Masuala ya Jamii | 22.09.20102010-09-22 Deutsche Welle Swahili Katika taarifa yake, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amesema, wanatambua nini kinachoweza kusaidia ili kuokoa maisha ya wanawake na watoto na kwamba wanafahamu kuwa wanawake na watoto ndio msingi wa malengo ya maendeleo ya milenia. Ban Ki Moon amekadiria kwamba mkakati wa dunia kwa afya ya wanawake na watoto utaokoa maisha ya watu...
Matukio muhimu | 17.09.20102010-09-17 Deutsche Welle Swahili Kulingana na hati hiyo iliyozinduliwa kwenye kikao cha kilele cha mataifa ya Kiarabu mjini Beirut,Israel itatambuliwa na mataifa yote ya Kiarabu endapo itaondoka kwenye maeneo iliyoyateka nyara mwaka 1967 wakati wa vita vya Mashariki ya Kati ikiwemo Jerusalem Mashariki. Kauli hizo zimetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton...
Matukio ya Kisiasa | 03.09.20102010-09-03 Deutsche Welle Swahili Duru ya kwanza ya mazungumzo mapya ya amani juu ya Mashariki ya kati imemalizika jana. Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, na Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Wapalestina , Mahmud Abbas, wamepanga kukutana tena kwa utaratibu wa kila baada ya wiki mbili. Wanakusudi kuleta ufumbuzi wa amani katika muda wa mwaka mmoja kutoka sasa.Matumaini ya...
Matukio ya Kisiasa | 09.08.20102010-08-09 Deutsche Welle Swahili Waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu ametoa utetezi wake mbele ya kamati maalumu, inayochunguza tuhuma za uvamizi wa meli za misaada,na kusisitiza kuwa uamuzi wa jeshi la nchi hiyo dhidi ya wanaharakati hao,ulikuwa ni sahihi. Katika utetezi wake mbele ya kamati hiyo iliyo chini ya Israel,Netanyahu pia ameilaumu Uturuki kwa kushindwa...
Matukio ya Kisiasa | 02.08.20102010-08-02 Deutsche Welle Swahili Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu amesema anatarajia kuwa mazungumzo ya amani ya moja kwa moja kati ya Israeli na Palestina yataanza kaitka kipindi cha wiki mbili zijazo. Wakati huo huo, Rais wa Israeli Shimon Peres jana alikutana na mwenzake wa Misri, Hosni Mubarak katika jitihada za kuyafufua mazungumzo hayo ya amani katika Mashariki ya...
Matukio ya Kisiasa | 29.07.20102010-07-29 Deutsche Welle Swahili Wakati Mawaziri wa mambo ya nchi za kigeni wa Jumuiya ya Kiarabu wanakutana leo mjini Cairo Misri,Rais wa mamlaka ya ndani ya Wapalestina Mahmoud Abbas amewasili jijini humo kuhudhuria mkutano wa kamati ya Jumuiya hiyo,ambayo inashughulikia mazungumzo baina ya Palestina na Israel,huku suala la kupatikana kwa amani hiyo likiwa bado ni...
Matukio ya Kisiasa | 06.07.20102010-07-06 Deutsche Welle Swahili Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anatarajiwa kukaribishwa vizuri safari hii, kinyume kabisa na ilivyokuwa wakati alipoitembelea Marekani mnamo mwezi Machi mwaka huu, wakati ambapo rais Obama hakuonyesha kuwa na haja ya kukutana naye kwa sababu ya mgogoro kuhusu kupanuliwa kwa makaazi ya walowezi wa Kiyahudi huko Jerusalem Mashariki. Rais...
Matukio ya Kisiasa | 22.06.20102010-06-22 Deutsche Welle Swahili Wakati huo huo, Waziri wa Misaada ya Maendeleo wa Ujerumani, Dirk Niebel ameunga mkono hatua hiyo mpya ya Israel, kuregeza vikwazo vyake dhidi ya Gaza. Lakini hatua hiyo ya serikali ya Israel kuregeza vikwazo vyake dhidi ya Ukanda wa Gaza imeshambuliwa na Tzipi Livni,waziri wa zamani wa mambo ya nje ambae hivi sasa ni kiongozi wa upinzani katika...
Matukio ya Kisiasa | 04.06.20102010-06-04 Deutsche Welle Swahili Takriban wajumbe 1,600, wanaowakilisha wanasiasa na viongozi wa kidini nchini Afghanistan wanahudhuria mkutano wa amani unaojulikana kama ''Jirga'' ulioanza siku ya Jumatano mjini Kabul, ambao wanasema kuwa mazungumzo na Wataliban ndio uamuzi mzuri na inawezekana kuwa nafasi ya mwisho ya kupatikana amani nchini humo. Kiongozi wa baraza la Ulemaa...
Magazetini | 26.10.20102010-10-26 Deutsche Welle Swahili Wahariri wa magazeti ya Ujerumani leo wanazungumzia juu ya mwaka mmoja tokea kuundwa serikali ya mseto hapa nchini na juu ya mkataba wa Umoja wa Ulaya wa kuhakikisha nidhamu katika bajeti za nchi za Umoja huo. Naam leo unatimia mwaka mmoja tokea vyama vya CDU,FDP na CSU vilipotia saini mkataba wa serikali...
Masuala ya Jamii | 26.10.20102010-10-26 Deutsche Welle Swahili Denmark na Singapore ni kati ya mataifa yenye visa vichache kabisa vya ufisadi duniani, ilhali Afghanistan na Iraq ndiyo yanazongwa na rushwa kwa kiwango cha juu. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya kila mwaka iliyotolewa leo na shirika la kutathmini viwango vya ufisadi duniani, Transparency International. Kulingana na ripoti...
Matukio ya Kisiasa | 26.10.20102010-10-26 Deutsche Welle Swahili Akizungumza katika baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa Alain LeRoy amesema wanapanga kuhamisha vikosi kutoka maeneo mengine ya Sudan na kuvipeleka katika eneo hilo la mpaka, huku akitoa wito pia wa jeshi hilo kuongezewa nguvu kimataifa. Ameyasema hayo wakati wa kujadili uwezekano wa kuimarisha usalama katika kipindi hiki cha kuelekea katika kura...
Michezo | 25.10.20102010-10-25 Deutsche Welle Swahili Mashabiki saba walikufa baada ya kukanyagwa na umati wa watu walikokuwa wanajaribu kuingia katika uwanja wa Nyayo kushuhudia mechi kati ya Gor Mahia na AFC Leopards. Katika Bundesliga shoka lamuangukia kocha wa FC Cologne baada ya timu hii kuendelea kujipata pabayani na Claudio Pizzaro aipiku rekodi ya Giovane Elber ya raia wa kigeni kwa kutia...
Magazetini | 25.10.20102010-10-25 Deutsche Welle Swahili Tuanzie lakini mjini Berlin ambako jungu la serikali ya muungano wa vyama vya CDU/CSU na waliberali wa FDP linatokota.Chanzo, linaandika gazeti la "Südkurier Konstanz", ni : Ahadi alizotoa kansela Angela Merkel nchini Ufaransa bila ya kukubaliana na waziri wa mambo ya nchi za nje.FDP wanalalamika-na si bure.Kansela alibidi atilie maanani...
Matukio ya Kisiasa | 25.10.20102010-10-25 Deutsche Welle Swahili * Kura inatarajiwa kupigwa Januari 9 * Sudan ya Kusini yaanza kutafuta wimbo wa taifa * Waasi wa Darfur kurudi kwenye mazungumzo Sasa kuna dalili kwamba ule mkwamo wa kura ya maoni ya Sudan ya Kusini unakwamuka. Kwa mujibu wa afisa wa Kamisheni inayoratibu kura hiyo, Jamal Mohammed Ibrahim, hapo jana (24 Oktoba 2010) wachapishaji wa Afrika ya...
Masuala ya Jamii | 25.10.20102010-10-25 Deutsche Welle Swahili Mkurugenzi Mkuu katika wizara ya afya nchini Haiti, Gabriel Thimote amesema kuwa idadi mpya ya watu waliokufa kutokana na ugonjwa wa kipindupindu imefikia 253 na wengine 3,115 wameambukizwa ugonjwa huo. Idadi hiyo inaonekana kuongeza vifo 33 zaidi katika kipindi cha saa 24. Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Haiti, Marie-Michele Rey amewaambia...
Matukio muhimu | 23.10.20102010-10-23 Deutsche Welle Swahili Licha ya kuwepo migomo, maandamano na kuzuiliwa kwa mafuta nchini Ufaransa katika kupinga mswada wenye mzozo wa mageuzi ya pensheni, wa rais Nicolas Sarkozy, hapo jana Baraza la Senate nchini humo...
Matukio ya Kisiasa | 22.10.20102010-10-22 Deutsche Welle Swahili Migomo na maandamano bado yanaendelea kutokota nchini Ufaransa huku vyama vya wafanyakazi vikiapa kutolegeza kamba. Maafisa wa polisi nchini Ufaransa mapema leo walipambana kuondoa vizuizi vilivyowekwa kuziba barabara ya kuelekea katika kiwanda kikuu cha kusafishia mafuta yanayosambazwa katika mji wa Paris. Serikali imetoa amri ya dharura kuwataka...
Michezo | 22.10.20102010-10-22 Deutsche Welle Swahili Kandanda. Katika michuano ya ligi ya Europa jana Alhamis , viongozi wa ligi ya Ujerumani Bundesliga, Borussia Dortmund ilikubali goli la dakika ya mwisho la kusawazisha dhidi ya Paris St Germain na kutoka sare ya bao 1-1. Klabu ya Stuttgart ambayo iko mkiani mwa Bundesliga hadi sasa msimu huu ilipata ushindi...
Matukio muhimu | 22.10.20102010-10-22 Deutsche Welle Swahili Paris. Vyama sita vikuu vya wafanyakazi nchini Ufaransa vimetoa wito kwa wapinzani wa mageuzi ya mpango wa pensheni kufanya maandamano makubwa kwa muda wa siku mbili zaidi katika wiki zinazokuja licha ya...
Magazetini | 21.10.20102010-10-21 Deutsche Welle Swahili Hatua za kufunga mkaja za serikali ya Uingereza,maandamano nchini Ufaransa na matumaini mema ya kiuchumi yanayochomoza nchini Ujerumani ni miongoni mwa mada zilizochambuliwa zaidi na wahariri wa magazeti ya Ujerumani hii leo. Tuanzie lakini Uingereza ambako serikali mpya ya muungano wa wahafidhina na mrengo wa kati imetangaza hatua kali za...
Matukio ya Kisiasa | 21.10.20102010-10-21 Deutsche Welle Swahili Jambo moja liko wazi: Somalia inahitaji msaada wa hali na mali, kisiasa na kiusalama, kuikwamua kwenye miongo miwili ya maangamizi. Huo ndio ujumbe unaoungwa mkono na Umoja wa Afrika na Marekani katika mpango wa kuongeza wanajeshi wa kulinda amani katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika iliyozongwa na machafuko. Lakini kisicho wazi ni namna gani msaada...
Michezo | 21.10.20102010-10-21 Deutsche Welle Swahili Samuel Eto'o alifumania nyavu mara mbili katika ushindi wa mabao 4-3 kwa mabingwa watetezi wa ligi ya mabingwa barani Ulaya Inter Milan baada ya kuhimili vishindo vya Tottenham Hotspur ...
Masuala ya Jamii | 20.10.20102010-10-20 Deutsche Welle Swahili Mkutano huu unaohudhuriwa na kiasi washiriki 500 kutoka kote ulimwenguni, umeitishwa na Idara ya Kupambana na Uhalifu ya Shirikisho la Ujerumani, BKA, kuangalia chanzo, maendeleo na mikakati ya kupambana na uhalifu huo. Katika hotuba yake ya makaribisho hapo jana (19 Oktoba 2010), Rais wa BKA Jörg Ziercke alisema kwamba, takwimu za uhalifu wa...
Matukio ya Kisiasa | 15.04.2010 Deutsche Welle Swahili2010-04-15 Mabalozi kutoka katika nchi tano wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa pamoja na Ujerumani walikutana katika makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York katika mkutano wao wa pili katika kipindi cha wiki, tangu China, ambayo inauhusiano wa karibu wa kiuchumi na Iran, kukubali kujiunga katika mazungumzo hayo. Wanadiplomasia...
Masuala ya Jamii | 12.04.2010 Deutsche Welle Swahili2010-04-12 Kufikia sasa ni miili 17 tu kati 96 ambayo imepatikana kutoka kwa vifusi vya ndege hiyo iliyoanguka Smolensk, Urusi. Wachunguzi wa Urusi waliweza kuutambua mwili wa Bi Maria aliyekuwa mkewe rais Kaczynski wa Poland kutoka katika vifusi vya ndege ya Urusi iliyoanguka siku ya jumamosi. Wachunguzi...
Matukio muhimu | 10.04.2010 Deutsche Welle Swahili2010-04-10 Rais Lech Kaczynski wa Poland amekufa katika ajali ya ndege iliyotokea leo baada ya ndege yake kuanguka karibu na uwanja wa ndege wa Smolensk, Urusi. Maafisa wamesema kuwa abiria wote 132 waliokuwa ndani ya ndege hiyo...
Michezo | 05.04.2010 Deutsche Welle Swahili2010-04-05 Bayern Munich, imerudi kileleni mwa Bundesliga, baada ya kuzima vishindo vya Schalke kwa mabao 2:1 Jumamosi. Chelsea, kwa bao la Coast ,Didier Drogba , iliizaba nayo manchester united pia kwa mabao 2:1. Simba ya Tanzania, yatamba katika Kombe la Shirikisho la dimba la Africa-Confederation Cup. Na Afrika Kusini, imeteleza katika maandalio yake ya...
Matukio muhimu | 30.03.2010 Deutsche Welle Swahili2010-03-30 Raia mjini Moscow leo w siku maalum wanaomboleza vifo vya watu waliouwawa baada ya miripuko kwenye treni jana asubuhi. Wasafiri wameanza tena kutumia treni ingawa katika hali ya uoga. Taarifa zinasema sasa idadi ya watu waliouawa imefikia 39 baada ya mtu mwingine kufariki wakati akitibiwa hospitalini. Bendera mjini Moscow zinapepea nusu mlingoti na...