Juhudi za kufufua utaratibu wa amani ya Mashariki ya kati2009-12-29 Deutsche Welle Swahili Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amewasili Misri leo mchana kwa mazungumzo pamoja na rais Hosni Mubarak .Utaratibu wa amani kati ya Israel na Palastina ndio kiini cha mazungumzo hayo. Mazungumzo kati ya rais Hosni Mubarak na waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu yamemalizika bila ya viongozi hao wawili kusema kitu.Hata hivyo...
Rais Al-Bashir wa Syria aitisha tena upatanishi wa Uturuki .2009-12-24 Deutsche Welle Swahili Rais Bashar al-Assad wa Syria, ameituhumu Israel jana kuwa, inakwamisha mazungumzo ya amani na akapendekeza kuanzishwa upya juhudi za Uturuki za kupatanisha kati ya Syria na Israel. Waziri-mkuu wa Uturuki, Tayyip Erdogan, anaezuru Uturuki ,amesifu usuhuba unaoimarika kati ya nchi yake na Syria.Hii inatokea wakati mahusiano kati ya Israel na Uturuki...
Juhudi za kubadilishana wafungwa baina ya Israel na Hamas .2009-12-23 Deutsche Welle Swahili Wiki hii unatimia mwaka mmoja tokea majeshi ya Israel yaiingie Gaza na kuwashambulia wapiganaji wa Hamas. Mashambulio hayo yaliyochukua wiki kadhaa yalimalizika tarehe 8 mwezi januari. Lakini mashariki ya kati bado inaweza kulipuka tena wakati wote wote . Vita vya Gaza mwaka mmoja uliopita vilikuwa...
Katibu mkuu wa jumuia ya kujihami ya NATO ziarani mjini Moscow2009-12-15 Deutsche Welle Swahili Katibu mkuu wa jumuia ya kujihami ya NATO,Anders Fogh Rasmussen anaitembelea kwa mara ya kwanza Urusi tangu alipokabidhiwa wadhifa huo Agosti mosi iliyopita.Lengo la ziara hiyo ni kurejesha hali ya kuaminiana iliyochafuliwa kufuatia vita vya Georgia,Agosti mwaka 2008. Afghanistan itakua bila ya shaka mojawapo ya mada kuu zitakazojadiliwa wakati wa...
Hamas waahidi kuendelea na mapambano2009-12-15 Deutsche Welle Swahili Wafuasi wa Hamas wamezitumia sherehe za kuadhimisha miaka 22 tangu chama chao kilipoundwa kufuatia wimbi la kwanza la Intifada,kuzidisha shinikizo dhidi ya chama cha ukombozi wa Palastina-PLO kinachojiandaa kurefusha mhula wa Mahmoud Abbas kama rais wa utawala wa ndani bwa Palastina. Maelfu kwa maelfu ya wafuasi wa Hamas,chama kinachodhiti...
Tamasha za kitamaduni - Ruhr 20102010-01-04 Deutsche Welle Swahili Je, Umoja wa Ulaya unaazimia kitu gani kwa kutoa cheo hicho cha jiji la utamaduni? Fikra ya kuwa na jiji la kitamaduni imetoka kwa muimbaji wa zamani Melina Mercouri mwaka 1985 pale alipokuwa waziri wa utamaduni wa Ugiriki. Wakati huo Ugiriki ilishika wadhifa wa urais wa Jumuiya ya Ulaya na ilikuwa ikipitia kipindi kigumu cha kisiasa....
Michezo mwishoni mwa wiki2010-01-04 Deutsche Welle Swahili Wiki kabla Kombe la Afrika la Mataifa kuanza nchini Angola Jumapili ijayo, tunawafungulia pazia jinsi ya baadhi ya timu 16 pamoja na wenyeji Angola, zilivyojiwinda kuivua taji Misri, mabingwa.Mabingwa wa Ujerumani VFL Wolfsburg, wamewasili Afrika Kusini kwa mazowezi ya siku 3 kabla ya kuanza duru ya pili ya Bundesliga .Na Manchester United...
Mivutano ya Kisiasa Iran2010-01-04 Deutsche Welle Swahili Safari hii si waandamanaji wengi tu walionyesha kuwa wapo tayari kuvikabili vikosi vya usalama, bali hata viongozi wenye misimamo mikali wamedhihirisha kuwa wamepania kungángania ukaidi wao na kukabiliana na waandamanaji kwa kuitisha maandamano yao wenyewe na hata kuzusha uwezekano wa kuzidisha machafuko ya kiraia nchini humo. Bildunterschrift:...
Mkutano wa hali ya hewa wafunguliwa Copenhagen Deutsche Welle Swahili2009-12-07 Mkutano wa kimataifa kuhusu kupunguzwa moshi unaotoka viwandani,unaoangaliwa kua chanzo cha kuzidi hali ya ujoto duniani,umefunguliwa leo mjini Copenhagen nchini Danemark,pakiwepo matumaini mema ya kufikiwa maridhiano kufuatia ahadi zilizotolewa mnamo siku za hivi karibuni. Katika wakati ambapo majadiliano yalionekana kukwama miaka miwili ya...
Mkutano wa Copenhagen - Matumaini na Hofu Deutsche Welle Swahili2009-12-07 Suala kuu ni, kwa kiwango gani nchi zilizoendelea kiviwanda zinapaswa kuzisaidia nchi zinazoendelea kujirekebisha kuambatana na mabadiliko ya hali ya hewa. Jambo moja limeshadhihirika: huu utakuwa mkutano mkubwa kabisa wa kimataifa kushuhudiwa ulimwenguni. Mpaka sasa wajumbe 15,000 wameitikia mwaliko wa kuhudhuria mkutano huo katika mji mkuu wa...
Mpalestina apondwa na gari la muisraeli-kusudi ? Deutsche Welle Swahili2009-12-03 Wakati waziri-mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amepangwa kuonana leo na viongozi wa walowezi wa kiyahudi waliokasirishwa na mpango wake wa kusimamisha kwa muda ujenzi wa majumba mapya ya walowezi hao huko Ukingo wa magharibi,kisa cha mpalestina cha kuponmdwa na gari kusudi tena na tena na muisraeli aliekasirika kwa chomwa kisu mkewe...
Iran inaweza kulipiza kisasi ikishambuliwa? Deutsche Welle Swahili2009-11-23 Wakati huohuo Marekani imeitolea wito Iran kuyakubali mapendekezo ya kuusitisha mpango wake wa nuklia katika kikao cha usalama kinachoendelea Halifax,Canada.Kwa upande mwengine Rais was Iran Mahmoud Ahmedinejad yuko katika ziara ya siku tano huko Amerika kusini iliyo na azma ya kutafuta kuungwa mkono katika mpango wake wa nuklia.Maandamano ya...
Rais mpya wa EU apongezwa Deutsche Welle Swahili2009-11-20 Katika majadiliano hayo ya faragha ambayo yalidumu kwa siku nzima viongozi hao wa ngazi za juu pia walimteua Kamishna wa Umoja huo Baronnes Cathy Ashton kuwa mwakilishi mkuu wa sera za kigeni. Punde baada ya saa tatu usiku hapo jana Mwenyekiti wa sasa wa Umoja wa Ulaya aliye pia Waziri mkuu wa Sweden Fredrik Reinfeldt alimtangaza rasmi rais mteule...