Matukio ya Kisiasa | 15.04.20102010-04-15 Deutsche Welle Swahili Mabalozi kutoka katika nchi tano wanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa pamoja na Ujerumani walikutana katika makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York katika mkutano wao wa pili katika kipindi cha wiki, tangu China, ambayo inauhusiano wa karibu wa kiuchumi na Iran, kukubali kujiunga katika mazungumzo hayo. Wanadiplomasia...
Masuala ya Jamii | 12.04.20102010-04-12 Deutsche Welle Swahili Kufikia sasa ni miili 17 tu kati 96 ambayo imepatikana kutoka kwa vifusi vya ndege hiyo iliyoanguka Smolensk, Urusi. Wachunguzi wa Urusi waliweza kuutambua mwili wa Bi Maria aliyekuwa mkewe rais Kaczynski wa Poland kutoka katika vifusi vya ndege ya Urusi iliyoanguka siku ya jumamosi. Wachunguzi...
Matukio muhimu | 10.04.20102010-04-10 Deutsche Welle Swahili Rais Lech Kaczynski wa Poland amekufa katika ajali ya ndege iliyotokea leo baada ya ndege yake kuanguka karibu na uwanja wa ndege wa Smolensk, Urusi. Maafisa wamesema kuwa abiria wote 132 waliokuwa ndani ya ndege hiyo...
Michezo | 05.04.20102010-04-05 Deutsche Welle Swahili Bayern Munich, imerudi kileleni mwa Bundesliga, baada ya kuzima vishindo vya Schalke kwa mabao 2:1 Jumamosi. Chelsea, kwa bao la Coast ,Didier Drogba , iliizaba nayo manchester united pia kwa mabao 2:1. Simba ya Tanzania, yatamba katika Kombe la Shirikisho la dimba la Africa-Confederation Cup. Na Afrika Kusini, imeteleza katika maandalio yake ya...
Matukio ya Kisiasa | 24.03.20102010-03-24 Deutsche Welle Swahili Uingereza imemfukuza afisa katika ubalozi wa Israel nchini humo kutokana na kile kilichotajwa kama matumizi mabaya ya pasi za usafiri za Uingereza yasiyoweza kuvumiliwa, katika mauaji ya kamanda wa kundi la Hamas mjini Dubai. Haya yanajiri wakati kuna hali ya wasiwasi kuhusu kashfa ya mauaji hayo. Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza David Milliband...
Matukio muhimu | 29.05.20102010-05-29 Deutsche Welle Swahili Rais Barack Obama amefurahishwa na makubaliano yaliyoafikiwa katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa, kuhusiana na mkataba wa kuzuia kusambaa kwa...
Michezo | 28.05.20102010-05-28 Deutsche Welle Swahili Ufaransa imewapiku Italia na Uturuki baada ya kutangazwa kuwa mwandalizi rasmi wa michuano ya kuwania kombe la Mabingwa Barani Ulaya mwaka 2016. Ufaransa ilijinyakulia nafasi hiyo kufuatia uamuzi uliofikiwa na wanakamati wakuu wa UEFA mjini Geneva hii leo na kutangazwa na rais wa shirika hilo, Michel Platini, ambaye pia aliwahi kuiongoza Ufaransa...
Matukio ya Kisiasa | 28.05.20102010-05-28 Deutsche Welle Swahili Bado haijulikani iwapo hatua za kampuni la mafuta la BP ilizochukua kuzuwia kuvuja kwa mafuta kutoka bomba lake la chini ya bahari huko Ghuba la Mexico, limefaulu. Kwa kumwaika mamilioni ya lita za mafuta baharini ,Rais Barack Obama, anaezuru leo eneo hilo kujionea kwa macho yake uchafuzi wa mazingira ,anajikuta katika shinikizo kubwa....
Matukio ya Kisiasa | 27.05.20102010-05-27 Deutsche Welle Swahili Katika siku ya mwisho ya ziara yake ya Ghuba la waarabu, Kanzela Angela Merkel wa Ujerumani, amearifu leo huko Doha, Qatar,kwamba, Ujerumani , inapaswa kuhakikisha kwamba, haikosi kuzitumia fursa za kibiashara katika Ghuba na hasa kutokana na kukua kwa nguvu za uchumi za eneo hilo. Kanzela Merkel, ameitisha pia kuharakishwa kukamilishwa ufumbuzi wa...
Masuala ya Jamii | 27.05.20102010-05-27 Deutsche Welle Swahili Kwenye ripoti ya mwaka 2010 kuhusu hali ya haki za binadamu ulimwenguni shirika la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, lenye makao yake makuu mjini London Uingereza, limeueleza waranti wa mahakama ya ICC wa mwaka 2009 wa kukamatwa rais wa Sudan Omar al Bashir kujibu mashtaka ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu, kuwa tukio...
Masuala ya Jamii | 26.05.20102010-05-26 Deutsche Welle Swahili Shirika la Ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo, OECD, limesema katika ripoti yake kwamba ustawi wa uchumi katika nchi za ukanda wa sarafu ya Euro utafikia asilimia 1.2 mnamo mwaka huu, tofauti na utabiri wa hapo awali. Hata hivyo, shirika hilo limezitaka nchi za ukanda huo zikabiliane na matatizo ya bajeti...
Matukio muhimu | 26.05.20102010-05-26 Deutsche Welle Swahili Katika mvutano kati ya Korea mbili-Kusini na kaskazini, Korea ya kaskazini imetishia kukifunga kiungo cha mwisho cha barabara kati ya nchi hizo mbili zilizogawika.Korea ya Kaskazini imetishia kufanya hivyo iwapo Korea ya Kusini, ikiendelea na kile ilichokiita "chokochoko zake za matangazo ya Radio " yanayohanikiza upande wapili wa eneo la mpakani...
Matukio ya Kisiasa | 26.05.20102010-05-26 Deutsche Welle Swahili Kansela wa Ujerumani Angela Merkel pamoja na ujumbe wa wafanyabiashara wa Ujerumani aliandaliwa dhifa ya kitaifa na mwenyeji wake mfamle Abdullah wa SaudiArabia, mwanamfalme Sultan bin Abdul Aziz na maafisa wengine wa ngazi ya juu katika mji wa bandari wa Jeddah jana jioni. Hapo kabla, Bi Merkel alikitembelea chuo kipya cha sayansi na teknolojia...
Matukio ya Kisiasa | 25.05.20102010-05-25 Deutsche Welle Swahili Bi Merkel ameahidi kwamba Ujerumani iko tayari kufadhili miradi ya nishati inayoweza kutumiwa tena na tena katika Falme za Kiarabu. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel aliwasili jana Abu Dhabi na kusaini bila kuchelewa mikataba kadhaa ukiwemo mkataba wa ushirikiano katika sekta ya nishati. Bi Merkel alikutana na mwanamfalme wa Abu Dhabi, Sheikh...
Michezo | 24.05.20102010-05-24 Deutsche Welle Swahili Ushindi wa mabao 2:0 wa Inter Milan dhidi ya Bayern Munich,Jumamosi ilioipatia katika Kombe la champions League, mjini Madrid, utakubumkwa kwa mabao 2 maridadi ya muargentina Diego Milito na kocha wa Argentina, Diego Maradona adai ndio maana akamchagua katika kikosi chake cha Kombe lijalo la dunia. -Bayern, ikiklubali iilizidiwa nguvu na Inter na...
Matukio muhimu | 24.05.20102010-05-24 Deutsche Welle Swahili Kiongozi wa muungano wa upinzani nchini Ethiopia wa Medrek, Merara Gudina, ameyaelezea matukio kadhaa yanayohusishwa na udanganyifu wakati wa zoezi hilo la upigaji kura katika mji wa kusini wa Oromiya ambao ndio ngome kuu za upinzani pamoja na mji wa Ambo. Amesema haukuonesha kama ni uchaguzi, hata kwa viwango vya Afrika na kwamba hakuna sheria...
Matukio ya Kisiasa | 24.05.20102010-05-24 Deutsche Welle Swahili Siku ya mwisho ya ziara yake hapo jana, bwana Westerwelle alikutana na rais wa Syria, Bashar al Assad, mjini Damascus na kuitaka Syria iunge mkono mazungumzo kati ya Israel na Wapalestina ili ipatiwe msaada wa kiuchumi. Waziri wa mashauri ya kigeni wa Ujerumani, Guido Westerwelle, amesema mchakato wa kutafuta amani ya Mashariki ya kati sio tu swala...
Matukio muhimu | 22.05.20102010-05-22 Deutsche Welle Swahili Ni ushidini ambapo umezidi kumyanyua katika chati kocha wa timu hiyo mreno Jose Morinhno.Hii ni mara ya pili kwa Morinho kushinda ubingwa upingwa huo mara ya kwanza akiwa na FC Porto ya Ureno, kabla...
Matukio muhimu | 21.05.20102010-05-21 Deutsche Welle Swahili Wabunge waliupitisha muswada huo kama njia ya kuyadhibiti matumizi ya fedha ya ziada yanayolaumiwa kusababisha mzozo wa kiuchumi wa mwaka 2008. Kiongozi wa Wademocrat wenye wingi katika baraza la Seneti, Harry Reid alisema kwa soko la hisa, hatua hiyo inamaanisha kwamba halitoweza tena kucheza kamari kwa kutumia fedha za umma. Muswada...
Michezo | 21.05.20102010-05-21 Deutsche Welle Swahili Ushindi huo unakuja mnamo wakati ambapo macho na masikio ya mashabiki wa kabumbu duniani, kesho yakielekezwa huko huko Uhispania, katika fainali ya ligi ya mabingwa kwa wanaume kati ya Bayern Munich ya Ujerumani na Inter Milan ya Italia. Mashabiki nchini Ujerumani wakiungwa mkono na kocha wa Portsdam wanasema ushindi wa kinadada hao wa kijerumani...
Matukio ya Kisiasa | 21.05.20102010-05-21 Deutsche Welle Swahili Mkutano huo, unafanywa mjini Istanbul Uturuki kuanzia leo tarehe 21 -hadi 23 Mei kutafuta njia ya kuisaidia Somalia ambayo tangu takriban miaka ishirini iliyopita,inajikuta katika vita vya wenyewe kwa wenyewe. Serikali ya mpito ya Rais Sheikh Sharif Sheikh Ahmed inaungwa mkono na jumuiya ya kimataifa lakini nyumbani haina ushawishi mkubwa...
Matukio ya Kisiasa | 20.05.20102010-05-20 Deutsche Welle Swahili Taifa dogo la Afrika ya kati la Burundi leo linaanza mlolongo mrefu wa uchaguzi ambamo mahasimu wa zamani katika vita vya wenyewe kwa wenyewe watahitaji kuthibitisha kuwa wanaweza ...
Matukio muhimu | 20.05.20102010-05-20 Deutsche Welle Swahili Wachunguzi wa kimataifa wamesema kuwa kombora hilo liliizamisha meli hiyo ya Korea Kusini iitwayo Cheonan March 26 mwaka huu, na kusema mabaki ya kombora hilo yalidhibitisha kuwa lilitoka Korea Kaskazini.Mbali ya kuawa kwa wanamaji 46,...
Matukio muhimu | 19.03.2010 Deutsche Welle Swahili2010-03-19 Wanadiplomasia hao wa Umoja wa Mataifa, Marekani, Umoja wa Ulaya na Urusi wanaendelea na mkutano wao mjini Moscow,Urusi, ulio na azma ya kuishinikiza Israel hasa baada ya kutangaza kuwa itaanza ujenzi wa makazi mengine 1600 ya walowezi wa Kiyahudi katika eneo la Jerusalem mashariki lililo na Waarabu wengi. Katika mkutano na waandishi wa habari,...
Matukio muhimu | 16.03.2010 Deutsche Welle Swahili2010-03-16 Maalfu ya wapalestina, wameandamana hii leo katika mitaa ya Mwambao wa Gaza siku ya "Ghadhabu" iliotangazwa na chama cha HAMAS ili kulalamika dhidi ya kufufuliwa kwa Synagogi (msikiti wa wayahudi) lililojengwa karne ya 17 mjini Jeruselem.Wapalestina kadhaa walipambana na polisi wa Israel. Waziri-mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu jana...
Matukio muhimu | 15.03.2010 Deutsche Welle Swahili2010-03-15 Nia ni kushinikiza matakwa yao ya kuitisha uchaguzi. Waandamanaji hao waliovalia fulana nyekundu na ambao wanamuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani, Thaksin Shinawatra, wameipa masharti serikali kulivunja bunge la nchi hiyo na kuitisha uchaguzi, ifikapo mchana wa leo. Ama sivyo kukabiliwa na maandamano makubwa, kama anavyoelezea zaidi kiongozi wao,...
Matukio muhimu | 11.03.2010 Deutsche Welle Swahili2010-03-11 Wapalestina wametamka hayo baada ya Jumuiya ya Nchi za Kiarabu hapo awali kuamua hivyo hivyo. Wakati huo huo Israel inazidi kushinikizwa na jumuiya ya kimataifa kuhusu mradi wa ujenzi wa makaazi ya Wayahudi uliotangazwa wakati wa ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani Joe Biden katika Mashariki ya Kati, katika jitahada ya kufufua majadiliano ya amani...
Israel na Palestina zaanza mazungumzo Deutsche Welle Swahili2010-03-09 Kufanyika kwa mazungumzo hayo kulitangazwa na Marekani, kunakuja mnamo wakati ambapo Makamu wa Rais wa Marekani Joe Biden leo akiwa katika siku yake ya pili ya kuzuru Israel. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Philip Crowley amethibitisha kuanza kwa mazungumzo hayo chini ya upatanishi wa mjumbe maalum wa nchi hiyo huko Mashariki ya Kati...
Waziri Mkuu wa Uingereza atetea jukumu lake katika vita vya Irak 2003 Deutsche Welle Swahili2010-03-05 Ameliambia jopo maalum linalochunguza juu ya kuhusika kwa Uingereza katika vita hivyo kwamba ulikuwa ni uamuzi mzuri wa kuchukua hatua hiyo. Aidha kiongozi huyo wa Uingereza, ambaye wakati huo alikuwa ni waziri wa fedha, amekanusha madai kwamba alizuia utoaji fedha kwa wanajeshi wa Uingereza waliokuwa vitani nchini Iraq. Waziri mkuu wa Uingereza...
Uchaguzi waanza Iraq Deutsche Welle Swahili2010-03-04 Ingawa uchaguzi mkuu nchini Iraq utafanyika Jumapili hii ijayo, tayari majeshi, polisi ,wafungwa na walemavu wameanza kupiga kura zao hii leo,siku 3 kabla uchaguzi wa Bunge unaonekana ni muhimu sana kwa nchi hii iliogawika na ambayo majeshi ya Marekani, yanapanga kuihama mwishoni mwa mwaka ujao 2011. Waziri-mkuu Al Maliki, akigombea awamu ya pili,...