Masuala ya Jamii | 22.09.20102010-09-22 Deutsche Welle Swahili Katika taarifa yake, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amesema, wanatambua nini kinachoweza kusaidia ili kuokoa maisha ya wanawake na watoto na kwamba wanafahamu kuwa wanawake na watoto ndio msingi wa malengo ya maendeleo ya milenia. Ban Ki Moon amekadiria kwamba mkakati wa dunia kwa afya ya wanawake na watoto utaokoa maisha ya watu...
Matukio muhimu | 17.09.20102010-09-17 Deutsche Welle Swahili Kulingana na hati hiyo iliyozinduliwa kwenye kikao cha kilele cha mataifa ya Kiarabu mjini Beirut,Israel itatambuliwa na mataifa yote ya Kiarabu endapo itaondoka kwenye maeneo iliyoyateka nyara mwaka 1967 wakati wa vita vya Mashariki ya Kati ikiwemo Jerusalem Mashariki. Kauli hizo zimetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton...
Matukio ya Kisiasa | 03.09.20102010-09-03 Deutsche Welle Swahili Duru ya kwanza ya mazungumzo mapya ya amani juu ya Mashariki ya kati imemalizika jana. Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Wapalestina , Mahmud Abbas, wamepanga kukutana tena kwa utaratibu wa kila baada ya wiki mbili. Wanakusudi kuleta ufumbuzi wa amani katika muda wa mwaka mmoja kutoka sasa.Matumaini ya...
Matukio ya Kisiasa | 09.08.20102010-08-09 Deutsche Welle Swahili Waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu ametoa utetezi wake mbele ya kamati maalumu, inayochunguza tuhuma za uvamizi wa meli za misaada,na kusisitiza kuwa uamuzi wa jeshi la nchi hiyo dhidi ya wanaharakati hao,ulikuwa ni sahihi. Katika utetezi wake mbele ya kamati hiyo iliyo chini ya Israel,Netanyahu pia ameilaumu Uturuki kwa kushindwa...
Matukio ya Kisiasa | 02.08.20102010-08-02 Deutsche Welle Swahili Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu amesema anatarajia kuwa mazungumzo ya amani ya moja kwa moja kati ya Israeli na Palestina yataanza kaitka kipindi cha wiki mbili zijazo. Wakati huo huo, Rais wa Israeli Shimon Peres jana alikutana na mwenzake wa Misri, Hosni Mubarak katika jitihada za kuyafufua mazungumzo hayo ya amani katika Mashariki ya...
Matukio ya Kisiasa | 29.07.20102010-07-29 Deutsche Welle Swahili Wakati Mawaziri wa mambo ya nchi za kigeni wa Jumuiya ya Kiarabu wanakutana leo mjini Cairo Misri,Rais wa mamlaka ya ndani ya Wapalestina Mahmoud Abbas amewasili jijini humo kuhudhuria mkutano wa kamati ya Jumuiya hiyo,ambayo inashughulikia mazungumzo baina ya Palestina na Israel,huku suala la kupatikana kwa amani hiyo likiwa bado ni...
Matukio ya Kisiasa | 06.07.20102010-07-06 Deutsche Welle Swahili Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anatarajiwa kukaribishwa vizuri safari hii, kinyume kabisa na ilivyokuwa wakati alipoitembelea Marekani mnamo mwezi Machi mwaka huu, wakati ambapo rais Obama hakuonyesha kuwa na haja ya kukutana naye kwa sababu ya mgogoro kuhusu kupanuliwa kwa makaazi ya walowezi wa Kiyahudi huko Jerusalem Mashariki. Rais...
Matukio ya Kisiasa | 22.06.20102010-06-22 Deutsche Welle Swahili Wakati huo huo, Waziri wa Misaada ya Maendeleo wa Ujerumani, Dirk Niebel ameunga mkono hatua hiyo mpya ya Israel, kuregeza vikwazo vyake dhidi ya Gaza. Lakini hatua hiyo ya serikali ya Israel kuregeza vikwazo vyake dhidi ya Ukanda wa Gaza imeshambuliwa na Tzipi Livni,waziri wa zamani wa mambo ya nje ambae hivi sasa ni kiongozi wa upinzani katika...
Matukio ya Kisiasa | 04.06.20102010-06-04 Deutsche Welle Swahili Takriban wajumbe 1,600, wanaowakilisha wanasiasa na viongozi wa kidini nchini Afghanistan wanahudhuria mkutano wa amani unaojulikana kama ''Jirga'' ulioanza siku ya Jumatano mjini Kabul, ambao wanasema kuwa mazungumzo na Wataliban ndio uamuzi mzuri na inawezekana kuwa nafasi ya mwisho ya kupatikana amani nchini humo. Kiongozi wa baraza la Ulemaa...
Matukio muhimu | 20.11.20102010-11-20 Deutsche Welle Swahili Viongozi wa jumuiya ya kujihami ya NATO, wameidhinisha mkakati mpya kwa miaka kumi ijayo kuruhusu muungano huo wa kijeshi kukabiliana na vitisho vipya vya kigaidi, ikiwemo mashambulio katika mtandao wa...
Matukio ya Kisiasa | 19.11.20102010-11-19 Deutsche Welle Swahili Jasho. Machozi. Hasira. Mchanganyiko wa hamasa na hali ya kuvunjika moyo ndizo sentesi zinazosomeka kwenye nyuso za vijana wa Kihaiti. Hawamuamini yeyote, hawatarajii chochote. Hawana matumaini hata kwa chombo kikumbwa cha kimataifa, Umoja wa Mataifa, ambao kikosi chake cha MINUSTAH kimekuwapo hapa miaka nenda miaka rudi kulinda usalama. Sasa...
Masuala ya Jamii | 18.11.20102010-11-18 Deutsche Welle Swahili Migomo imekithiri nchini Haiti na raia wa kisiwa hicho wanaendelea kuwashambulia wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa wanaolaumiwa kwa kusababisha kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu. Mtu mmoja alifariki baada ya kupigwa risasi na wengine walijeruhiwa kaskazini mwa kisiwa cha Haiti ambapo maafisa wa afya wanadai mkurupuko wa kipindupindu...
Matukio muhimu | 18.11.20102010-11-18 Deutsche Welle Swahili Waziri wa ndani wa Ujerumani Thomas De Maiziere ameonya kwamba maafisa wa usalama wana ushahidi mpya na wa kuaminika kwamba wanamgambo wa...
Masuala ya Jamii | 17.11.20102010-11-17 Deutsche Welle Swahili Ufahamu walionao watu wengi kuhusu Afrika unatokana na kile wanachokiona, kukisoma na au kukisikia kupitia vyombo vya habari, ambavyo navyo mara nyingi huzungumzia yale mabaya tu ya Bara la Afrika, maana kwa wanahabari, taarifa mbaya ndiyo habari. Vita, njaa, uvunjaji wa haki za binaadamu na tawala za kimabavu ndiyo habari za kawaida. Kutoka...
Matukio ya Kisiasa | 17.11.20102010-11-17 Deutsche Welle Swahili Ulaya na shirika la fedha duniani, IMF, zimetangaza nia ya kuzindua mikakati ya dharura ya kifedha kuikwamua sekta ya mabenki ya Ireland ambayo yanakumbwa na mzozo. Hata hivyo, taifa hilo mwanachama wa Jumuiya ya Ulaya halijakubali wazi wazi kwamba linakumbwa na kitisho cha kufilisika. Kuwasili kwa wataalam nchini Ireland kutoka tume ya...
Michezo | 16.11.20102010-11-16 Deutsche Welle Swahili Ujerumani iko mjini Gothenburg kuumana na Sweden. Joachim Loew ambaye aliongoza kikosi cha vijana wadogo kabisa katika fainali za dunia huko Afrika Kusini,ambacho Ujerumani haijawahi kuwa nacho, hii leo anategemewa kuteremsha dimbani kikosi cha chipukizi zaidi. Loew amewaita katika kikosi chake kwa mara ya kwanza Marcel Schmelzer, mwenye umri wa...
Matukio ya Kisiasa | 16.11.20102010-11-16 Deutsche Welle Swahili Kiongozi mkongwe wa upinzani nchini Guinea, Alpha Conde, ametangazwa mshindi wa duru ya pili ya uchaguzi wa rais iliyofanyika Novemba 7 mwaka huu nchini humo. Tume huru ya kitaifa ya uchaguzi nchini Guinea hapo jana imetangaza kwamba Alpha Conde mwenye umri wa miaka 72 ameshinda asilimia 52.52 ya kura dhidi ya mpinzani wake waziri mkuu wa zamani,...
Michezo | 15.11.20102010-11-15 Deutsche Welle Swahili Dortmund mwishoni mwa wiki iliichapa timu ngumu ya Hamburg mabao 2-0, yaliyowekwa wavuni na Mjapan Shinji Kagawa na Lucas Barrios na hivyo kuifanya ifikishe pointi 31. Bildunterschrift: Großansicht des Bildes mit der Bildunterschrift: Mario Gomez wa Bayern MunichNaye Mario Gomez aliendelea kuwathibitishia washabiki wa...
Matukio ya Kisiasa | 15.11.20102010-11-15 Deutsche Welle Swahili Kiongozi wa upinzani Aung San Suu Kyi anaeunga mkono demokrasia nchini Myanmar ametoa hotuba yake kuu ya kwanza, siku moja tu baada ya kuachiliwa huru.Katika hotuba yake hiyo siku ya jumapili, aliwahimiza maelfu ya wafuasi wake kugombea demokrasia na haki zao. Je,kwa umbali gani mshindi huyo wa Tuzo ya Amani ya Nobel ni kitisho kwa utawala wa...
Matukio muhimu | 15.11.20102010-11-15 Deutsche Welle Swahili Rais wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy ametangaza baraza jipya la mawaziri huku akimchagua tena, Francois Fillon, kuwa waziri mkuu. Waziri wa...
Matukio muhimu | 14.11.20102010-11-14 Deutsche Welle Swahili Serikali ya kijeshi ya Myanmarr imemuachilia huru kiongozi anayeunga mkono demokrasia, Aung San Suu Kyi aliyekuwa katika kifungo cha nyumbani....
Matukio ya Kisiasa | 15.04.2010 Deutsche Welle Swahili2010-04-15 Mabalozi kutoka katika nchi tano wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa pamoja na Ujerumani walikutana katika makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York katika mkutano wao wa pili katika kipindi cha wiki, tangu China, ambayo inauhusiano wa karibu wa kiuchumi na Iran, kukubali kujiunga katika mazungumzo hayo. Wanadiplomasia...
Masuala ya Jamii | 12.04.2010 Deutsche Welle Swahili2010-04-12 Kufikia sasa ni miili 17 tu kati 96 ambayo imepatikana kutoka kwa vifusi vya ndege hiyo iliyoanguka Smolensk, Urusi. Wachunguzi wa Urusi waliweza kuutambua mwili wa Bi Maria aliyekuwa mkewe rais Kaczynski wa Poland kutoka katika vifusi vya ndege ya Urusi iliyoanguka siku ya jumamosi. Wachunguzi...
Matukio muhimu | 10.04.2010 Deutsche Welle Swahili2010-04-10 Rais Lech Kaczynski wa Poland amekufa katika ajali ya ndege iliyotokea leo baada ya ndege yake kuanguka karibu na uwanja wa ndege wa Smolensk, Urusi. Maafisa wamesema kuwa abiria wote 132 waliokuwa ndani ya ndege hiyo...
Michezo | 05.04.2010 Deutsche Welle Swahili2010-04-05 Bayern Munich, imerudi kileleni mwa Bundesliga, baada ya kuzima vishindo vya Schalke kwa mabao 2:1 Jumamosi. Chelsea, kwa bao la Coast ,Didier Drogba , iliizaba nayo manchester united pia kwa mabao 2:1. Simba ya Tanzania, yatamba katika Kombe la Shirikisho la dimba la Africa-Confederation Cup. Na Afrika Kusini, imeteleza katika maandalio yake ya...
Matukio muhimu | 30.03.2010 Deutsche Welle Swahili2010-03-30 Raia mjini Moscow leo w siku maalum wanaomboleza vifo vya watu waliouwawa baada ya miripuko kwenye treni jana asubuhi. Wasafiri wameanza tena kutumia treni ingawa katika hali ya uoga. Taarifa zinasema sasa idadi ya watu waliouawa imefikia 39 baada ya mtu mwingine kufariki wakati akitibiwa hospitalini. Bendera mjini Moscow zinapepea nusu mlingoti na...