo mjini Cairo Misri,Rais wa mamlaka ya ndani ya Wapalestina Mahmoud Abbas amewasili jijini humo kuhudhuria mkutano wa kamati ya Jumuiya hiyo,ambayo inashughulikia mazungumzo baina ya Palestina na Israel,huku suala la kupatikana kwa amani hiyo likiwa bado ni...
 
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu gestures as he delivers a speech during the 'Facing Tomorrow' Conference, the second annual global conference hosted by Israeli President Shimon Peres in Jerusalem, Tuesday, Oct. 20, 2009. Matukio ya Kisiasa | 06.07.2010 2010-07-06
Deutsche Welle Swahili
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anatarajiwa kukaribishwa vizuri safari hii, kinyume kabisa na ilivyokuwa wakati alipoitembelea Marekani mnamo mwezi Machi mwaka huu, wakati ambapo rais Obama hakuonyesha kuwa na haja ya kukutana naye kwa sababu ya mgogoro kuhusu kupanuliwa kwa makaazi ya walowezi wa Kiyahudi huko Jerusalem Mashariki. Rais...
 
Matukio muhimu | 26.12.2010 2010-12-26
Deutsche Welle Swahili
Kiongozi aliyepo madarakani hivi nchini Cote d'Ivoire, Laurent Gbagbo, amekataa kwa kutaja kutokuwa haki, tishio la viongozi wa mataifa ya jumuiya ya Afrika...
 
Masuala ya Jamii | 25.12.2010 2010-12-25
Deutsche Welle Swahili
Rais Wulff ametoa mwito huo   kwa wananchi  wa  Ujerumani katika hotuba  ya kuadhimisha Sikukuu  ya   Krismasi. Katika hotuba yake  Rais Wulff pia amesisitiza  juu ya maadili  ya umoja, uelewano na mshikamano. Amesema wote wapo pamoja, wanasaidiana na wamefungamana. Rais huyo wa Ujerumani...
 
Matukio muhimu | 25.12.2010 2010-12-25
Deutsche Welle Swahili
Takriban ndege 400 katika uwanja wa ndege wa Charles de Gaulle mjini Paris ziliahirisha safari zake jana jioni na nyingine kuchelewa, hali...
 
Masuala ya Jamii | 24.12.2010 2010-12-24
Deutsche Welle Swahili
Huko Bethelem alikozaliwa Yesu Masia, maelfu ya watu kutoka kote duniani wamekuwa wakimiminika, wakiwemo kwa mara ya kwanza wakristo kutoka mataifa ya kiarabu yasiyokuwa na uhusiano wa...
 
Matukio ya Kisiasa | 24.12.2010 2010-12-24
Deutsche Welle Swahili
Rais wa Urusi, Dmitry Medvedev, amempongeza hii leo mwenzake wa Marekani, Barack Obama, na kumuelezea kuwa kiongozi anayezitimiza ahadi zake. Kauli hizo zimetolewa baada ya Marekani kuuidhinisha siku ya Jumatano mkataba wa START. Kulingana na makubaliano hayo, Urusi na Marekani zitalazimika kuipunguza idadi yao makombora yao ya nuklia hadi 1500...
 
Matukio muhimu | 23.12.2010 2010-12-23
Deutsche Welle Swahili
Hatua hiyo inaonekana kama jaribio la kuidhinisha kusikizwa kesi dhidi ya washukiwa 6 wanaodaiwa kuhusika na ghasia baada ya uchaguzi mkuu uliopita nchini humo. Mivutano ilijitokeza katika...
 
Matukio ya Kisiasa | 23.12.2010 2010-12-23
Deutsche Welle Swahili
Maseneta 71 walipiga kura kuukubali huku 26 wakiukataa, ukiwa ni ushindi wa theluthi mbili ya kura zote. Mkataba huo mpya utazifanya Urusi na Marekani kukubaliana kupunguza idadi ya vichwa vya kinyuklia kote duniani, ambapo kila nchi itakuwa na vichwa kiasi ya 1500. Marais Barack Obama na Dmitry Medvedev wa Urusi walitia saini makubaliano ya...
 
Michezo | 23.12.2010 2010-12-23
Deutsche Welle Swahili
Bayern ambao ni mabingwa watetezi wa kombe hilo la DFB ilivurumisha VfB Stuttgart, kwa mabao 6-3, ambapo  Miroslav Klose...
 
Matukio muhimu | 22.12.2010 2010-12-22
Deutsche Welle Swahili
 Hali inatisha nchini Côte d'Ivoire ambako kambi ya Alassane Outtara,anaetambuliwa kimataifa kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais ,imetoa mwito wa "kutoitii" serikali ya mpinzani wake Laurent Gbagbo inayopuuza vikwazo  na shinikizo la jumuia ya kimataifa inayomtaka ang'oke madarakani. Akihutubia kwa njia ya televisheni jana usiku,Laurent...
 
Matukio ya Kisiasa | 22.12.2010 2010-12-22
Deutsche Welle Swahili
Kuidhinishwa  kwa  mkataba  maalum   kati  ya  Marekani na  Urusi  kuhusu  upunguzaji  wa  silaha  za  kinuklia unakaribia  kukamilika. Kwa  kura  67  za  ndio  dhidi  ya 28 , baraza  la  seneti  la  Marekani ...
 
Matukio muhimu | 21.12.2010 2010-12-21
Deutsche Welle Swahili
Rais wa Kenya, Mwai Kibaki amesema usalama utaimarishwa msimu huu wa sikukuu ya Krisamasi kufuatia mlipuko wa bomu...
 
Masuala ya Jamii | 21.12.2010 2010-12-21
Deutsche Welle Swahili
Safari za ndege katika uwanja wa Frankfurt hapa Ujeumani zimecheleweshwa tena hii leo kutokana na theluji nyingi iliyoanguka. Ndege moja tu imeruhisiwa kutua katika uwanja huo mapema leo mwendo wa saa 8:28. Wakati huo huo, wafanyakazi wawili wa reli wameuwawa usiku wa kuamkia leo wakati treni ilipowagonga wafanyakazi wa timu ya...
 
Matukio ya Kisiasa | 21.12.2010 2010-12-21
Deutsche Welle Swahili
Hali zote hizo mbili za mapigano ya wakati huo na sasa hivi kimsingi zinafanana.Nani ananyemuunga mkono Ouattar?Katika uchaguzi wa urais wa tarehe 28 mwezi uliyopita, tume ya uchaguzi nchini humo ilimtangaza Alassane Ouattar kuwa mshindi.Lakini tangazo hilo ambalo kikatiba ni halali, lilipingwa na Gbagbo na wafuasi wake wakajitangazia ushindi...
 
Matukio muhimu | 20.12.2010 2010-12-20
Deutsche Welle Swahili
Maafisa katika uwanja wa ndege wa Frankfurt wamefuta safari 300 za ndege mapema leo (20.12.2010) huku theluji zaidi ikitarajiwa kuanguka, siku moja tu baada ya mamia ya safari nyengine kufutwa. Msemaji wa uwanja huo amesema njia za ndege ziko wazi na theluji haianguki kwa sasa, lakini wanatarajia kiwango cha hadi sentimita tatu za theluji kuanguka...
 
Matukio ya Kisiasa | 20.12.2010 2010-12-20
Deutsche Welle Swahili
Wagombea wanne kati ya tisa ambao walishiriki katika uchaguzi mkuu wa rais uliofanyika jana nchini Belarus dhidi ya Rais Alexander Lukashenko wamekamatwa na polisi hii leo. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa wasaidizi wa wanasiasa hao. Miongoni mwa waliokamatwa ni Vladmir Neklyayev, ambaye alichukuliwa na polisi kutoka hospitalini alikokuwa amelazwa,...
 
Matukio muhimu | 19.12.2010 2010-12-19
Deutsche Welle Swahili
Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon,ujumbe wa UNOCI ulioko nchini humo, utaendelea kutimiza wajibu wake nchini Cote...
 
Matukio muhimu | 18.12.2010 2010-12-18
Deutsche Welle Swahili
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameionya serikali ya Ivory Coast dhidi ya kuuzuia Umoja wa Umoja wa Mataifa kufanya  kazi zake nchini humo....
 
Michezo | 17.12.2010 2010-12-17
Deutsche Welle Swahili
Katika ligi ya mabingwa timu 16 zitashuka dimbani kuwania tiketi ya robofainali, ambapo miongoni mwa mechi hizo ni ile kati ya Bayern Munich na mabingwa watetezi Inter Milan. Timu...
 
Matukio ya Kisiasa | 17.12.2010 2010-12-17
Deutsche Welle Swahili
Viongozi wa mataifa ya Umoja wa Ulaya wamekubaliana kuweka mkakati wa kudumu kuhakikisha kuna uimara kifedha kuanzia mwaka wa 2013. Viongozi wa mataifa 27 wamesema msisitizo wa mkakati wa Ujerumani wa kusitisha mzozo wa kiuchumi kwa muda mrefu, utakaoongezwa katika mkataba wa Lisbon unaotumiwa kuuongoza Umoja wa Ulaya, utafaa ikiwa utalenga...
 
Matukio muhimu | 17.12.2010 2010-12-17
Deutsche Welle Swahili
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeshtumu vikali ghasia zilizotokea nchini Cote d'Ivoire hapo jana kuhusiana na utata wa...
 
Matukio ya Kisiasa | 22.06.2010
Deutsche Welle Swahili 2010-06-22
Wakati huo huo, Waziri wa Misaada ya Maendeleo wa Ujerumani, Dirk Niebel ameunga mkono hatua hiyo mpya ya Israel, kuregeza vikwazo vyake dhidi ya Gaza. Lakini hatua hiyo ya serikali ya Israel kuregeza vikwazo vyake dhidi ya Ukanda wa Gaza imeshambuliwa na Tzipi Livni,waziri wa zamani wa mambo ya nje ambae hivi sasa ni kiongozi wa upinzani katika...
Matukio muhimu | 17.06.2010
Deutsche Welle Swahili 2010-06-17
Jerusalem. Mkutano wa baraza la mawaziri la Israel kuangalia ulegezaji wa nchi hiyo kuizingira Gaza, jana umemalizika bila...
Afghan delegates talk with each other outside the site of the Peace Jirga in Kabul, Afghanistan, Friday, June 4, 2010. Delegates to the Afghan peace conference voiced strong support Friday for negotiations between their government and the Taliban to try to end years of war.
Matukio ya Kisiasa | 04.06.2010
Deutsche Welle Swahili 2010-06-04
Takriban wajumbe 1,600, wanaowakilisha wanasiasa na viongozi wa kidini nchini Afghanistan wanahudhuria mkutano wa amani unaojulikana kama ''Jirga'' ulioanza siku ya Jumatano mjini Kabul, ambao wanasema kuwa mazungumzo na Wataliban ndio uamuzi mzuri na inawezekana kuwa nafasi ya mwisho ya kupatikana amani nchini humo. Kiongozi wa baraza la Ulemaa...
Matukio muhimu
Matukio muhimu | 01.05.2010
Deutsche Welle Swahili 2010-05-01
Washington Mafuta yanayovuja kutoka katika kisima kwenye eneo  la  ghuba ya Mexico yameanza kuenea hadi ufukweni  ...
Mahmoud Ahmadinejad Nowruz
Rais wa Iran aanza ziara rasmi nchini Zimbabwe
BBC News 2010-04-22
Ahmadinejad vile vile anatarajiwa kuzuru...
Raymond Odierno greets Barack Obama at Baghdad International Airport 4-7-09.JPG
Matukio ya Kisiasa | 15.04.2010
Deutsche Welle Swahili 2010-04-15
Mabalozi kutoka katika nchi tano wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa pamoja na Ujerumani walikutana katika makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York katika mkutano wao wa pili katika kipindi cha wiki, tangu China, ambayo inauhusiano wa karibu wa kiuchumi na Iran, kukubali kujiunga katika mazungumzo hayo. Wanadiplomasia...
Masuala ya Jamii
Masuala ya Jamii | 12.04.2010
Deutsche Welle Swahili 2010-04-12
Kufikia sasa ni miili 17 tu kati 96 ambayo imepatikana kutoka kwa vifusi vya ndege hiyo iliyoanguka Smolensk, Urusi.  Wachunguzi wa Urusi waliweza kuutambua mwili wa Bi Maria aliyekuwa mkewe rais Kaczynski wa Poland kutoka katika vifusi vya ndege ya Urusi iliyoanguka siku ya jumamosi. Wachunguzi...
Matukio muhimu | 10.04.2010
Matukio muhimu | 10.04.2010
Deutsche Welle Swahili 2010-04-10
Rais Lech Kaczynski wa Poland amekufa katika ajali ya ndege iliyotokea leo baada ya ndege yake kuanguka karibu na uwanja wa ndege wa Smolensk, Urusi. Maafisa wamesema kuwa abiria wote 132 waliokuwa ndani ya ndege hiyo...
Chelsea's Didier Drogba reacts after missing a chance at goal against Liverpool during their Champions League semifinal second leg soccer match at Liverpool's Anfield stadium in Liverpool England
Michezo | 05.04.2010
Deutsche Welle Swahili 2010-04-05
Bayern Munich, imerudi kileleni mwa Bundesliga, baada ya kuzima vishindo vya Schalke kwa mabao 2:1 Jumamosi. Chelsea, kwa bao la Coast ,Didier Drogba , iliizaba nayo manchester united pia kwa mabao 2:1. Simba ya Tanzania, yatamba katika Kombe la Shirikisho la dimba la Africa-Confederation Cup. Na Afrika Kusini, imeteleza katika maandalio yake ya...
President Barack Obama pauses before signing the Health Care and Education Reconciliation Act of 2010 at Northern Virginia Community College in Alexandria Tuesday, March 30, 2010.
Obama ataka mwafaka kuhusu Iran
BBC News 2010-03-31
Akiongea baada ya kufanya mashauriano na Rais wa...
`